Chadema jifunzeni Kenya Tume Huru ya Uchaguzi inavyopatika. Ruto ateua Watu 7 kuanzisha Mchakato na kumpeleka Majina kwa Uteuzi!

Chadema jifunzeni Kenya Tume Huru ya Uchaguzi inavyopatika. Ruto ateua Watu 7 kuanzisha Mchakato na kumpeleka Majina kwa Uteuzi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
CHADEMA wamekuwa wakiitolea mfano Tume ya Chebukati (IEBC) kama mfano wa Tume Huru ya Uchaguzi bora kabisa barani Africa.

Chebukati na baadhi ya makamisha muda wao umekwisha hivyo Rais Ruto ameunda timu ya watu 7 kuanzisha Mchakato wa kupata Watendaji wapya wa IEBC.

Kikosi Kazi hicho kitapendekeza majina yatakayofikishwa mbele ya Rais Ruto kwa Uteuzi.

CHADEMA tumeni wataalamu wenu Nairobi wakajifunze ili mpate hoja za Katiba mpya.

Kwaresma Njema!
 
Chadema wamekuwa wakiitolea mfano Tume ya Chebukati ( IEBC) kama mfano wa Tume Huru ya Uchaguzi bora kabisa barani Africa...
Kwanza hujui lolote kuhusu utaratibu wao.

Pili, kwa nini wao wawe ndio kipimo kwetu, hatuwezi kujiwekea kipimo chetu sisi wenyewe tunachoona kinatufaa?
 
Kwanza hujui lolote kuhusu utaratibu wao.

Pili, kwa nini wao wawe ndio kipimo kwetu, hatuwezi kujiwekea kipimo chetu sisi wenyewe tunachoona kinatufaa?
Utaratibu ndio huo unaanzia kwa Rais na utaishia kwa Rais huyo huyo!

Mtanzania ana kipimo Kwenye jambo gani kwa mfano?
 
Utaratibu ndio huo unaanzia kwa Rais na utaishia kwa Rais huyo huyo!

Mtanzania ana kipimo Kwenye jambo gani kwa mfano?
Kwa Kiswahili, wewe hujui?

Kwa kutoelewa kwako unadhani linaishia kwa Rais; hujui kwamba anaweza kupingwa kwa uamzi anaofanya?
 
Hakuna cha kujifunza, safari hii CCM hata wafanye nini hawachomoki. Nenda kawape ujumbe huo.
CCM imeilinda Dola na nchi Kuwa salama tangu enzi za TANU zaidi ya miaka 60 sasa

Itaendelea kuwepo Sana hadi kitakapozaliwa Kizazi halisi cha Mageuzi
 
Back
Top Bottom