johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
CCM hawana tatizo na Tume ya Uchaguzi NEC!Kwanini ccm msitume na nyie ili muweze kutuletea tune huru na katiba mpya?
Mtanganyika ndio nani?Katiba mpya ccm wameshaweka msimamo kuendelea na serikali 2. Mtanganyika yeyote atakayekubaliana na serikali 2 atakuwa msaliti.
Kilio cha wananchi ni tume huru na katiba. Je ccm hawana muda na matatizo ya wananchi?CCM hawana tatizo na Tume ya Uchaguzi NEC!
Mwananchi gani anayelilia Tume ya Uchaguzi?Kilio cha wananchi ni tume huru na katiba. Je ccm hawana muda na matatizo ya wananchi?
Hicho chama kipo kwa maslahi ya nani? Mbona tuliambiwa ni sirikali ya wanyonge.
Mimi na wewe na ndio maana umeona haja ya kuleta uzi kuishauri CDM. Ingekuwa huitaki wala usingehangaika.Mwananchi gani anayelilia Tume ya Uchaguzi?
😀Mimi na wewe na ndio maana umeona haja ya kuleta uzi kuishauri CDM. Ingekuwa huitaki wala usingehangaika.
Acha kujimwambafai bwashee njoo tunywe kiporo cha mbege hapa akili ikae sawa.
Walishajifunza ndio maana wanaisifia labda Uwashauri ccm Wakajifunze waache kuiogopa Tume HuruChadema wamekuwa wakiitolea mfano Tume ya Chebukati ( IEBC) kama mfano wa Tume Huru ya Uchaguzi bora kabisa barani Africa...
Raia wa tanganyika. Nchi kitisho kwa wengi, hata warioba na timu yake wakashindwa kuitamka wakiishia kuibatiza tanzania bara.Mtanganyika ndio nani?
Kwanza hujui lolote kuhusu utaratibu wao.Chadema wamekuwa wakiitolea mfano Tume ya Chebukati ( IEBC) kama mfano wa Tume Huru ya Uchaguzi bora kabisa barani Africa...
Utaratibu ndio huo unaanzia kwa Rais na utaishia kwa Rais huyo huyo!Kwanza hujui lolote kuhusu utaratibu wao.
Pili, kwa nini wao wawe ndio kipimo kwetu, hatuwezi kujiwekea kipimo chetu sisi wenyewe tunachoona kinatufaa?
Kwa Kiswahili, wewe hujui?Utaratibu ndio huo unaanzia kwa Rais na utaishia kwa Rais huyo huyo!
Mtanzania ana kipimo Kwenye jambo gani kwa mfano?
Ndio muende mkajifunze!Kwa Kiswahili, wewe hujui?
Kwa kutoelewa kwako unadhani linaishia kwa Rais; hujui kwamba anaweza kupingwa kwa uamzi anaofanya?
Hakuna cha kujifunza, safari hii CCM hata wafanye nini hawachomoki. Nenda kawape ujumbe huo.Ndio muende mkajifunze!
Tume huru na katiba mpya sio mahitaji ya Ccm kwa sasa.Kwanini ccm msitume na nyie ili muweze kutuletea tune huru na katiba mpya?
CCM imeilinda Dola na nchi Kuwa salama tangu enzi za TANU zaidi ya miaka 60 sasaHakuna cha kujifunza, safari hii CCM hata wafanye nini hawachomoki. Nenda kawape ujumbe huo.
Hili halishangazi, litakaloshangaza wengi ni kwa CHADEMA nao kukubaliana na maoni hayo!Tume huru na katiba mpya sio mahitaji ya Ccm kwa sasa.