Stori zisizokuwa na maana yoyote, hazihitaji jibu.CCM imeilinda Dola na nchi Kuwa salama tangu enzi za TANU zaidi ya miaka 60 sasa
Itaendelea kuwepo Sana hadi kitakapozaliwa Kizazi halisi cha Mageuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Stori zisizokuwa na maana yoyote, hazihitaji jibu.CCM imeilinda Dola na nchi Kuwa salama tangu enzi za TANU zaidi ya miaka 60 sasa
Itaendelea kuwepo Sana hadi kitakapozaliwa Kizazi halisi cha Mageuzi
Bakia hapo hapo Kwenye chama cha wastaafu wa Benki Kuu ya Tanzania!Stori zisizokuwa na maana yoyote, hazihitaji jibu.
Naona umelemewa na usingizi, sina muda wa kupoteza.Bakia hapo hapo Kwenye chama cha wastaafu wa Benki Kuu ya Tanzania!
Baki hapo hapo kwenye kibanda cha mlinzi!Naona umelemewa na usingizi, sina muda wa kupoteza.
Na kitatokea humo humo CCM na wala sio muda mrefu kuanzia sasa! Utabiri wa Mwalimu unanukia sana sanaCCM imeilinda Dola na nchi Kuwa salama tangu enzi za TANU zaidi ya miaka 60 sasa
Itaendelea kuwepo Sana hadi kitakapozaliwa Kizazi halisi cha Mageuzi
Jo lakini ujue suala la katiba mpya sii la Chadema,ila ni la wananchi na la kitaifa🤔Chadema wamekuwa wakiitolea mfano Tume ya Chebukati (IEBC) kama mfano wa Tume Huru ya Uchaguzi bora kabisa barani Africa
Chebukati na baadhi ya makamisha Muda wao umekwisha hivyo Rais Ruto ameunda timu ya Watu 7 kuanzisha Mchakato wa kupata Watendaji wapya wa IEBC
Kikosi Kazi hicho kitapendekeza majina yatakayofikishwa mbele ya Rais Ruto kwa Uteuzi
Chadema tumeni wataalamu wenu Nairobi wakajifunze ili mpate hoja za Katiba mpya
Kwaresma Njema!
Huo ndio mtazamo wako,ndio maana unaona katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ni la Chadema na kuwa halikuhusu wewe .Huo ni upotofu mkubwa Jo.,🤔CCM imeilinda Dola na nchi Kuwa salama tangu enzi za TANU zaidi ya miaka 60 sasa
Itaendelea kuwepo Sana hadi kitakapozaliwa Kizazi halisi cha Mageuzi
😄Huo ndio mtazamo wako,ndio maana unaona katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ni la Chadema na kuwa halikuhusu wewe .Huo ni upotofu mkubwa Jo.,🤔
Hapa anasubiri mapendekezo hajateuaChadema wamekuwa wakiitolea mfano Tume ya Chebukati (IEBC) kama mfano wa Tume Huru ya Uchaguzi bora kabisa barani Africa
Chebukati na baadhi ya makamisha Muda wao umekwisha hivyo Rais Ruto ameunda timu ya Watu 7 kuanzisha Mchakato wa kupata Watendaji wapya wa IEBC
Kikosi Kazi hicho kitapendekeza majina yatakayofikishwa mbele ya Rais Ruto kwa Uteuzi
Chadema tumeni wataalamu wenu Nairobi wakajifunze ili mpate hoja za Katiba mpya
Kwaresma Njema!
Una kichwa kigumu sanaHapa anasubiri mapendekezo hajateua
UWT imejaa watu wajinga snUna kichwa kigumu sana
Tatizo Chadema wanafikiri ili tume iwe huru basi na wao na vyama vyengine wawemo kwenye hiyo tume. Kwa taarifa tu ni kwamba hata hiyo IEBC imelalamikiwa kupendelea upande mmoja. Hakuna tume ya kitaifa yeyote duniani ambayo Rais hahusikiChadema wamekuwa wakiitolea mfano Tume ya Chebukati (IEBC) kama mfano wa Tume Huru ya Uchaguzi bora kabisa barani Africa
Chebukati na baadhi ya makamisha Muda wao umekwisha hivyo Rais Ruto ameunda timu ya Watu 7 kuanzisha Mchakato wa kupata Watendaji wapya wa IEBC
Kikosi Kazi hicho kitapendekeza majina yatakayofikishwa mbele ya Rais Ruto kwa Uteuzi
Chadema tumeni wataalamu wenu Nairobi wakajifunze ili mpate hoja za Katiba mpya
Kwaresma Njema!
Hao wananchi walikuambia wapi? Kuna kura yeyote ya maoni iliwahi kufanyika juu ya hili? Msisingizie wananchi wote, sema wewe ndio unatakaKilio cha wananchi ni tume huru na katiba. Je ccm hawana muda na matatizo ya wananchi?
Hicho chama kipo kwa maslahi ya nani? Mbona tuliambiwa ni sirikali ya wanyonge.
Mnachezeshwa Ngoma msiyoijuaUWT imejaa watu wajinga sn
Na CWT? hewa weweMnachezeshwa Ngoma msiyoijua
Mnakimbizana tu leo tunawasubiri Unyaluni!Na CWT? hewa wewe
CCM lazima ife haraka snMnakimbizana tu leo tunawasubiri Unyaluni!
Mtasubiri sana tu!CCM lazima ife haraka sn
Endeleeni kuteua waislamu tupu tuoneMtasubiri sana tu!
Mbona hapo Ufipa st ni Upendo Kwaya Kijitonyama!Endeleeni kuteua waislamu tupu tuone