Uchaguzi 2020 CHADEMA karata wamezichanga vizuri

Hakubaliki kwa masikini wa nchi hii labda hao wanasiasa wenzake wanaomtukuza ili kesho awape vyeo.
Hahahha.. Tatizo umejifungia hapo ufipa sasa ukiona maafisa wa chadema wanavyomponda basi unaona hiyo ndio tz!
Njoo field mkuu, nakwambia tena njoo field ccm inakopatia kura.
 
Magufuli hakubaliki kwa maskini? Hizo hospitali na madawa yaliyoongezwa mno tena mno nani wanafaidika kama sio maskini? Mikopo ya elimu ya juu kuongezeka zaidi ya maradufu je? Heshima ofisi za serikali kurejeshwa kwani ni nani aliyenyanyaswa kabla? Si maskini? Kukataa lock down nani angeteseka kama angetoa amri ya lock down? CHADEMA wanapanga kususia uchaguzi kwa sababu watapata kapa bila kujali anagombea nani hata kama ni Bagonza.
 
Nasimama nawewe. Bora nisipige kura.
Tunashukuru kwa hili bandiko, ila kilichotokea kwa mgombea mwingine wa ccm 2015 ndani ya cdm kimetutosha. Cdm kama chama wanaweza kumpitisha Nyalandu, lakini mimi na mke wangu hatuko tayari kurudia kosa la Lowassa ndani ya cdm.
 
CDM chama cha kiumeni..huwezi kupambana ondoka chqmani tena wewe na mkeo au mumeo..mlikuja kwa hiari na ataondoka kwa hiari..

CDM ni chama pedwa...kununua madiwani na wabunge ni kujichosha tu... utanunua wangapi? Vijana wote wenye akili wapo CDM!!
 
Magufuli hakubaliki kwa maskini? Hizo hospitali na madawa yaliyoongezwa mno tena mno nani wanafaidika kama sio maskini? Mikopo ya elimu ya juu kuongezeka zaidi ya maradufu je? Heshima ofisi za serikali kurejeshwa kwani ni nani aliyenyanyaswa kabla? Si maskini? Kukataa lock down nani angeteseka kama angetoa amri ya lock down? CHADEMA wanapanga kususia uchaguzi kwa sababu watapata kapa bila kujali anagombea nani hata kama ni Bagonza.
Mkuu haya madawa unazungumzia Nchii gani?
 
Hakuna wa kusimama na magufuli akamtingisha kati hao wote, watagaragazwa vibaya sana.kifupi chadema hakuna mshindani wa magufuli Ni wasindikizaji tu
Usisahau kuwa kufeli ni sehemu ya maisha ya magu,hajaanza kushindwa leo Hata urais wake anajua alisukumiziwa si kushinda
 
Hahahha.. Tatizo umejifungia hapo ufipa sasa ukiona maafisa wa chadema wanavyomponda basi unaona hiyo ndio tz!
Njoo field mkuu, nakwambia tena njoo field ccm inakopatia kura.
Magufuli atashindishwa Kama alivyoshindishwa awamu ya kwanza Ila uwezo wa kushinda kwa kura hana.
 
Kwa jinsi nilivyomsikiliza mh Nyalandu Leo ni dhahiri kuwa ndiyo mgombea rasmi Kwa tiketi ya CHADEMA.

Hawa jamaa wametumia mbinu hatari za kijasusi sijui kama hapa hakuna mkono wa Yerico Nyerere na kama yupo basi hii strategy ni hatari sana!Achana na mbwembwe za Mh Lissu kuchangisha fedha hii bado ni mbinu kisha nisikize Mimi.

CHADEMA walishajua mbinu za CCM za kutumia propaganda kumchafua mgombea wa upinzani basi wakajidhatiti kwa kuficha dume Mh Nyalandu Kwa kipindi chote amekua kimya kama vile hayupo!

Upande wa pili ukijua Lissu ndiye na wao wakimpamba kwa Kwa sifa kedekede kama mbeba maono hafi! Mungu bado anakazi naye! Vijana wa Lumumba wakakomaa kuleta propaganda za anatumiwa na mabeberu;ana support ushoga na anapinga kila kitu sasa tutarajie kusikia huyu aliuza Twiga wetu!

Swali litakua ni je mahakama ya mafisadi ilishindwa kumfunga muda wote huo? Alishirikiana na Nani?

Kama zilivyo propaganda za faru John zilivyozimwa na kumfananisha mtu na Yesu tutalajie nini?
Hiyo yote danganya toto wanasikilizia mbeme kama atatemwa kule kwa kijani amini usiamini yale yale ya lowasa yanajirudia tena.
 
Sidhani kama chadema watamsimamisha Nyalandu. Ni Lissu.
Hata huyo lisu gia itabadilishiwa hewani wee subiri mbeme atemwe upande wa pili uone kama hajanyakuliwa kaa lowasa.
Na hii karata kama wataicheza vizuri (kama litatokea)itawapa tena wabunge wengi sana na hata huku huko upande wa kijani kuna watakao muunga mkono mbeme makusudi ili kumkomoa magu maana takwimu kwa sisi makamisaa inaonyesha kuna mgawanyiko mkubwa sana utatokea upande wa kijani na ili kukosa wote usishangae upinzani ukafanikiwa hii nafasi.
 
Hakuna wa kusimama na magufuli akamtingisha kati hao wote, watagaragazwa vibaya sana.kifupi chadema hakuna mshindani wa magufuli Ni wasindikizaji tu
Cahdema wanajua fika kwamba hawawezi kushinda Urais ila wanacholilia ni kupata kura chache za urais ili ziongeze ruzuku basi hakika wanafahamu fika hawapati Urais. Nikilinganisha na uchaguzi uliopita kila mtu Arusha alitegemea Lowassa kupita lakini safari hii hata kule sokoni kilombero hasa akina mama ambao ndio wengi na kule kwa machinga semunge wote wanaongea lugha moja tu watampa Chuma wala sio jiwe wanasema yule ni chuma
 
Hahahha.. Tatizo umejifungia hapo ufipa sasa ukiona maafisa wa chadema wanavyomponda basi unaona hiyo ndio tz!
Njoo field mkuu, nakwambia tena njoo field ccm inakopatia kura.
Tupo field na tunashuhudia ugumu wa maisha na vilio vya wananchi. Wewe upo field gani? Labda field ya green guard kujiandaa kuumiza watanzania wenzao siku ya uchaguzi.
 
Kwa jinsi nilivyomsikiliza mh Nyalandu Leo ni dhahiri kuwa ndiyo mgombea rasmi Kwa tiketi ya CHADEMA.

Hawa jamaa wametumia mbinu hatari za kijasusi sijui kama hapa hakuna mkono wa Yerico Nyerere na kama yupo basi hii strategy ni hatari sana!Achana na mbwembwe za Mh Lissu kuchangisha fedha hii bado ni mbinu kisha nisikize Mimi.

CHADEMA walishajua mbinu za CCM za kutumia propaganda kumchafua mgombea wa upinzani basi wakajidhatiti kwa kuficha dume Mh Nyalandu Kwa kipindi chote amekua kimya kama vile hayupo!

Upande wa pili ukijua Lissu ndiye na wao wakimpamba kwa Kwa sifa kedekede kama mbeba maono hafi! Mungu bado anakazi naye! Vijana wa Lumumba wakakomaa kuleta propaganda za anatumiwa na mabeberu;ana support ushoga na anapinga kila kitu sasa tutarajie kusikia huyu aliuza Twiga wetu!

Swali litakua ni je mahakama ya mafisadi ilishindwa kumfunga muda wote huo? Alishirikiana na Nani?

Kama zilivyo propaganda za faru John zilivyozimwa na kumfananisha mtu na Yesu tutalajie nini?
Unafurahisha ?, mnapo weka matumaini yenu juu sana ya wagombea ndio maana matokeo yakiwa yanavyo takiwa kuwa, Chadema wana sema kura zimeibiwa. Zipo njia nyingi za kupoteza na kuharibu pesa hata kucheza kamari pia ni njia nyingine.
 
Cahdema wanajua fika kwamba hawawezi kushinda Urais ila wanacholilia ni kupata kura chache za urais ili ziongeze ruzuku basi hakika wanafahamu fika hawapati Urais. Nikilinganisha na uchaguzi uliopita kila mtu Arusha alitegemea Lowassa kupita lakini safari hii hata kule sokoni kilombero hasa akina mama ambao ndio wengi na kule kwa machinga semunge wote wanaongea lugha moja tu watampa Chuma wala sio jiwe wanasema yule ni chuma
Kabisa
 
Back
Top Bottom