Hahaa yaani jamani. Kazi tunayo tanzania.Mheshimiwa Spika, nikiendelea mbele naomba nielezee kwa kifupi matatizo ya jimbo langu. Kule hatuna shule ya sekondari katika kata sita, maji ni ndoto, tunategemea mvua. Shule zilizopo hazina ubora wala walimu wa kutosha. Rais alikuja sasa ni miaka sita akatuahidi umeme lakini mpaka leo hakuna lolote. Barabara ni mbovu hazipitiki. Nauliza ni lini serikali híi (ya CCM) ITATUSIKIA NA KUTULETEA MAENDELEO?" (Makofi) Kwa! Kwa! Kwa!
Matusi sio mazuri. Lakini na nyie wana ccm mmezidi kucoment vitu vinavyoonekana vya kijnga hata kama mna akili.Tujenge hoja badala ya matusi, mie sina weledi wa kutukana
Lete hoja yako tuchemshane kwa hoja badala ya matusi
Nipo na CDM Kwa hiloChama kikuu cha upinzani chenye Matawi yake imara pande zote za nchi huku kikitetea haki za kuishi, maendeleo, haki, ulinzi na usalama wa wananchi kimekosoa vikali ripoti hiyo.
Kimetanabaisha kuwa Iwapo serikali haitakuja na majibu Tangible basi kwa kushirikiana na Wananchi wa Eneo hilo, asasi za kiraia na wadau mbalimbali watachukua dhima ya kupeleka Sampuli za Uchunguzi ndani na nje ya Nchi ili ukweli ujulikane.
View attachment 2158867
wasomi wetu hovyo kabisaUchunguzi umeongozwa na former government chief chemist na profesa nguli wa kemia.
Imethibitishwa ng'ombe wa huko humwaga 25 kgs za mbolea kwa mkupuo.
Ha ha ha.
Ndio chama pekee kilicho baki na wananchi. Wengine woote wamekuwa wakituhadaa miaka nenda rudi. Utawajua wakati kama huu wa shida. Hawana habari na sisi watanzaniaNipo na CDM Kwa hilo
labda kilo 2Hiyo kilo 25 za mbolea kwa siku kwa ng'ombe mmoja anayekula na kushiba vizuri haifiki ?
Wamekosoa kutokana na Contradicting reports za wadau wote wakidai ni watu wa serikali.Rubbish,watupe utafiti wao au wanakosoa kwa upuuzi tuu
Matusi sio mazuri. Lakini na nyie wana ccm mmezidi kucoment vitu vinavyoonekana vya kijnga hata kama mna akili.
Hayapendezi lakini yana mantiki.Ndio uvumilivu wa kidenokrasia
Hata mnayoongea nyie hayatupendezi wengine lakini tunastahmili
Matusi sio mazuri. Lakini na nyie wana ccm mmezidi kucoment vitu vinavyoonekana vya kijnga hata kama mna akili.
Hivi kweli ngombe mmoja anaweza kutoa kunyesi Cha kg25 kwa Mala moja?Mimi Nina ngombe lakini sijawai ona hicho kituko hata tembo hawezi lakini hii riport itakua maajabu moja wapo ya DuniaHuu ndio Upinzani…kama serikali haitokuja na majibu wanayohisi ni sahihi basi wataenda kuchunguza wao sio yale ya zamani sijui wataandamana sijui Nchi haitokalika n.k hongereni sana
Sasa mkuu kabla ya kuanza uchunguzi, usiku kabla ya kulala mnaitwa kwenye kikao na MD wa Mining yupo video online, baada ya hapo unarudi room ili kulala unahesabu wekundu ulioletewa.Uchunguzi umeongozwa na former government chief chemist na profesa nguli wa kemia.
Imethibitishwa ng'ombe wa huko humwaga 25 kgs za mbolea kwa mkupuo.
Ha ha ha.
Hahhaa we jamaa
Mna ushahidi lakini?? Hao watu wa mining wanajua wafrika are very corruptSasa mkuu kabla ya kuanza uchunguzi, usiku kabla ya kulala mnaitwa kwenye kikao na MD wa Mining yupo video online, baada ya hapo unarudi room ili kulala unahesabu wekundu ulioletewa.
moja ..., kumi na kenda, twenty milioni.
Kulala, kula, usafiri, allowance n.k vyote juu ya mgodi.
Baada ya hapo tupe majibu ya uchunguzi wako.
Sio rahisi kuhongwa.Sasa mkuu kabla ya kuanza uchunguzi, usiku kabla ya kulala mnaitwa kwenye kikao na MD wa Mining yupo video online, baada ya hapo unarudi room ili kulala unahesabu wekundu ulioletewa.
moja ..., kumi na kenda, twenty milioni.
Kulala, kula, usafiri, allowance n.k vyote juu ya mgodi.
Baada ya hapo tupe majibu ya uchunguzi wako.
Bila shaka ni baadhi ya samaki waliokufa na maji.Mkuu si wamesema watatumia wataalam?
Ulidhani wataenda kuchukua kwa kutumia ndoo na madumu?
Profesa maji taka.Hiyo kilo 25 za mbolea kwa siku kwa ng'ombe mmoja anayekula na kushiba vizuri haifiki ?
Ha ha haAsate sana. CCM wao watatoa tamko lini au wanasimamia msimamo wa watafiti uchwara unaolenga kuangamiza maisha ya raia na viumbe hai? MaCCM ni majitu ya ajabu sana.
"Mheshimiwa Spika, naona upinzani wamefikia pabaya, wanaikashifu serikali sikivu ya CCM. Chama kimefanya mengi sana, maendeleo makubwa tumepata, shule za msingi, sekondari na vyuo viko vingi leo, barabara za lami, umeme nchi nzima mpaka vijijini, lakini CHADEMA wanakebehi. Naipongeza sana serikali ya chama cha Mapinduzi.
Mheshimiwa Spika, nikiendelea mbele naomba nielezee kwa kifupi matatizo ya jimbo langu. Kule hatuna shule ya sekondari katika kata sita, maji ni ndoto, tunategemea mvua. Shule zilizopo hazina ubora wala walimu wa kutosha. Rais alikuja sasa ni miaka sita akatuahidi umeme lakini mpaka leo hakuna lolote. Barabara ni mbovu hazipitiki. Nauliza ni lini serikali híi (ya CCM) ITATUSIKIA NA KUTULETEA MAENDELEO?" (Makofi) Kwa! Kwa! Kwa!
Profesa wa kemia Tz UDSM Mfano, na profesa wa kemia Havard USA wanaweza ku perform sawasawa?Ripoti haijataja matusi.
Wataalam wamepishana na ripoti.
Ni kawaida kwa Elites kupishana mawazo kutokana na tofauti kimawazo na maarifa