Uchaguzi 2020 CHADEMA: Jeshi la polisi limeomba majina ya wagombea wetu

Uchaguzi 2020 CHADEMA: Jeshi la polisi limeomba majina ya wagombea wetu

Tulishawazoea kwa kulalamika! Umesema hujui sababu badala ya kwenda kuwauliza sababu tayari eti unasema UNAMTAKA IGP .... Who are you?? Mnaanza kuleta sababu za kushindwa! Kama Polisi wanataka kuwajua wagombea wenu ili waimarishe ulinzi kwenye maeneo yao. Kila wakati kuwaza negativity tuuuu!!
 
Hlo halipo, huu ni wakati wa CCM mpya bhana
Ili ionekane kuwa Polisi hawana "Sinister Reason Behind Their Request" waandike barua kwa vyama vyote kuomba majina ya watia nia wa nafasi mbambali. Tena kwa kuwa CCM kuna mafuriko ya watia nia, waanze na orodha ya CCM kwanza!
 
Kuna mtu nilimwambia humu kwamba November watakuwa humu wakilaumu Polisi,NEC na Wakurugenzi.

Hayo matumaini hewa ya ushindi wanayojipa sasa kwa mazingira tuliyonayo ni kichekesho.

Jimbo kama Bukene toka uhuru halijawakilishwa na upinzani bungeni lakini tayari mikakati inaandaliwa,vipi yale yenye strong opposition?
Hiyo ni mikakati au uhuni tu ?
 
Wakulungwa sijui mnakwama wapi? Kutwa nzima mitandaoni mkionyesha wagombea wenu na kiasi cha Kura walizopata na majimbo watakayogombea.

Polisi kuomba orodha officially imekua nongwa na uzi umeanzishwa.

Tuambieni kama mliamua kuufanya Siri, au Sheria ya uchaguzi au usalama wa raia na malizao hauruhusu kufanya hivyo?
 
Acha kuwa zumbukuku ww
Tulishawazoea kwa kulalamika! Umesema hujui sababu badala ya kwenda kuwauliza sababu tayari eti unasema UNAMTAKA IGP .... Who are you?? Mnaanza kuleta sababu za kushindwa! Kama Polisi wanataka kuwajua wagombea wenu ili waimarishe ulinzi kwenye maeneo yao. Kila wakati kuwaza negativity tuuuu!!
 
huyo polisi yeye anaitwa nani pia jina la mama yake nani
 
Chadema mnawalea sana polis, waambieni wafuasi wenu kusitisha kutoa ushirikiano na jeshi LA polis Mara moja.Kwa nini mnawalambalamba miguu.Polis wanavunja sheria waziwazi halafu mnawachekea
 
Back
Top Bottom