CHADEMA, kauli ya Lema kuhusu Uislamu ni msimamo wa chama?

CHADEMA, kauli ya Lema kuhusu Uislamu ni msimamo wa chama?

Mimi sio mzanzibar, suala la kuibiana hilo sina ushahidi nalo, na dini yetu hairuhusu wizi, hao wanaofanya wizi ni nafsi zao wenyewe, hivyo ni dhambi kufanya hivyo.

2015 unategemea magufuli alipigiwa na nani kura kama sio waislam wengi wao! Nchi ina idadi kubwa ya waislamu tukisema tususie kupiga kura unadhani ccm itapita! Inawezekana kabisa hata lowasa na Dr slaa kuna waislam pia walijitokeza kuwapigia.
Una akili ndogo sana
 
Kikwete rais muislamu ndo aliyekataa hiko kipengele cha dini kisiwepo kwenye sensa ya mwaka 2012
Tatizo la waislamu unafki unawasumbua sana

Sawa kama usemavyo, ila unajuaje kama ni yeye ndie ameamua bila kushinikizwa na upande wa pili!
 
Ndio maana mnakimbia sensa, kumbe mnajua waislamu ni wengi!
Hebu tupe mtawanyiko wa asilimia kimkoa tuone nani ni wengi.
Kanda ya ziwa wengi wakristu
Kanda ya Kaskazini wengi wakristu
Nyanda za juu kusini wengi wakristu.
Kanda ya kati kwa maana ya Dodoma,Kigoma,Tabora na Singida wengi wakristu
Kanda ya Mashariki wengi waislam
 
Yes ofcoz we are very special...

Uislam ni dini pekee ambayo hakuna yoyote mwenye kuamrisha chochote na tukatii isipokuwa Allah pekee na Mtume wake Muhammad Rehma na Amani ziwe juu yake.

Tuje kwenu Sasa makafiri,mzungu mmoja zee zee hivi limelewa zake wanzuki wa kiitaliano huko anakuja kuwapa amri nyote muwe mashoga na wote mnatiii unaionaje hiyo muimba kwaya.
Mimi nilifikiri una hoja na lema kumbe unashida na ukristo, Mimi nilivyomwelewa lema nikwamba tusimsapoti tu kiongozi eti sababu ni dini yako,hata kama anafanya mambo ya hovyo.
Ila Sasa sisi wafia dini ndo tumepata kagepu kupumulia. Achana na mawazo hayo ndugu ebu tupambane na shida zetu.
 
Huyu mzee achana naye...sisi tumekaa naye humu barazani miaka mingi tunamjua...ni mshari sana kwa mgongo wa dini. Chuki yake kwa CHADEMA haiko kwenye sera wala uongozi...ni swala la dini tuu...
 
Nimesoma reply zako nyingi kuhusu watu w dini niseme unaongea pumba
Nikukumbushe elimu uliyosoma walileta wazungu kupitia shule za mission unavyowaona watu wanaofuata dini ni wajinga usisahau na wale wanaosoma elimu ya mzungu

Hii elimu tunayosoma sio ya mwafrika bali ya mzungu hata vitabu vingi waandishi ni wazungu
Huwezi tuhumu watu ni watumwa wa watu weupe ilihali na wewe unasoma elimu ya mzungu kwa lugha nyingine wewe pia ni mtumwa wa mtu mweupe
Nachosoma Cha mzungu ni 2+2 ni 4, hiyo sio imani Bali ni fact. Usichanganye imani na facts. Gravitational force sio imani Bali ni facts. Hao niliwajibu nimewaambia wasiingize imani zao kwenye siasa kwani hazina scientific proof. Una lingine kwa msaada zaidi?
 
Nachosoma Cha mzungu ni 2+2 ni 4, hiyo sio imani Bali ni fact. Usichanganye imani na facts. Gravitational force sio imani Bali ni facts. Hao niliwajibu nimewaambia wasiingize imani zao kwenye siasa kwani hazina scientific proof. Ila lingine kwa msaada zaidi?
Vyote hivyo amevileta mzungu
 
Vyote hivyo amevileta mzungu
Nikatengenisha facts na imani. Isitoshe niliowajibu ni wanaotaka kuingiza imani kwenye siasa wakidhani wote ni watumwa wa hizo dini. Tazama kichwa za Uzi kinazungumzia nini, kisha ujue msingi wa majibu yangu. Ukihitaji maelezo ya ziada useme.
 
Kauli ya Lema kwenye mkutano wake wa hadhara alivyosema kwamba eti sisi waislam tusiingie kwenye mtego wa kumchagua MTU au chama eti kisa tuh kiongozi alieopo madarakani ni muislam ni kauli ya hovyo zaidi kuwahi kutolewa na kiongozi huyo wa chama.
Kuna shida gani na kauli hii!!!??? Ukitahadharishwa inakuwa nongwa? Angeweza kutoa hiyo kauli kwa wakristo kama wangekuwa wanamtetea kiongozi kwa vile tu ni Mkristo!!
 
Nikatengenisha facts na imani. Isitoshe niliowajibu ni wanaotaka kuingiza imani kwenye siasa wakidhani wote ni watumwa wa hizo dini. Tazama kichwa za Uzi kinazungumzia nini, kisha ujue msingi wa majibu yangu. Ukihitaji maelezo ya ziada useme.
Usitake kuzunguka mbuyu
Elimu na dini wameleta wazungu
Kama unaona waliofuata dini ni wajinga hata wewe ni mjinga unayefuata elimu iliyoletwa na mzungu

Asilimia 99 ya shule za hapa Tanzania zilikua za wamussionary ambao walioleta dini
 
Narudia tena, elimu ni facts zinazilindwa na scientific proof, na dini ni imani isiyo na scientific proof zaidi ya kuamini. Nasisitiza, soma kichwa Cha uzi, ujue mjadala ni kuchanganya dini na siasa. Hapa sikupi majibu unayoyataka, nakupa majibu yanayotautisha elimu na dini.
 
Unajipa majibu ya kujifariji
Waliokuletea dini ndo hao hao waliokuletea elimu
Dini pia ni facts
 
Back
Top Bottom