Elections 2010 CHADEMA iwaachilie walioshinda kura za maoni wagombee

Status
Not open for further replies.
hukusoma " maji haya kwa nini niibatizwe?"

Sera utaratibu mzuri sana mnaoutaka tatizo ni tofauti na tunavyotaka sisi sisi wengine tunataka CCM itoke hata kama watakao kuja ni wabaya itatatudhuru nini kama pia waliopo wabaya,tuacheni tujirizishe nafsi kuwatoa waliotukandamiza muda murefu "it healthy kukonga nyoyo yako"

Acheni bwana rais bongo akiwa fair na kushikilia mafisadi afadhali itapatikana yaani hata mbunge,waziri ...... wakileta mzaa,ufisadi vyombo kama Takukuru ,mahakama ,polisi vikiachwa huru itakuwa bomba hili hamlioni nyie mko kwenye perfection na kuremba .

So sera na urembo wote unao hubiri Kiranga na kupata support toka kwa Mwanakijiji hivi vyote vitafanyika katika ufalme wa CCJ.

Fine,

Mkija ku-Chilubwa msiseme hatujawaonya.Wazambia walikuwa deluded kuondoa UNIP at any cost, wakaitoa, walipoiingiza MMD mbona Chiluba alianzisha biashara ya madawa ya kulevya Ikulu na kina Abdi Msomali.

Tunataka mabadiliko, lakini wengine hatuko desperate kukubali kupelekwa pelekwa tu bila kujua tunakoenda kuna nini. Sio kesho keshokutwa tunaiomba CCM na ufisadi wake wote irudi kwa sababu upinzani unakwiba bila aibu kabisa.

Chama ambacho hakina principle katika upinzani kinaniambia kwamba kitakuwa na ven less principles in power.
 
Kiranga bana kwa kutetea status quo hujambo.... I just knew it long before dawn
 
Mwafrika bwana, anaona pale ninapoitetea status quo tu, ninapoibomoa hata haoni.

Fact ni, bila ya kuwa na status quo huwezi kuibomoa status quo, kwa hiyo inabidi uipe status quo room ya ku exist, uone kama itakuwa just au itajinyonga yenyewe kwa kamba yake.

In this instance, vipeni vyama uhuru wa kuamua nani aviwakilishe na nani asiviwakilishe, vyama viki abuse hii privilege na kupeana vyeo bila merit na kuacha watu wenye merit, mnavitosa, vinakufa natural death.

Sasa nyinyi mnataka kuvinyima vyama hata nafasi ya kuamua nani aviwakilishe, this is not fair.

Ndiyo maana nikauliza, kama mnataka kuwa na direct democracy ya watu kuamua moja kwa moja vyama vya nini sasa, si muondoe vyama mfanye uchaguzi kwa watu moja kwa moja.Hamna mtu aliyejaribu kujibu swali hili.
 
Fine,

Mkija ku-Chilubwa msiseme hatujawaonya.Wazambia walikuwa deluded kuondoa UNIP at any cost, wakaitoa, walipoiingiza MMD mbona Chiluba alianzisha biashara ya madawa ya kulevya Ikulu na kina Abdi Msomali.

Tunataka mabadiliko, lakini wengine hatuko desperate kukubali kupelekwa pelekwa tu bila kujua tunakoenda kuna nini. Sio kesho keshokutwa tunaiomba CCM na ufisadi wake wote irudi kwa sababu upinzani unakwiba bila aibu kabisa.

Chama ambacho hakina principle katika upinzani kinaniambia kwamba kitakuwa na ven less principles in power.
Kiranga

Kwa nini unapoteza nguvu zako kukishauri chama ambacho hakikusikilizi wala kukujali wakati kuna vyama 20? why Chadema tuuu, kama hawataki utawalazimisha? Halafu elewa wao wana mipango yao ukiwaongezea yako wataichuja kwanza kama inafaa, kama ni pumba wataitupa inawezekana mawazo yako kwao ni pumba tupu utasemaje kwa hilo.
 
Mwafrika bwana, anaona pale ninapoitetea status quo tu, ninapoibomoa hata haoni.

Fact ni, bila ya kuwa na status quo huwezi kuibomoa status quo, kwa hiyo inabidi uipe status quo room ya ku exist, uone kama itakuwa just au itajinyonga yenyewe kwa kamba yake.

In this instance, vipeni vyama uhuru wa kuamua nani aviwakilishe na nani asiviwakilishe, vyama viki abuse hii privilege na kupeana vyeo bila merit na kuacha watu wenye merit, mnavitosa, vinakufa natural death.

Sasa nyinyi mnataka kuvinyima vyama hata nafasi ya kuamua nani aviwakilishe, this is not fair.

Ndiyo maana nikauliza, kama mnataka kuwa na direct democracy ya watu kuamua moja kwa moja vyama vya nini sasa, si muondoe vyama mfanye uchaguzi kwa watu moja kwa moja.Hamna mtu aliyejaribu kujibu swali hili.

Kiranga,

I hear you mkulu ....na I completely agree with you.

Hata hivyo, ulichoandika hapo juu, nikikiweka kwenye context ya kile tulichojadili kwenye ile topic ya Nape au Shibuda, utagundua some shifting kidogo kwenye mtizamo wako kuhusu democracy ya vyama.

But ... hey, I dont wanna cra(u)sh your party here so I will stay this one out.
 
Hata kama kuna an apparent contradiction -which I think I don't have.......

Someone said the hallmark of intelligence is the ability to entertain different views at the same time, ukiangalia kwa undani utaona hata pale inapoonekana kama kuna contradiction kutoka kwangu, almost always kuna tofauti zinazo qualify tofauti za opinion zangu ambazo prima facie zinaweza kuonekana kama zina ji contradict, lakini ukiangalia kwa undani utaona kuna perfect sense.

Natetea vyama kuwa na uhuru wa kuamua nani aviwakilishe, usipovipa vyama uhuru huu kutakuwa hakuna maana ya kuwa na vyama.

Kwenye Nape na Shibuda nimesema vyama visiwakubali by fiat hawa mamluki wanaotoka vyama vingine, wapewe muda wa kunyonya maudhui, itikadi, falsafa na manifesto za vyama vipya, wapimwe kama kweli wana loyalty na vyama vipya au wanataka ubunge tu.

Sasa kwa hapa kutaka vyama viwe na autonomy ya kuchagua wawakilishi, na kule kutaka vyama viwe na autonomy ya kuchuja wagombea sioni contradiction iko wapi, labda wewe ndugu yangu unayekuja kuangalia hili swala kwa macho mengine unaweza kunisaidia maana mara nyingine mtu unaweza kuwa na contradiction so inherent katika argument zako kiasi ukashindwa kuiona mwenyewe, nitafurahi kama utaweza kunielimisha hapo.
 
Kiranga

Kwa nini unapoteza nguvu zako kukishauri chama ambacho hakikusikilizi wala kukujali wakati kuna vyama 20? why Chadema tuuu, kama hawataki utawalazimisha? Halafu elewa wao wana mipango yao ukiwaongezea yako wataichuja kwanza kama inafaa, kama ni pumba wataitupa inawezekana mawazo yako kwao ni pumba tupu utasemaje kwa hilo.

Kama unafikiri mimi naandika kwa CHADEMA tu hapa umekosea,mimi naandika kwa political process yote ya Tanzania, kama CHADEMA itatokea kuwa ndio mfano uliopo hilo halimaanishi kwamba naongelea CHADEMA per se. Na wengine tunaandika kwa posterity, na kuweka record tu kwamba kuna watanzania wengine tuna mawazo haya, tukisikilizwa na kufuatishwa au la ni suala jengine, lakini kama Invisible ana keep archives na future historians miaka kibao ijayo huko watataka kuja kuangalia Watanzania walikuwa wanasemaje (angalau hii segment ya JF) wataona kuna watu walikuwa na views fulani ambazo ziko unorthodox.

Kwa hiyo kusikilizwa au kutosikilizwa hakuwezi kuwa ni criteria ya mtu mwenye conviction kusema, kama mtu anaamini kitu fulani ni sawa atasema tu, whether anasikilizwa au hasikilizwi.

Hata Yohana mtakatifu alipokuwa anamhubiria Herode kuhusu uovu wake, hata Herode alipomfuna jela Yohana, Yohana aliendelea kuhubiri tu, mpaka akawa anahubiria kuta za jela.

Vivyo hivyo, tutasema ukweli, hata kama wameweka pamba masikioni. Kesho keshokutwa yakiwakuta ya kuwakuta the records will show kwamba kuna watu walisema, hawawezi kutulaumu kwamba hatukusema.
 
Kiranga

Kwa nini unapoteza nguvu zako kukishauri chama ambacho hakikusikilizi wala kukujali wakati kuna vyama 20? why Chadema tuuu, kama hawataki utawalazimisha? Halafu elewa wao wana mipango yao ukiwaongezea yako wataichuja kwanza kama inafaa, kama ni pumba wataitupa inawezekana mawazo yako kwao ni pumba tupu utasemaje kwa hilo.

So nadhani kutoka hapa ndio tunapata jibu,anatumia kivuli cha ushauri kubomoa chama cha Chadema tena bora ya huyu kuna hilo kubwa la maadui anajifanya smart zaidi.
Tumesema kama mnatutisha kuwa tunaweka watu wabaya katika uongozi je do you bet kuwa ni wabaya zaidi ya huu uliopo ?kwenu CCM ni bora sisi si bora.
Hamuwezi kutuaambia watu walionyesha jitihada wakiwa upinzani tena huku wakiwa ktk high risk kuwa watashindwa kuendesha nchi wakati akiwa Amri jeshi mkuu na dola zote.
Kama ku change tabia kila mtu ana change hiyo haina guarantee ila odds inaonyesha anafaa ,je tuache kumchagua kwa kuwa people change.Au tuache kumchagua kwa kula kubwa la maadui anasema kuwa mpinzani ni tofauti na kuongoza ,ndio asema vyema ila kwa hiyo tuendelee kuchagua wenye uzoefu wa uongozi yaani CCM.Atakwambia ni kuwa na mtazamo wa kuongoza .
 
First off, mimi sijatoa ushauri kwa CHADEMA, mimi natoa political commentary. Ningetaka kutoa ushauri ningewatafuta kina Mnyika au kuwaandikia email CHADEMA. Najua mpaka watu wanaoandika manifesto ya CHADEMA kwa hiyo kama unafikiri nataka kutoa ushauri kwa CHADEMA unanionyesha usivyo na comprehension.

Tatizo kuna watu wa CHADEMA hapa wanaabudu CHADEMA kama dini, na ukiongelea mapungufu ya CHADEMA inakuwa kama umemsema mama yao, we don't roll like that, hapa hata mungu anasemwa, itakuwa CHADEMA ?

Nishakwambia kama kuonyesha jitihada na kuchukua risk ukiwa mpinzani ndiyo tija Zambia Chiluba angekuwa bonge la president, lakini haikuwa hivyo.

Inabidi CHADEMA kituonyeshe kinajali principle tangu kikiwa upinzani, kikishindwa kutuonyesha kwamba kinajali principles wakati kikwa upinzani kitakuwa hakina incentive ya kufuata principles kikiwa in power.
 
So nadhani kutoka hapa ndio tunapata jibu,anatumia kivuli cha ushauri kubomoa chama cha Chadema tena bora ya huyu kuna hilo kubwa la maadui anajifanya smart zaidi.
Mutu

Umesema kweli hawa watu wapo wanakuja na gear ya kuishauri CHADEMA kumbe ni kinyume chake, uzuri wangu huwa nawaambia wazi. Mleta thread hii alitaka kuja na gear nyingine ya jinsia kwa kuandika R na R nikaipinga kwa nguvu zote. Nasikia kuna mwingine kaja na gear ya mizoga, lakini uzuri ni kwamba mbinu zao zote zinajulikana na karibu zinafikia ukingoni.
 
Unaambiwa sikio la kufa halisikii dawa, na mpenda chongo huita kengeza.
 
Uliona wapi kocha wa Yanga akamshauri kocha wa Simba wacheze formation gani uwanjani kama si kudanganyana ni nini?
 
Lakini hata kocha wa Yanga akitoa general observation kuhusu mpira zilizo sawia, kocha wa Simba atakuwa mjinga kutokubali eti kwa sababu jambo limesemwa na kocha wa Yanga.

Tatizo si nani kasema nini, tatizo ni nini kimesemwa.

Great minds discuss ideas, small minds discuss people.
 
Hata kama kuna an apparent contradiction -which I think I don't have.......

Someone said the hallmark of intelligence is the ability to entertain different views at the same time, ukiangalia kwa undani utaona hata pale inapoonekana kama kuna contradiction kutoka kwangu, almost always kuna tofauti zinazo qualify tofauti za opinion zangu ambazo prima facie zinaweza kuonekana kama zina ji contradict, lakini ukiangalia kwa undani utaona kuna perfect sense.

Natetea vyama kuwa na uhuru wa kuamua nani aviwakilishe, usipovipa vyama uhuru huu kutakuwa hakuna maana ya kuwa na vyama.

Kwenye Nape na Shibuda nimesema vyama visiwakubali by fiat hawa mamluki wanaotoka vyama vingine, wapewe muda wa kunyonya maudhui, itikadi, falsafa na manifesto za vyama vipya, wapimwe kama kweli wana loyalty na vyama vipya au wanataka ubunge tu.

Sasa kwa hapa kutaka vyama viwe na autonomy ya kuchagua wawakilishi, na kule kutaka vyama viwe na autonomy ya kuchuja wagombea sioni contradiction iko wapi, labda wewe ndugu yangu unayekuja kuangalia hili swala kwa macho mengine unaweza kunisaidia maana mara nyingine mtu unaweza kuwa na contradiction so inherent katika argument zako kiasi ukashindwa kuiona mwenyewe, nitafurahi kama utaweza kunielimisha hapo.

Kiranga,

Just to get kile unachoengelea hapa, hivi kuna tofauti kati ya kuvipa vyama uhuru wa kuchagua (na kuwapa wanachama wa vyama hivyo uhuru wa kuchagua)?

Kumbuka, kuna the whole argument ya kumruhusu Shibuda aingie Chadema, na kisha wanachadema (wana chama wa chama cha chadema) wakapata nafasi na uhuru wa kumchagua au kumtosa - unakumbuka position yako kwenye hili?

Hapa kuna suala la wanachama wa chadema wamechagua mtu wanayempenda, kisha chama (nikiongelea viongozi au whoever anamiliki chama) wanamkataa mtu huyo na kutaka kupendekeza mwingine - unaijua position yako kwenye hili pia.

Tofauti ya hayo mawili (katika context ya Shibuda, Nape, na hii thread) ni ipi kwa mtizamo wako?
 
Lakini hata kocha wa Yanga akitoa general observation kuhusu mpira zilizo sawia, kocha wa Simba atakuwa mjinga kutokubali eti kwa sababu jambo limesemwa na kocha wa Yanga.

Tatizo si nani kasema nini, tatizo ni nini kimesemwa.

Great minds discuss ideas, small minds discuss people.

Kiranga,

Lakini coach wa simba akianza kuishauri yanga impange nani na nani imtose "katika context ya kuongelea mpira kwa ujumla" atakuwa hafanyi unachosema hapo juu.

So far, wewe pia umeongelea watu hapa na kwingine (Regia, Nape, Shibuda), je na wewe ni simple mind? .... you want my answer? ..... I dont think so - You are not a "simple mind" kwa vile tu umeongelea hao watu.

Wewe ni great mind ila kumbuka kuwa sometimes kuongelea ideas, inabidi uongelee watu wenye hizo ideas (au wanaozuia hizo ideas).
 
Nishakwambia kama kuonyesha jitihada na kuchukua risk ukiwa mpinzani ndiyo tija Zambia Chiluba angekuwa bonge la president, lakini haikuwa hivyo.

Kwa nini uongelee mfano wa Zambia tu na wala sio mfano wa South Africa au Argentina/Brazil? Nadhani chaguzi zimefanyika sehemu kibao tu duniani na wapinzani walipopewa power walifanya great.

Umefikiria hiyo pande pia?
 
Lakini hata kocha wa Yanga akitoa general observation kuhusu mpira zilizo sawia, kocha wa Simba atakuwa mjinga kutokubali eti kwa sababu jambo limesemwa na kocha wa Yanga.

Tatizo si nani kasema nini, tatizo ni nini kimesemwa.

Great minds discuss ideas, small minds discuss people.
Jamani msizionee bure quotations maana zingine mnazibandika pahala si pake mradi unajua ina maana gani basi unafikiri popote tu inaingia hata kama haiendani na mfano lengwa ili uonekane ume quote.

Anyway tuache hayo umesema inategemea nini kimesemwa, mimi nimesema formation ya mchezo au hukunielewa, yaani kocha wa Yanga amfundishe kocha wa Simba mtindo wa uchezaji wa siku ya mchezo.
 
Hivi hapa nini kinachoendelea tena? Naona mmebaki wawili watatu tu....
 
Kiranga,

Just to get kile unachoengelea hapa, hivi kuna tofauti kati ya kuvipa vyama uhuru wa kuchagua (na kuwapa wanachama wa vyama hivyo uhuru wa kuchagua)?

Big difference,

Kwa mfano, watu wa higher level katika chama kwa kutumia intelligence network yao wanaweza kujua mambo mabaya ya mgombea ambayo wanachama wa kawaida hawayajui, na labda hayawezi kuthibitishwa kirahisi na kwa hiyo hayawezi kusemwa wazi. Kukipa chama uwezo wa ku veto watu kutahakikisha chama kina uwezo wa kumuondoa mtu ambaye anajulikana kuwa na scandals fulani hatari kwa stability ya chama ambazo hazijulikani kwa wanachama wa kawaida. Lakini ukiwapa wanachama wa kawaida uwezo wa kuamua moja kwa moja kwa kutumia popular vote, unaweza kabisa kujikuta una mgombea gendaeka. Kwa hiyo big difference.

Chukulia mfano wa Malecela alivyokuwa anawa manipulate CCM, kama CCM isingekuwa na mechanism ya kum stop Malecela alikuwa anaweza hata kuununua urais, lakini wajanja wa CCM kina Nyerere wakatumia influence kwenye chama kumuondoa. Now unaweza kupinga hili kwa kusema kwamba ni counter-democratic means, lakini democracy inaweza kufanya system iwe gullible pia, hapo ndipo unahitaji means za kuvipa vyama autonomy.

Kumbuka, kuna the whole argument ya kumruhusu Shibuda aingie Chadema, na kisha wanachadema (wana chama wa chama cha chadema) wakapata nafasi na uhuru wa kumchagua au kumtosa - unakumbuka position yako kwenye hili?

Position yangu ilikuwa CHADEMA wasimpe Shibuda nafasi ya kugombea kiti sasa hivi, kwa sababu hajajiprove chamani, hajakaa na watu kueleweka chamani etc. Kujiingiza kwake CHADEMA mara tu baada ya kuondoka CCM (If at all that is the case) kunaonyesha kwamba anapenda ubunge zaidi ya anavyoipenda CHADEMA, if anything kama anataka angojee 2015 wakati atakuwa kashaji prove chamani.

Nikaongeza kumpa nafasi sasa hivi ni CHADEMA kujionyesha hakina principles wala wagombea na kipo desperate kuchukua makapi yeyote yaliyoshindwa CCM huko.

Hapa kuna suala la wanachama wa chadema wamechagua mtu wanayempenda, kisha chama (nikiongelea viongozi au whoever anamiliki chama) wanamkataa mtu huyo na kutaka kupendekeza mwingine - unaijua position yako kwenye hili pia.

Position yangu ni kwamba chama ni lazima kiwe na autonomy, hii ndiyo relevancy ya chama, as much as I believe in grassroot involvement and the bottom up system, chama pia -ngazi za juu- kinatakiwa kuonyesha leadership kwa wananchama wake, kuwapa muongozo. Kama tunataka wanachama ndio wawe wanaamua kila kitu itakuwa anarchy, wala si democracy.

Kama chama -uongozi wa juu- kina abdicate kila kitu kwa wanachama, then chama kinakosa relevancy, na we might as well abandon parties.

The idea is, if you have legitimate leadership, the leadership will operate with the interest of the members. And if you don't believe in this leadership, you vote it off or get off the ship. Hii ndiyo Msuya alisema, huwezi kusema wewe mkatoliki halafu humuamini papa, utakuwa umeanzisha faction nyingine.

Tofauti ya hayo mawili (katika context ya Shibuda, Nape, na hii thread) ni ipi kwa mtizamo wako?

Sina tofauti significant, kote nataka chama kiwe na autonomy, uongozi wa juu wa chama usiwe forced kufanya maamuzi, uwe na uwezo wa kuamua, usiwe forced na wanachama.Ila ningependa kuona uongozi wa juu haumpi mtu kama Shibuda nafasi ya kugombea ubunge right away.

My philosophy is simple, vipe vyama meno, au viue usiwe na vyama kabisa.
 
Kiranga

Unadai wewe huishauri Chadema ,inaoneka unaandika sana mpaka unasahau heading ya hii thread ebu rudia kusoma.
Kuna watu wanasema kuwa fulani kasoma mpaka kawa vile(kinda chizi) ana akili yule.Ukweli ni kuwa uwezo wa kichwa chake ni mdogo yeye kaki feed mambo mengi.
So ww unasema ukishauri chadema kwa kuwa hujuhi uko kwenye thread gani,au ni upotoshaji kimakusudi chagua upigwe ngumi gani ya kushoto au kulia ahaaaaaaa.

Mwakijiji
Luteni kasema vyema kuanzia lini kocha wa Yanga akashauri Simba wacheze formation gani washinde.Yaani ni kutaka kufanya watu hapa mazuzu kiasi gani ?Kushauri chadema ,wakati ulikataa kuanzia mwanzo kuunganisha nguvu mkaja na CCJ .Je kutokana na ushauri wenu ambo siku za karibuni unaonekana kama ushauri wa giza,controversal kwa nini watu wasihisi kuwa mwataka Chadema ishindwe ili 2015 mje tena na CCJ.
Maana yaonekana ni waroho wa madaraka tu ama mapandikizi again chagua ngumi ya kushoto au kulia.

Haya Kiranga katika haya chukua majibu yanayo kuhusu mengine yanayo baki mwajie mwanakijiji kama ni mtu mmoja You have been served
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom