Chadema jifunzeni Kenya Tume Huru ya Uchaguzi inavyopatika. Ruto ateua Watu 7 kuanzisha Mchakato na kumpeleka Majina kwa Uteuzi!

CCM imeilinda Dola na nchi Kuwa salama tangu enzi za TANU zaidi ya miaka 60 sasa

Itaendelea kuwepo Sana hadi kitakapozaliwa Kizazi halisi cha Mageuzi
Stori zisizokuwa na maana yoyote, hazihitaji jibu.
 
CCM imeilinda Dola na nchi Kuwa salama tangu enzi za TANU zaidi ya miaka 60 sasa

Itaendelea kuwepo Sana hadi kitakapozaliwa Kizazi halisi cha Mageuzi
Na kitatokea humo humo CCM na wala sio muda mrefu kuanzia sasa! Utabiri wa Mwalimu unanukia sana sana
 
Chadema wamekuwa wakiitolea mfano Tume ya Chebukati (IEBC) kama mfano wa Tume Huru ya Uchaguzi bora kabisa barani Africa

Chebukati na baadhi ya makamisha Muda wao umekwisha hivyo Rais Ruto ameunda timu ya Watu 7 kuanzisha Mchakato wa kupata Watendaji wapya wa IEBC

Kikosi Kazi hicho kitapendekeza majina yatakayofikishwa mbele ya Rais Ruto kwa Uteuzi

Chadema tumeni wataalamu wenu Nairobi wakajifunze ili mpate hoja za Katiba mpya

Kwaresma Njema!
Jo lakini ujue suala la katiba mpya sii la Chadema,ila ni la wananchi na la kitaifa🤔
 
CCM imeilinda Dola na nchi Kuwa salama tangu enzi za TANU zaidi ya miaka 60 sasa

Itaendelea kuwepo Sana hadi kitakapozaliwa Kizazi halisi cha Mageuzi
Huo ndio mtazamo wako,ndio maana unaona katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ni la Chadema na kuwa halikuhusu wewe .Huo ni upotofu mkubwa Jo.,🤔
 
Chadema wamekuwa wakiitolea mfano Tume ya Chebukati (IEBC) kama mfano wa Tume Huru ya Uchaguzi bora kabisa barani Africa

Chebukati na baadhi ya makamisha Muda wao umekwisha hivyo Rais Ruto ameunda timu ya Watu 7 kuanzisha Mchakato wa kupata Watendaji wapya wa IEBC

Kikosi Kazi hicho kitapendekeza majina yatakayofikishwa mbele ya Rais Ruto kwa Uteuzi

Chadema tumeni wataalamu wenu Nairobi wakajifunze ili mpate hoja za Katiba mpya

Kwaresma Njema!
Hapa anasubiri mapendekezo hajateua
 
Tatizo Chadema wanafikiri ili tume iwe huru basi na wao na vyama vyengine wawemo kwenye hiyo tume. Kwa taarifa tu ni kwamba hata hiyo IEBC imelalamikiwa kupendelea upande mmoja. Hakuna tume ya kitaifa yeyote duniani ambayo Rais hahusiki
 
Kilio cha wananchi ni tume huru na katiba. Je ccm hawana muda na matatizo ya wananchi?

Hicho chama kipo kwa maslahi ya nani? Mbona tuliambiwa ni sirikali ya wanyonge.
Hao wananchi walikuambia wapi? Kuna kura yeyote ya maoni iliwahi kufanyika juu ya hili? Msisingizie wananchi wote, sema wewe ndio unataka
 
Back
Top Bottom