CHADEMA Kanda ya Serengeti yakosoa Ripoti ya Uchunguzi wa mazingira Mto Mara

Rasterman

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
33,894
Reaction score
44,117
Chama kikuu cha upinzani chenye Matawi yake imara pande zote za nchi huku kikitetea haki za kuishi, maendeleo, haki, ulinzi na usalama wa wananchi kimekosoa vikali ripoti hiyo.

Kimetanabaisha kuwa Iwapo serikali haitakuja na majibu Tangible basi kwa kushirikiana na Wananchi wa Eneo hilo, asasi za kiraia na wadau mbalimbali watachukua dhima ya kupeleka Sampuli za Uchunguzi ndani na nje ya Nchi ili ukweli ujulikane.

IMG-20220321-WA0010.jpg
 
Uchunguzi umeongozwa na former government chief chemist na profesa nguli wa kemia.

Imethibitishwa ng'ombe wa huko humwaga 25 kgs za mbolea kwa mkupuo.

Ha ha ha.
 
Uchunguzi umeongozwa na former government chief chemist na profesa nguli wa kemia. Imethibitishwa ng'ombe wa huko humwaga 25 kgs za mbolea kwa mkupuo. Ha ha ha.
Ng'ombe mmoja?? kwa mwezi anakunya tani ngapi?
 
Uchunguzi umeongozwa na former government chief chemist na profesa nguli wa kemia. Imethibitishwa ng'ombe wa huko humwaga 25 kgs za mbolea kwa mkupuo. Ha ha ha.
Hiyo kilo 25 za mbolea kwa siku kwa ng'ombe mmoja anayekula na kushiba vizuri haifiki ?
 
Chama kikuu cha upinzani chenye Matawi yake imara pande zote za nchi huku kikitetea haki za kuishi, maendeleo, haki, ulinzi na usalama wa wananchi kimekosoa vikali ripoti hiyo.

Kimetanabaisha kuwa Iwapo serikali haitakuja na majibu Tangible basi kwa kushirikiana na Wananchi wa Eneo hilo, asasi za kiraia na wadauView attachment 2158867 mbali mbali watachukua dhima ya kupeleka Sampuli za Uchunguzi ndani na nje ya Nchi ili ukweli ujulikane.
Uchukuaji sampuli una utaratibu wake siyo kuchota au kuzoa tu.
 
Huu ndio Upinzani…kama serikali haitokuja na majibu wanayohisi ni sahihi basi wataenda kuchunguza wao sio yale ya zamani sijui wataandamana sijui Nchi haitokalika n.k hongereni sana
 
Chama kikuu cha upinzani chenye Matawi yake imara pande zote za nchi huku kikitetea haki za kuishi, maendeleo, haki, ulinzi na usalama wa wananchi kimekosoa vikali ripoti hiyo.

Kimetanabaisha kuwa Iwapo serikali haitakuja na majibu Tangible basi kwa kushirikiana na Wananchi wa Eneo hilo, asasi za kiraia na wadau mbalimbali watachukua dhima ya kupeleka Sampuli za Uchunguzi ndani na nje ya Nchi ili ukweli ujulikane.

View attachment 2158867
Rubbish,watupe utafiti wao au wanakosoa kwa upuuzi tuu
 
Chama kikuu cha upinzani chenye Matawi yake imara pande zote za nchi huku kikitetea haki za kuishi, maendeleo, haki, ulinzi na usalama wa wananchi kimekosoa vikali ripoti hiyo.

Kimetanabaisha kuwa Iwapo serikali haitakuja na majibu Tangible basi kwa kushirikiana na Wananchi wa Eneo hilo, asasi za kiraia na wadau mbalimbali watachukua dhima ya kupeleka Sampuli za Uchunguzi ndani na nje ya Nchi ili ukweli ujulikane.

View attachment 2158867
Asate sana. CCM wao watatoa tamko lini au wanasimamia msimamo wa watafiti uchwara unaolenga kuangamiza maisha ya raia na viumbe hai? MaCCM ni majitu ya ajabu sana.

"Mheshimiwa Spika, naona upinzani wamefikia pabaya, wanaikashifu serikali sikivu ya CCM. Chama kimefanya mengi sana, maendeleo makubwa tumepata, shule za msingi, sekondari na vyuo viko vingi leo, barabara za lami, umeme nchi nzima mpaka vijijini, lakini CHADEMA wanakebehi. Naipongeza sana serikali ya chama cha Mapinduzi.

Mheshimiwa Spika, nikiendelea mbele naomba nielezee kwa kifupi matatizo ya jimbo langu. Kule hatuna shule ya sekondari katika kata sita, maji ni ndoto, tunategemea mvua. Shule zilizopo hazina ubora wala walimu wa kutosha. Rais alikuja sasa ni miaka sita akatuahidi umeme lakini mpaka leo hakuna lolote. Barabara ni mbovu hazipitiki. Nauliza ni lini serikali híi (ya CCM) ITATUSIKIA NA KUTULETEA MAENDELEO?" (Makofi) Kwa! Kwa! Kwa!
 
Back
Top Bottom