CHADEMA, kauli ya Lema kuhusu Uislamu ni msimamo wa chama?

CHADEMA, kauli ya Lema kuhusu Uislamu ni msimamo wa chama?

Sijui huo uislam wenu au ukristo wenu huwa unawapa faida gani maisha haya.
Kutwa mmekumbatia mitego ya dini ,kujishuku shuku , kuitafutizia vikauli vya kuonekana upande flan unabaguliwa, ya nini yote haya maujinga ujinga yenu nyie mafala.
Fu*ck dini zoote. Ujinga tu na upumbavu
Unakuta visinzi kweli ila kanajidai dini yangu Islam,dini yangu mkristo. Kumbe muabudu mizimu
 
We mzee mtu ambaye hakujui humu ndo atashanga nyuzi zako za kuwatuhumu CHADEMA kuhusu udini. Tangu miaka hiyo wewe umewaandama CHADEMA kwa gear ya siasa na UDINI. Nakumbuka tangu issues za gesi ya mtwara na Lindi zimepamba moto, uliwashikia bango CHADEMA kwamba wanahoji maswala ya gesi kwa sababu ya udini na hawataki waislamu wa kusini wafaidike. Hata kipindi cha mtafaruku wa Zitto na Chadema uliwaandama sana kwa gear ya udini. Kipindi hicho mjadala wa gesi uliwaandama sana Dr. Slaa na Mbowe kuliko maelezo. Leo kiko wapi? Hiyo gesi iko wapi? au ni chadema walizuia?

kwa hiyo wewe hizi hoja zako ni muendelezo wa chuki zako tuu ambazo ziko detailed kwenye udini wako. Wengi humu tumekusoma siku nyingi. Ndo maana siwezi kushangaa nikiona nyuzi kama hizi.

This is real YOU bila mask...fortunately kwa wengi humu THE BIG SHOW alikuwa unmasked siku nyingi sana.

Masanja
Kwani tokea lini Mimi nimewahi kujiweka kando na harakati za udini ndani ya Jamii Forum? Mimi na wengine wengi tuh humu JF tupo front kupigana Jihad Kwa kutumia kalamu ya kidigital kama hii kama vile ambavyo wengine wapo front kupigana crusade wars humu JF,kila MTU ameamua kuchagua njian ya kupita,kila MTU awe free na njia hiyo ambayo kaichagua.
 
Uislamu usitumike kuleta chuki za udini......mbona wakristo hawana reactions za kijinga Kama hizi zenu? Huko Zanzibar rais wenu ametoa Kodi ili sukari iuzwe Bei ndogo kisa mfungo wa Ramadhan bila kufanya hivyo wakati wa Kwaresma.
 
Back
Top Bottom