Uchaguzi 2020 CHADEMA: Jeshi la polisi limeomba majina ya wagombea wetu

Uchaguzi 2020 CHADEMA: Jeshi la polisi limeomba majina ya wagombea wetu

Wakipotea tu tunajua ni wao .
IMG_20200716_173057.jpg
 
Kuna mtu nilimwambia humu kwamba November watakuwa humu wakilaumu Polisi,NEC na Wakurugenzi.

Hayo matumaini hewa ya ushindi wanayojipa sasa kwa mazingira tuliyonayo ni kichekesho.

Jimbo kama Bukene toka uhuru halijawakilishwa na upinzani bungeni lakini tayari mikakati inaandaliwa,vipi yale yenye strong opposition?
 
Siasa siyo mchezo mchafu sema watu wanapofanya siasa ndiyo wachafu.

Na siasa ikijaa watu wachafu inakuwa haina lengo la kuleta mabadiliko yoyote kwa wananchi zaidi ya kuiba Mali za umma tu
Uliyemjibu alisema atajaza kurasa tano kujibu hilo swali, na nina uhakika mimi ningekuwa mwalimu wake hizo kurasa tano ningempa asilimia 20.

Wewe umelijibu swali hilo hilo kwa mistari miwili, na mimi kama mwalimu wenu nakupa asili mia 95 kwa jibu lako.
 
simpeleke tu majina kwani watayafanya nini
Kwa nini hawajaomba ya CCM? Mipolisi ya TZ haijitambui, yalivyo na maisha magumu sasa! Hata hayaoni kwamba yanateseka kutokana na uongozi mbovu wa CCM. Pumbavu kabisa haya!
 
Masikini CCM ya Magufuli, tumaini lake pekee ni msaada wa POLICCM / GENGE LA KIGAIDI.
 
Unatakiwa kwanza kujua vgezo vya kujiunga ktk jeshi hlo

Ili ionekane kuwa Polisi hawana "Sinister Reason Behind Their Request" waandike barua kwa vyama vyote kuomba majina ya watia nia wa nafasi mbambali. Tena kwa kuwa CCM kuna mafuriko ya watia nia, waanze na orodha ya CCM kwanza!
 
Ambatanisha na sampuli za barua hizo, msije kuwa mmejiandikia au wakasema mmejiandikia. Mbona tumeshashuhudia barua zikighushiwa na kusambazwa mitandaoni na baadae ofisi husika kuuzikana!
 
Back
Top Bottom