Hii point yako ndio wanayohitaji kuiona wengi walio madarakani, lengo kubwa ni kuleta sintofahamu then mtu akasirike ajikute anachagua mtu kwa kukasirika, baada ya uchaguzi, nyie mliotofautiana mnaanza kuongea lugha moja dhidi ya ya mliowachagua wenyewe, mtawajasdiri kwa miaka 4 kabla ya uchaguzi mwingine.Basi mtavuna kauli ya Lema. Cha muhimu jiandaeni kulia mmeibiwa kura
Wao hujitahidi sana kuwa wamoja wakati wa kuelekea uchaguzi ili kutuvuruga sisi. Sisi huwa hatuwezi kushikiria kero zinazotukabiri kwa miaka 4 ili zitusaidie kufanya maamuzi mazuri wakati wa uchaguzi.
Wapiga kura, hebu tukaeni chini tujitasmini huwa tunakwama wapi wakati muhimu wa kufanya maamuzi sahihi.