Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,453
- 111,795
Kikao cha dharura hakihitaji tarehe.Ngoja tusubiri Baraza Kuu limekaribia. Ila Msajili yupo bias sana.
Either now or never, muda wa kumalizana na Mbowe for good ni sasa na msajili atakaa kimya Mbowe hatokuwa na backup.Mimi naona wamuache tu ili jamii ndiyo imhukumu.
Kweli kabisa. Mtu mbaya sana yule.Mbowe ndio sababu ya mateso yote yanayowakumba viongozi wa Chadema akiwepo Lissu
Nini maana ya kuwa na makamu mwenyekiti?Ishu ni kwamba mwenyekiti yupo ndani, ajenda nyingi nzito hazijadiliwi na kuamuliwa. Chama kipokipo tu kutokana na mapito magumu kinachopitishwa. Ingekuwa mwenyekiti yupo nje na hakuna misukosuko chama kuzuiwa kufanya siasa zake ndani na nje kuna makada watata wangeishaoneshewa mlango wa kutokea nje siku nyingi tu
Punguza hisia washa akili. Mbowe si mropokaji.Mi ushauri wa bure tu, Ccm inapofanya uhuni wowote msajili anakaa kimya, wote tunajuwa Dr Nchimbi wanamfuta uanachama bila kupewa natural justice ya kusikilizwa na kujitetea.
Sasa hoja yangu kwakuwa Mbowe si Chadema tena tangu alipoangushwa Uenyekiti na Tundu Lisu sina haja ya kueleza mengi wote mnajuwa Mbowe siyo Chadema na machawa wake kama Yericko ni maafui wakubwa wa Chadema sasa Mungu amewapa nafasi ya kumalizana naye.
Itisheni kikao cha dharura chenye ajenda moja tu msikae zaidi ya lisaa limoja mvuweni uanachama Freeman Mbowe muone kama msajili atafunguwa bakyli lake, kwa sababu uhuni wa Ccm unafanyika hadharani na msajili hawezi kuleta fyokofyoko, sasa dawa ya wahuni ni kutambas na upepo wao, fukuza Mbowe sasa.
Umeelewa nilichoandika? Soma upya.Too early.. Ni mapema sana.. Hili draft lina drama nyingi
Kumbuka barua ilisema atajiuzulu rasmi tarehe 4 September.. Lakini hawakutaka kusubiri.. Tayari keshapatiwa mrithi na tayari keshafukuzwa uanachama
Hii chess ina walakini mkubwa.. Maana ni maamuzi yameenda kwa supersonic speed..! Je kila kitu kilikuwa kimeshapangwa?
Sijakaribisha mashoga kwenye uzi huu, ni kwa ajili ya watu wenye akili tu.Punguza hisia washa akili. Mbowe si mropokaji.
Kosa lake nini mpaka avuliwe koz mlisema ukistaafu nenda upumzike moja kwa moja sasa mnataka aongee
Nakuunga mkonoMimi naona wamuache tu ili jamii ndiyo imhukumu.
Kumbuka sana ali-hug na Msoga wakati wa kutanggazwa mshindi 2005, harufu ya fitina aliipata hapoKweli kabisa. Mtu mbaya sana yule.
Kile kitendo chake cha kuhudhuria uzinduzi wa bwawa la umeme, huku akishindwa kuhudhuria kesi ya Lissu kimemfanya aonekane ni mbinafsi, mchumia tumbo na takataka tu mbele ya wapenda mabadiliko.Nakuunga mkono
Too early.. Ni mapema sana.. Hili draft lina drama nyingi
Kumbuka barua ilisema atajiuzulu rasmi tarehe 4 September.. Lakini hawakutaka kusubiri.. Tayari keshapatiwa mrithi na tayari keshafukuzwa uanachama
Hii chess ina walakini mkubwa.. Maana ni maamuzi yameenda kwa supersonic speed..! Je kila kitu kilikuwa kimeshapangwa?