Hahahha.. Tatizo umejifungia hapo ufipa sasa ukiona maafisa wa chadema wanavyomponda basi unaona hiyo ndio tz!Hakubaliki kwa masikini wa nchi hii labda hao wanasiasa wenzake wanaomtukuza ili kesho awape vyeo.
Magufuli hakubaliki kwa maskini? Hizo hospitali na madawa yaliyoongezwa mno tena mno nani wanafaidika kama sio maskini? Mikopo ya elimu ya juu kuongezeka zaidi ya maradufu je? Heshima ofisi za serikali kurejeshwa kwani ni nani aliyenyanyaswa kabla? Si maskini? Kukataa lock down nani angeteseka kama angetoa amri ya lock down? CHADEMA wanapanga kususia uchaguzi kwa sababu watapata kapa bila kujali anagombea nani hata kama ni Bagonza.Hakubaliki kwa masikini wa nchi hii labda hao wanasiasa wenzake wanaomtukuza ili kesho awape vyeo.
Tunashukuru kwa hili bandiko, ila kilichotokea kwa mgombea mwingine wa ccm 2015 ndani ya cdm kimetutosha. Cdm kama chama wanaweza kumpitisha Nyalandu, lakini mimi na mke wangu hatuko tayari kurudia kosa la Lowassa ndani ya cdm.
Mkuu haya madawa unazungumzia Nchii gani?Magufuli hakubaliki kwa maskini? Hizo hospitali na madawa yaliyoongezwa mno tena mno nani wanafaidika kama sio maskini? Mikopo ya elimu ya juu kuongezeka zaidi ya maradufu je? Heshima ofisi za serikali kurejeshwa kwani ni nani aliyenyanyaswa kabla? Si maskini? Kukataa lock down nani angeteseka kama angetoa amri ya lock down? CHADEMA wanapanga kususia uchaguzi kwa sababu watapata kapa bila kujali anagombea nani hata kama ni Bagonza.
Usisahau kuwa kufeli ni sehemu ya maisha ya magu,hajaanza kushindwa leo Hata urais wake anajua alisukumiziwa si kushindaHakuna wa kusimama na magufuli akamtingisha kati hao wote, watagaragazwa vibaya sana.kifupi chadema hakuna mshindani wa magufuli Ni wasindikizaji tu
Magufuli atashindishwa Kama alivyoshindishwa awamu ya kwanza Ila uwezo wa kushinda kwa kura hana.Hahahha.. Tatizo umejifungia hapo ufipa sasa ukiona maafisa wa chadema wanavyomponda basi unaona hiyo ndio tz!
Njoo field mkuu, nakwambia tena njoo field ccm inakopatia kura.
Kwa hiyo huna uhakika wa mbunue yake ila una uhakika wa kura tu!Sina chembe ya shaka na mke wangu kwenye hili la kura. Yale mambo mengine sawa, ila sio kwenye kura.
Kiongozi muongo,mbabe Kama Hitler na Stalin,asiyependa kukosolewa,asiyeheshimu utawala wa sheria ,agawaye pesa kama njugu na sasa amekuwa Yesu mnazachatoMagufuli hafai kabisa amekuwa kituko duniani kote.
Hiyo yote danganya toto wanasikilizia mbeme kama atatemwa kule kwa kijani amini usiamini yale yale ya lowasa yanajirudia tena.Kwa jinsi nilivyomsikiliza mh Nyalandu Leo ni dhahiri kuwa ndiyo mgombea rasmi Kwa tiketi ya CHADEMA.
Hawa jamaa wametumia mbinu hatari za kijasusi sijui kama hapa hakuna mkono wa Yerico Nyerere na kama yupo basi hii strategy ni hatari sana!Achana na mbwembwe za Mh Lissu kuchangisha fedha hii bado ni mbinu kisha nisikize Mimi.
CHADEMA walishajua mbinu za CCM za kutumia propaganda kumchafua mgombea wa upinzani basi wakajidhatiti kwa kuficha dume Mh Nyalandu Kwa kipindi chote amekua kimya kama vile hayupo!
Upande wa pili ukijua Lissu ndiye na wao wakimpamba kwa Kwa sifa kedekede kama mbeba maono hafi! Mungu bado anakazi naye! Vijana wa Lumumba wakakomaa kuleta propaganda za anatumiwa na mabeberu;ana support ushoga na anapinga kila kitu sasa tutarajie kusikia huyu aliuza Twiga wetu!
Swali litakua ni je mahakama ya mafisadi ilishindwa kumfunga muda wote huo? Alishirikiana na Nani?
Kama zilivyo propaganda za faru John zilivyozimwa na kumfananisha mtu na Yesu tutalajie nini?
Hata huyo lisu gia itabadilishiwa hewani wee subiri mbeme atemwe upande wa pili uone kama hajanyakuliwa kaa lowasa.Sidhani kama chadema watamsimamisha Nyalandu. Ni Lissu.
Cahdema wanajua fika kwamba hawawezi kushinda Urais ila wanacholilia ni kupata kura chache za urais ili ziongeze ruzuku basi hakika wanafahamu fika hawapati Urais. Nikilinganisha na uchaguzi uliopita kila mtu Arusha alitegemea Lowassa kupita lakini safari hii hata kule sokoni kilombero hasa akina mama ambao ndio wengi na kule kwa machinga semunge wote wanaongea lugha moja tu watampa Chuma wala sio jiwe wanasema yule ni chumaHakuna wa kusimama na magufuli akamtingisha kati hao wote, watagaragazwa vibaya sana.kifupi chadema hakuna mshindani wa magufuli Ni wasindikizaji tu
Tupo field na tunashuhudia ugumu wa maisha na vilio vya wananchi. Wewe upo field gani? Labda field ya green guard kujiandaa kuumiza watanzania wenzao siku ya uchaguzi.Hahahha.. Tatizo umejifungia hapo ufipa sasa ukiona maafisa wa chadema wanavyomponda basi unaona hiyo ndio tz!
Njoo field mkuu, nakwambia tena njoo field ccm inakopatia kura.
Unafurahisha ?, mnapo weka matumaini yenu juu sana ya wagombea ndio maana matokeo yakiwa yanavyo takiwa kuwa, Chadema wana sema kura zimeibiwa. Zipo njia nyingi za kupoteza na kuharibu pesa hata kucheza kamari pia ni njia nyingine.Kwa jinsi nilivyomsikiliza mh Nyalandu Leo ni dhahiri kuwa ndiyo mgombea rasmi Kwa tiketi ya CHADEMA.
Hawa jamaa wametumia mbinu hatari za kijasusi sijui kama hapa hakuna mkono wa Yerico Nyerere na kama yupo basi hii strategy ni hatari sana!Achana na mbwembwe za Mh Lissu kuchangisha fedha hii bado ni mbinu kisha nisikize Mimi.
CHADEMA walishajua mbinu za CCM za kutumia propaganda kumchafua mgombea wa upinzani basi wakajidhatiti kwa kuficha dume Mh Nyalandu Kwa kipindi chote amekua kimya kama vile hayupo!
Upande wa pili ukijua Lissu ndiye na wao wakimpamba kwa Kwa sifa kedekede kama mbeba maono hafi! Mungu bado anakazi naye! Vijana wa Lumumba wakakomaa kuleta propaganda za anatumiwa na mabeberu;ana support ushoga na anapinga kila kitu sasa tutarajie kusikia huyu aliuza Twiga wetu!
Swali litakua ni je mahakama ya mafisadi ilishindwa kumfunga muda wote huo? Alishirikiana na Nani?
Kama zilivyo propaganda za faru John zilivyozimwa na kumfananisha mtu na Yesu tutalajie nini?
KabisaCahdema wanajua fika kwamba hawawezi kushinda Urais ila wanacholilia ni kupata kura chache za urais ili ziongeze ruzuku basi hakika wanafahamu fika hawapati Urais. Nikilinganisha na uchaguzi uliopita kila mtu Arusha alitegemea Lowassa kupita lakini safari hii hata kule sokoni kilombero hasa akina mama ambao ndio wengi na kule kwa machinga semunge wote wanaongea lugha moja tu watampa Chuma wala sio jiwe wanasema yule ni chuma
Kwa hiyo huna uhakika wa mbunue yake ila una uhakika wa kura tu!