CHADEMA itajengwa na wenye moyo safi. Waanza kujenga ofisi zao za Majimbo kwa kujitolea

Hivi chuo cha uongozi ndio tutaweza?
 
Chuo ni shs ngapi? wahindi wana biashara kubwa lakini wanaishi nyumba za kupanga tena room 2? ruhusu akili yako ifanye kazi kdg

Kwa hiyo nyie ni wahindi, wee mtu wa Babati a.k.a Margwe.
 
CHADEMA kwa hili napinga nanyi, CHADEMA ina wanachama zaidi ya milioni 1 kila mwanachama akitoa 500 tu (1,000,000 x 500=500,000,000) si zaidi ya ofisi 10 jamani, mnafeli wapi?
CCM chama kikongwe chenye wanachama zaidi ya (Polepole) 12,000,000.
Hawana ofisi ya chama waliyojenga.
Wanapora majengo ya serikali na viwanja vilivyojengwa na wananchi.
Hivi wanafeli wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…