Ok, tunasubiri ripoti ya uchunguzi wao.mbali mbali watachukua dhima ya kupeleka Sampuli za Uchunguzi ndani na nje ya Nchi ili ukweli ujulikane.
Bado tunaendelea kuamini ripoti ya serikali inayosimamiwa na vyombo maalum.Ok, tunasubiri ripoti ya uchunguzi wao.
Ng'ombe mmoja?? kwa mwezi anakunya tani ngapi?Uchunguzi umeongozwa na former government chief chemist na profesa nguli wa kemia. Imethibitishwa ng'ombe wa huko humwaga 25 kgs za mbolea kwa mkupuo. Ha ha ha.
Hiyo kilo 25 za mbolea kwa siku kwa ng'ombe mmoja anayekula na kushiba vizuri haifiki ?Uchunguzi umeongozwa na former government chief chemist na profesa nguli wa kemia. Imethibitishwa ng'ombe wa huko humwaga 25 kgs za mbolea kwa mkupuo. Ha ha ha.
Punguza Ukali wa maneno.Rubbish Proffesor , ndo mana Jiwe alikuwa anawanyea
Uchukuaji sampuli una utaratibu wake siyo kuchota au kuzoa tu.Chama kikuu cha upinzani chenye Matawi yake imara pande zote za nchi huku kikitetea haki za kuishi, maendeleo, haki, ulinzi na usalama wa wananchi kimekosoa vikali ripoti hiyo.
Kimetanabaisha kuwa Iwapo serikali haitakuja na majibu Tangible basi kwa kushirikiana na Wananchi wa Eneo hilo, asasi za kiraia na wadauView attachment 2158867 mbali mbali watachukua dhima ya kupeleka Sampuli za Uchunguzi ndani na nje ya Nchi ili ukweli ujulikane.
... kwa kuwa tafiti hupingwa kwa tafiti most likely ndio maana Chadema wanasisitiza uchunguzi mbadala ili ukweli ujulikane.Hiyo kilo 25 za mbolea kwa siku kwa ng'ombe mmoja anayekula na kushiba vizuri haifiki ?
Ustaarabu ndio huo mnalioletewa kwenye ripoti sasa mnalalamika nini tena?Punguza Ukali wa maneno. Tumeshatoka huko tunaelekea nchi ya kistaarabu
Mkuu si wamesema watatumia wataalam?Uchukuaji sampuli una utaratibu wake siyo kuchota au kuzoa tu.
Ripoti haijataja matusi.Ustaarabu ndio huo mnalioletewa kwenye ripoti sasa mnalalamika nini tena?
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Very profesional... kwa kuwa tafiti hupingwa kwa tafiti most likely ndio maana Chadema wanasisitiza uchunguzi mbadala ili ukweli ujulikane.
Ng'ombe jamii gani huyu?Hiyo kilo 25 za mbolea kwa siku kwa ng'ombe mmoja anayekula na kushiba vizuri haifiki ?
Rubbish,watupe utafiti wao au wanakosoa kwa upuuzi tuuChama kikuu cha upinzani chenye Matawi yake imara pande zote za nchi huku kikitetea haki za kuishi, maendeleo, haki, ulinzi na usalama wa wananchi kimekosoa vikali ripoti hiyo.
Kimetanabaisha kuwa Iwapo serikali haitakuja na majibu Tangible basi kwa kushirikiana na Wananchi wa Eneo hilo, asasi za kiraia na wadau mbalimbali watachukua dhima ya kupeleka Sampuli za Uchunguzi ndani na nje ya Nchi ili ukweli ujulikane.
View attachment 2158867
Asate sana. CCM wao watatoa tamko lini au wanasimamia msimamo wa watafiti uchwara unaolenga kuangamiza maisha ya raia na viumbe hai? MaCCM ni majitu ya ajabu sana.Chama kikuu cha upinzani chenye Matawi yake imara pande zote za nchi huku kikitetea haki za kuishi, maendeleo, haki, ulinzi na usalama wa wananchi kimekosoa vikali ripoti hiyo.
Kimetanabaisha kuwa Iwapo serikali haitakuja na majibu Tangible basi kwa kushirikiana na Wananchi wa Eneo hilo, asasi za kiraia na wadau mbalimbali watachukua dhima ya kupeleka Sampuli za Uchunguzi ndani na nje ya Nchi ili ukweli ujulikane.
View attachment 2158867