u mean Lowassa ni kupe pia? wakati juzi tu kachangia 20m kuwakomboa majinga wa pale makoroboi.Ukombozi wetu ni CHADEMA tu , wengine ni kupe na kunguni
Hata kupe anapokunya kuna wadudu wanaona ni faida kwaou mean Lowassa ni kupe pia? wakati juzi tu kachangia 20m kuwakomboa majinga wa pale makoroboi.
vipi, walionyesha na ule mkanda/video ya kujilipua kwa bomu arusha?
Ni kweli maanahivi vyanzo vingine haviaminiki!Ngoja tusubiri msimamo rasmi utakaotolewa na viongozi wakuu wa chama au msemaji wa chama mh J J Mnyika
hicho kilikuwa kikao cha kugawana ruzuku
Haya magazeti yetu ya Tanzania usiyaamini kwa 100% wengi wao taarifa wanategemea kuzipata hapa JF.kina tomaso tupo wengi...... unaambiwa uingie kwenye safina, wewe unauliza imetengenezwa wapi, china or ya japan..... kazi tunayo
Ritz wewe ni msengerema nn?mbona una shadadia sana swala la mualiko ikulu linakuhusu nn wewe pimbi?watu wanajadili mambo nyeti ya kimaslah kwa taifa wewe unaongea upumbafu wako hv umesoma shule ya wapi wewe akili yako kama ya kuku,pumbafu wahed
Kwani Msengerema ni tusi? Au ni watu waliotoka Sengerema? UfafanuziWewe endelea kutukana tu unipunguzii chochote wala kuniongeza chochote.
Tusubiri taarifa rasmi itakayotolewa kesho kwenye Press Conference
ulisema utamshitaki DR. Slaa baada ya kusema wewe ni FISADI, mtoto umemaliza chuo kikuu juzi juzi tu, hujawahi hata kuamua kesi moja ukalipwa, ila sasa hivi ni Bilionea wa kutupwa!!! kes hii ulisema ni ya madai kukuharibia jina lako je imefikia wapi? Tunaisubiri kwa hamu.Mbona hawajasema chochote kuhusu mualiko wa Mbowe Ikulu.
matamko yanaendelea
Too low for you, yaani hata wewe unadhani Ritz wa JF ndio Ridhiwani Kikwete!? Ridhiwani akeshe hapa JF kwa shida gani na mipesa aliyotuibia kwa mgongo wa Baba yake atatumbuwa saa ngapi?ulisema utamshitaki DR. Slaa baada ya kusema wewe ni FISADI, mtoto umemaliza chuo kikuu juzi juzi tu, hujawahi hata kuamua kesi moja ukalipwa, ila sasa hivi ni Bilionea wa kutupwa!!! kes hii ulisema ni ya madai kukuharibia jina lako je imefikia wapi? Tunaisubiri kwa hamu.
Ona orodha ya wasemaje wa CCM:- Mingoi, chama, zomba, Rejao, Malaria Sugu, Chilisosi, Shelui, nkTatizo mnawasemaji wengi sana, angalia hii orodha.
1. Mwita Maranya,
2. Mohamedi Mtoi,
3. Yericko Nyerere,
4. Molemo,
5. Mungi,
6. Crashwise,
7. Matola,