CHADEMA Kanda ya Serengeti yakosoa Ripoti ya Uchunguzi wa mazingira Mto Mara

Profesa wa kemia Tz UDSM Mfano, na profesa wa kemia Havard USA wanaweza ku perform sawasawa?
Kwa nini tuna maprofesa wengi tu lakini tupo nyuma kiteknolojia. Hatimae huishia kwenye siasa, basi tuseme motive yao ni nini?
Corruption
 
Maprofesa wakibongo mbele ya hela nibora aliye soma ngumbaro.
Ila njaa!!!
Very true. Ngumbaro hana madhara kwa jamii. Ila prof Corrupt anaicost nchi kwa maamuzu yake.
 
Ndio Prof Kashasema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…