masanjasb
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 2,364
- 867
Chadema ni sauti ya watu,ni nguvu ya umma,ni tumaini la Mtanzania yoyote yule bila kujali udini wake wala ukabila wake na hata chama chake,acha kamati ikae ije na mapendekezo yatakayotutoa hapa tulipo na kusonga mbele kimawazo na kifikra,ccm yenu tumeyasikia na tumeyatafakali kwa kina na sasa sikilizieni mawazo ya chama kikuu cha upinzania Tanzania kisha na nyie myafanyie kazi na sio kulalama tu