Uchaguzi 2020 CHADEMA: Jeshi la polisi limeomba majina ya wagombea wetu

Ugaidi sometimes huwa una sababu za msingi.
Omary Mahita aliyekuwa IGP ambaye rekodi yake ya ukatili bado haijavunjwa , baada ya kustaafu alikamatwa na kukabiliwa na Mashitaka ya aibu ya kumjaza mimba house girl wake na kukataa kutunza mtoto , bado tunachunguza kama alibaka ama walikubaliana.

Hii maana yake ni kwamba madaraka kuna wakati yanaisha na maisha ya kawaida hutokea .
 
Mnazua uongo ili mpate kick. Iko wapi barua ya polisi kuomba hayo majina? Chadema imejifia sababu ya kukumbatia upuuzi kama huu.
Umeiona???
IMG-20200716-WA0062.jpeg
 
Back
Top Bottom