CHADEMA itajengwa na wenye moyo safi. Waanza kujenga ofisi zao za Majimbo kwa kujitolea

CHADEMA itajengwa na wenye moyo safi. Waanza kujenga ofisi zao za Majimbo kwa kujitolea

Tatizo akili yako inawaza negative
Ni sawa na wewe unajenga nyumba kubwa lakini utakufa na utaiacha

Funzo
Kwenye maisha usiwaze negative
Hakuna biashara isiyo na hasara. Siasa ni dynamics.

Hata waliokuwa wanakaa na Mbowe meza kuu kwenye vikao vya chama, leo amebaki Mbowe peke yake.

Huwezi kukwepa kuzungumza hasara kwa kujidanganya kuwa haitakuwepo.
 
CHADEMA kwa hili napinga nanyi, CHADEMA ina wanachama zaidi ya milioni 1 kila mwanachama akitoa 500 tu (1,000,000 x 500=500,000,000) si zaidi ya ofisi 10 jamani, mnafeli wapi?
Mkuu nchi nzima milioni 500 ni kidogo sana hata hivyo. Nguvu ya umma inatakiwa sana
 
Itapunguza tatizo kidogo wakijenga hata ofisi za mikoa kwanza
Chadema walikuwa na uwezo wa kujenga makao makuu DSM lkn wanapeleka huduma walipo wanachama kwanza.
 
CHADEMA kwa hili napinga nanyi, CHADEMA ina wanachama zaidi ya milioni 1 kila mwanachama akitoa 500 tu (1,000,000 x 500=500,000,000) si zaidi ya ofisi 10 jamani, mnafeli wapi?
Hapo ndo tunaanza kupata wasiwasi,kama kweli ina wanachama 1M waliojitoa kisawasawa.
 
Kazi ya ruzuku sio kujenga ofisi peke yake.

kazi zake ni nini sasa? apo bado na michango ya wanachama kifupi unaongelea atleast 40+ billion in a span of 8 years! mmehindwa kujenga ofisi?
 
Na ndiomaana haiwezi kuondoka.
Itaondoka ila siyo kuondolewa na vyama. Itaondolewa na wananchi wenyewe.

Hao wanasiasa wenyewe ni wale wale. Wazee wa fursa.

Hata leo ikiingia madarakani CHAUMA watahamia huko huko. Ikiingia CHADEMA hao hao CCM watahamia huko huko.
 
Back
Top Bottom