Uchaguzi 2020 CHADEMA: Jeshi la polisi limeomba majina ya wagombea wetu

Polis wanafanya mambo kienyeji sana, wao walipaswa kuonesha sababu ya kuomba majina hayo, polis wanafanya kazi kienyeji sana...
 

Mkuu nnaona umeamua kulitukana Jeshi lenu la Policeccm kuwa halijui Majukumu yake..
 
Siasa siyo mchezo mchafu sema watu wanapofanya siasa ndiyo wachafu.

Na siasa ikijaa watu wachafu inakuwa haina lengo la kuleta mabadiliko yoyote kwa wananchi zaidi ya kuiba Mali za umma tu
Na kiongozi muongo, anayetekeleza kwa hila yale asemayo, hupata laana ya milele.
 
Tuisome sheria ya uchaguzi kabla ya kuanza kulaumu.watia Mia wote na wagombea wanaitaji kulindwa hivyo wanapotaka kuwstambua ni kuwapatia ulinzi kwenye hiki kipindi kigumu ambacho kila mtu anaamini anaweza kuwa mbunge hivyo aina mpya ya uhalifu wa watiania kufanyiana njama mbaya waweza kuibuka
 
Kazi imeanza tayari
 
Tume ya uchaguzi imeagizwa polisi kuchukua majina ya wagombea wa chadema
 
Lisu kutwa anaomba ulinzi,.lakini hao policeccm wamekaa kimya,.sasa from no where wanaomba majina ya watia nia wa cdm, wamjibu kwanza lisu barua zake alizowatumia.
 
Barua zipo Tele wosap... Sema mambo yakiwa ovyo hawakawii kusema FAKE
 
Wanatafuta bao LA mkono kama uchaguzi wa Serikali za mitaa.. CCM wanasema wanakubalika hofu yote hii ya nini??

Kwa hasira nilizonazo nitampigia yoyote atakayepitishwa na CDM eneo langu,

Jamani tupigeni kura regardles of the outcome...
 
Kwa waandishi wa habari mnapelela list ya majina yote, lakini kwenye vyombo vya ulinzi na usalama hamtaki....yaani kati ya zero strategy hii imefunga mwaka.
 
Inaweza kuwa linataka kutoa ulinzi wa wagombea!
Nchi hii ilipaswa iwe na katiba inayoeleza kila kitu, haya mambo ya kuamka unatunga mhmm.
 
CHADEMA chama langu chapisheni T-shirt zenye jina la Lissu na muuze kwa bei ya kawaida mtatengeneza Ukwasi wa kutosha na itakuwa ni bonge la kampeni.

Hawa polisi tumewalegezea sana tunakaa nao huku kitaa wamefuga hadi kuku yaani siku wakilinukisha tunaanza na mayai yanayoatamiwa baadae mabeki tatu wao then tunaendelea nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…