- Thread starter
- #41
CorruptionProfesa wa kemia Tz UDSM Mfano, na profesa wa kemia Havard USA wanaweza ku perform sawasawa?
Kwa nini tuna maprofesa wengi tu lakini tupo nyuma kiteknolojia. Hatimae huishia kwenye siasa, basi tuseme motive yao ni nini?