CHADEMA Kanda ya Serengeti yakosoa Ripoti ya Uchunguzi wa mazingira Mto Mara

CHADEMA Kanda ya Serengeti yakosoa Ripoti ya Uchunguzi wa mazingira Mto Mara

Mheshimiwa Spika, nikiendelea mbele naomba nielezee kwa kifupi matatizo ya jimbo langu. Kule hatuna shule ya sekondari katika kata sita, maji ni ndoto, tunategemea mvua. Shule zilizopo hazina ubora wala walimu wa kutosha. Rais alikuja sasa ni miaka sita akatuahidi umeme lakini mpaka leo hakuna lolote. Barabara ni mbovu hazipitiki. Nauliza ni lini serikali híi (ya CCM) ITATUSIKIA NA KUTULETEA MAENDELEO?" (Makofi) Kwa! Kwa! Kwa!
Hahaa yaani jamani. Kazi tunayo tanzania.
 
Tujenge hoja badala ya matusi, mie sina weledi wa kutukana
Lete hoja yako tuchemshane kwa hoja badala ya matusi
Matusi sio mazuri. Lakini na nyie wana ccm mmezidi kucoment vitu vinavyoonekana vya kijnga hata kama mna akili.
 
Chama kikuu cha upinzani chenye Matawi yake imara pande zote za nchi huku kikitetea haki za kuishi, maendeleo, haki, ulinzi na usalama wa wananchi kimekosoa vikali ripoti hiyo.

Kimetanabaisha kuwa Iwapo serikali haitakuja na majibu Tangible basi kwa kushirikiana na Wananchi wa Eneo hilo, asasi za kiraia na wadau mbalimbali watachukua dhima ya kupeleka Sampuli za Uchunguzi ndani na nje ya Nchi ili ukweli ujulikane.

View attachment 2158867
Nipo na CDM Kwa hilo
 
Uchunguzi umeongozwa na former government chief chemist na profesa nguli wa kemia.

Imethibitishwa ng'ombe wa huko humwaga 25 kgs za mbolea kwa mkupuo.

Ha ha ha.
wasomi wetu hovyo kabisa
bila shaka anatoka kwenye yale makabila wasiojua hata ng'ombe ni nini
 
Nipo na CDM Kwa hilo
Ndio chama pekee kilicho baki na wananchi. Wengine woote wamekuwa wakituhadaa miaka nenda rudi. Utawajua wakati kama huu wa shida. Hawana habari na sisi watanzania
 
Rubbish,watupe utafiti wao au wanakosoa kwa upuuzi tuu
Wamekosoa kutokana na Contradicting reports za wadau wote wakidai ni watu wa serikali.

Mbunge wa Rorya Mh Chenge( CCM) ameonesha pia kutoridhika na ripoti hizo akidai kuwa moja ya ripoti hizo ni ya uongo au zote mbili.
 
Matusi sio mazuri. Lakini na nyie wana ccm mmezidi kucoment vitu vinavyoonekana vya kijnga hata kama mna akili.
1647874363308.jpeg
 
Huu ndio Upinzani…kama serikali haitokuja na majibu wanayohisi ni sahihi basi wataenda kuchunguza wao sio yale ya zamani sijui wataandamana sijui Nchi haitokalika n.k hongereni sana
Hivi kweli ngombe mmoja anaweza kutoa kunyesi Cha kg25 kwa Mala moja?Mimi Nina ngombe lakini sijawai ona hicho kituko hata tembo hawezi lakini hii riport itakua maajabu moja wapo ya Dunia
 
Uchunguzi umeongozwa na former government chief chemist na profesa nguli wa kemia.

Imethibitishwa ng'ombe wa huko humwaga 25 kgs za mbolea kwa mkupuo.

Ha ha ha.
Sasa mkuu kabla ya kuanza uchunguzi, usiku kabla ya kulala mnaitwa kwenye kikao na MD wa Mining yupo video online, baada ya hapo unarudi room ili kulala unahesabu wekundu ulioletewa.

moja ..., kumi na kenda, twenty milioni.
Kulala, kula, usafiri, allowance n.k vyote juu ya mgodi.

Baada ya hapo tupe majibu ya uchunguzi wako.
 
Mna ushahidi lakini?? Hao watu wa mining wanajua wafrika are very corrupt
 
Sasa mkuu kabla ya kuanza uchunguzi, usiku kabla ya kulala mnaitwa kwenye kikao na MD wa Mining yupo video online, baada ya hapo unarudi room ili kulala unahesabu wekundu ulioletewa.

moja ..., kumi na kenda, twenty milioni.
Kulala, kula, usafiri, allowance n.k vyote juu ya mgodi.

Baada ya hapo tupe majibu ya uchunguzi wako.
Sio rahisi kuhongwa.
 
Hiyo kilo 25 za mbolea kwa siku kwa ng'ombe mmoja anayekula na kushiba vizuri haifiki ?
Profesa maji taka.
Kwanza hajiulizi, kwani ng'ombe wananyea kwenye mto?
Ng'ombe gani anatoa kinyesi kilo 25? Huyu anaona sisi hatujui ng'ombe wa kikurya? Huyo ng'ombe anakula kilo ngapi ?
Mimi nafuga, namwalika Prof aje anioneshe hizo kilo 25 za kinyesi.
MTU unajitoa ufahamu kisa rushwa ndogo ndogo???
 
Asate sana. CCM wao watatoa tamko lini au wanasimamia msimamo wa watafiti uchwara unaolenga kuangamiza maisha ya raia na viumbe hai? MaCCM ni majitu ya ajabu sana.

"Mheshimiwa Spika, naona upinzani wamefikia pabaya, wanaikashifu serikali sikivu ya CCM. Chama kimefanya mengi sana, maendeleo makubwa tumepata, shule za msingi, sekondari na vyuo viko vingi leo, barabara za lami, umeme nchi nzima mpaka vijijini, lakini CHADEMA wanakebehi. Naipongeza sana serikali ya chama cha Mapinduzi.

Mheshimiwa Spika, nikiendelea mbele naomba nielezee kwa kifupi matatizo ya jimbo langu. Kule hatuna shule ya sekondari katika kata sita, maji ni ndoto, tunategemea mvua. Shule zilizopo hazina ubora wala walimu wa kutosha. Rais alikuja sasa ni miaka sita akatuahidi umeme lakini mpaka leo hakuna lolote. Barabara ni mbovu hazipitiki. Nauliza ni lini serikali híi (ya CCM) ITATUSIKIA NA KUTULETEA MAENDELEO?" (Makofi) Kwa! Kwa! Kwa!
Ha ha ha

Huyu mbunge wa CCM bila shaka ni Zuzu au kasuku anayeiga sauti tu bila kutafakari

Hapa anasifia mafanikio lakini hapohapo anaomba kile kile ambacho anasema kipo jimboni kwake kimejaa tele!

U-CCM ni full uzuzu kwa kwenda mbele
 
Ripoti haijataja matusi.

Wataalam wamepishana na ripoti.

Ni kawaida kwa Elites kupishana mawazo kutokana na tofauti kimawazo na maarifa
Profesa wa kemia Tz UDSM Mfano, na profesa wa kemia Havard USA wanaweza ku perform sawasawa?
Kwa nini tuna maprofesa wengi tu lakini tupo nyuma kiteknolojia. Hatimae huishia kwenye siasa, basi tuseme motive yao ni nini?
 
Maprofesa wakibongo mbele ya hela nibora aliye soma ngumbaro.
Ila njaa!!!
 
Back
Top Bottom