Nazgur
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 3,729
- 2,851
Barua mliopewa kutoka police iko wapi?
Iweke hapo tusome wenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui ni lini ccm watakuja kufanya siasa safi
Mkuu ni hatari, sijawahi kulitegemea hili.Yani bado chadema ni tishio
Mbona hawajaomba ya chama tawala?simpeleke tu majina kwani watayafanya nini
Sirro hata kama amewekewa kinga na bunge lakini Naapa kwa Jina la Mungu aliye hai ni lazima atafungwa tuHivi jeshi la Polisi Tanzania mbona linetawaliwa na ujinga wa hali ya juu hivyo?
Acha kusapoti upuuzi.Sirro hata kama amewekewa kinga na bunge lakini Naapa kwa Jina la Mungu aliye hai ni lazima atafungwa tu
Kwa sheria ipi? au nyie ndio mliopewa ubongo kwa bahati mbayasimpeleke tu majina kwani watayafanya nini
Omary Mahita aliyekuwa IGP ambaye rekodi yake ya ukatili bado haijavunjwa , baada ya kustaafu alikamatwa na kukabiliwa na Mashitaka ya aibu ya kumjaza mimba house girl wake na kukataa kutunza mtoto , bado tunachunguza kama alibaka ama walikubaliana.Ugaidi sometimes huwa una sababu za msingi.
Jaribu kuficha ujinga wako bc..kiki ndo nnMnatafuta kiki.
Baada ya ccm kung'olewa Jeshi la polisi litavunjiliwa mbali na baadhi ya maofisa wake watakamatwa .Wanaomba majina wao ni tume ya uchaguzi? shame on them
Sure, mambo ya kijinga kabisaBaada ya ccm kung'olewa Jeshi la polisi litavunjiliwa mbali na baadhi ya maofisa wake watakamatwa .
Jaribu kuficha ujinga wako bc..kiki ndo nn
Umeiona???Mnazua uongo ili mpate kick. Iko wapi barua ya polisi kuomba hayo majina? Chadema imejifia sababu ya kukumbatia upuuzi kama huu.
Omary Mahita aliyekuwa IGP ambaye rekodi yake ya ukatili bado haijavunjwa , baada ya kustaafu alikamatwa na kukabiliwa na Mashitaka ya aibu ya kumjaza mimba house girl wake na kukataa kutunza mtoto , bado tunachunguza kama alibaka ama walikubaliana.
Hii maana yake ni kwamba madaraka kuna wakati yanaisha na maisha ya kawaida hutokea .
Hivi jeshi la Polisi Tanzania mbona linetawaliwa na ujinga wa hali ya juu hivyo?
Mm siamini kama polisi wanaweza kufanya hivyo bila maelekezo walaumiwe wanaotoa maelekezo