Uchaguzi 2020 CHADEMA: Jeshi la polisi limeomba majina ya wagombea wetu

Kama hayo ni ya hakika ieleweke chama latu litashinda kwa vishindo kuliko serekali za mitaa
 
Mnatafuta kiki.
kiki ya nini
109121366_1831278973680252_2666629484046505485_n.jpg
soma hiyo
 
Jamani wapeni Ili wachunguzwe nyendo zao, hatutaki kabisa rushwa.
Kuna Rushwa kubwa kama ya kutumia pesa za walipa kodi kisha kusingizia kuwa umeleta maendeleo kana kwamba unatumia pesa zako binafsi, kuleta maendeleo kwa pesa za wananchi kisha kutumia kama kisingizio ni Rushwa kwani unajidai kuwa ni wewe umeyaleta maendeleo kwa nguvu zako binafsi.
 
Hivi Chadema ni wa kuandika barua ya hivi kweli asee? Au ni mkakati wa kuichafua chadame ionekane kutoa tuhuma za ovyo?
Na kama ni kweli hii ni ya Chadema mbona hawakuweka ushahidi wa hizo barua za polisi zinazolalamikiwa hapa? Wasipo ziweka hizo barua tutaamini kuwa hizo ni propaganda tu kama ilivyokuwa kwenye tukio la kupigwa na kuvunjwa kwa KUB huku watu wakitamka "tumetumwa kukuvunja mkuu na unamsumbua Rais".
109121366_1831278973680252_2666629484046505485_n.jpg
 
Kuna Rushwa kubwa kama ya kutumia pesa za walipa kodi kisha kusingizia kuwa umeleta maendeleo kana kwamba unatumia pesa zako binafsi, kuleta maendeleo kwa pesa za wananchi kisha kutumia kama kisingizio ni Rushwa kwani unajidai kuwa ni wewe umeyaleta maendeleo kwa nguvu zako binafsi.
 
Attachments

  • EdDZMm-WAAIXmtH.jpg
    EdDZMm-WAAIXmtH.jpg
    21.9 KB · Views: 1
Hivi Chadema ni wa kuandika barua ya hivi kweli asee? Au ni mkakati wa kuichafua chadame ionekane kutoa tuhuma za ovyo?
Na kama ni kweli hii ni ya Chadema mbona hawakuweka ushahidi wa hizo barua za polisi zinazolalamikiwa hapa? Wasipo ziweka hizo barua tutaamini kuwa hizo ni propaganda tu kama ilivyokuwa kwenye tukio la kupigwa na kuvunjwa kwa KUB huku watu wakitamka "tumetumwa kukuvunja mkuu na unamsumbua Rais".
Tulia dawa ikuingie,na kama ni uongo Polisi ndio itajibu na sio wewe.
 
Madictator huwa hawaogopi mahakama, bali huogopa nguvu ya umma au vikundi vya kigaidi. Hayo mambo mawili ndio pekee madictator huogopa. Bila kuanza kutega mabomu kwenye ofisi na mikutano ya ccm, au kuanza kupambana na vyombo vya dola itakuwa ngumu kusikilizwa.

Jeshi la CCM lishaanza bwembwe zakeb iayari.... tutashuhudia mengi mwaka huu!!
 
Back
Top Bottom