CHADEMA, kauli ya Lema kuhusu Uislamu ni msimamo wa chama?

Unakuta visinzi kweli ila kanajidai dini yangu Islam,dini yangu mkristo. Kumbe muabudu mizimu
 
Kwani tokea lini Mimi nimewahi kujiweka kando na harakati za udini ndani ya Jamii Forum? Mimi na wengine wengi tuh humu JF tupo front kupigana Jihad Kwa kutumia kalamu ya kidigital kama hii kama vile ambavyo wengine wapo front kupigana crusade wars humu JF,kila MTU ameamua kuchagua njian ya kupita,kila MTU awe free na njia hiyo ambayo kaichagua.
 
Uislamu usitumike kuleta chuki za udini......mbona wakristo hawana reactions za kijinga Kama hizi zenu? Huko Zanzibar rais wenu ametoa Kodi ili sukari iuzwe Bei ndogo kisa mfungo wa Ramadhan bila kufanya hivyo wakati wa Kwaresma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…