Uchaguzi 2020 CHADEMA, kazeni buti zenu, you are almost there. Adui yuko hoi, ushindi uko wazi mno!

Hahaha ndio naendelea kusoma kitabu cha " How ccm under developed Tanzania for 60 years" by T.A. Lisu.

Page ya pili sasa lakini October 28, naiondoa ccm my decision is final.
Tupia screenshots tasavali
 
Mungu wa Israeli amesikia kilio cha Watanzania cha miaka mingi.

Mungu wa Israel ameona mateso ya watu wake na sasa ameshuka mwenyewe kuja kutukomboa.

Mungu kampiga upofu wa fikra na ufahamu adui. Nguvu na manlaka yao siyo kitu tena. Havina msaada kwao. Haviwezi kuwaokoa na anguko kuu la kushindwa.

CHADEMA na Tundu Lissu ni zana tu za ukombozi wa nchi hii anazotumia Mungu. Lakini ukweli ni kuwa yeye mwenyewe Kristo simba wa Yuda yuko kazini anaokoa!

Adui ameshaona na amenusa kushindwa kwake. Yuko so desparate.

CCM na Magufuli ni kama simba aungurumae kumtafuta yeyote aliyekaa kihasara na mwenye hofu ili amle.

Lakini kiukweli ni kuwa, CCM na Magufuli wala siyo simba bali wanaigiza usimba.

Kama hujagundua kuwa unachosikia sio sauti ya simba, bali ni ya kumuigiza simba, basi unaweza kuanza kutimua mbio kumkimbia simba - mbuzi.

Sisi tuko serikalini. Ni wazalendo katika kambi ya adui. Tunawahakikishia kuwa adui kwa ndani ameshakwisha habari yake. Mnavyomwona kwa nje ni fabrication tu, MSIOGOPE. Songeni mbele!

Mungu yuko pamoja nanyi. Sisi huku tunawapa habari zote kwa kadiri tunavyozipata na zilivyo. Tu wadogo sana, lakini tunajua kila kitu.

Mna siku zisizozidi 23 kuanzia leo ku - revisit mikakati yenu ya ushindi. Nawahakikishia tena robo tatu (3/4) ya machinery za kidola zinawaunga mkono tukiwemo 99% ya watumishi wa umma.

Tuko upande wenu. Nasi tunahitaji kuwa huru. Tuko tayari kusaidia kumwangusha Farao wa Misri iwe kwa kutaka ama bila kutàka.

Mpango mzima uko kwenye vituo vya kupigia kura. Angazieni uko. Mikakati na nguvu zote zielekezwe huko. Ishu haiko kwenye kampeni na nyomi.

Tundu Lissu hata asipofanya kampeni, anashinda unless mshindwe kuweka mikakati thabiti kwenye vituo vya kupigia kura.

Njooni na mkakati wa kudhibiti kura za kila kituo cha kupigia kura ili kuhakikisha kuwa kura zinakuwa halisi zilezile zilizopigwa.

Hakikisheni mnaweka mawakala kila kituo, wanaapishwa kwa wakati, wanaingia vituoni na wanapata nakala ya matokeo kwa kila kituo cha kupigia kura.

Msifikiri sana kuhusu fedha kwa sababu fedha haiwezi na haijawahi kufanya kila kitu kwa mwanadamu.

Tazameni, wao wana fedha nyingi kuliko maelezo. Lakini mbona haziwapatii upendo na kila kitu wanachokihitaji? Fedha kwao imeleta uhasama na mgawanyiko kuliko kufikia lengo lao.

Wekezeni kwenye kile watu wanachohitaji. Watu wako tayari kwenda kwenye vituo kuwa mawakala wenu hata bila malipo ili mradi waufikie ukombozi wao.

Watu wamechoka. Watu hawako huru. Watu wamefungwa na wako gerezani. Watu wanahitaji kufunguliwa.

Mungu mwenyewe yuko kazini kujibu kilio cha watu.

Pokeeni heshima hii ya pekee aliyowapa Mungu kupitia mja wake Tundu Lissu ili kuwatoa watu wake kwenye utumwa wa Misri wa zaidi ya miaka 57.

Hili ndilo jukumu alilopewa Tundu Lissu.

Sikuwahi kushuhudia jitu bwege kama hili.Huna vigezo huna lolote kisa Tundu Lissu tu basi.We are in a country of wrong people.Huyo mungu unayemsifia ni mungu wa uongo.Mungu wa ukweli hakubali ujinga ,matusi na maneno machafu na kejeli.Labda kama hivi karibuni CHADEMA mumeshushiwa kitabu kipya au labda kama kilichopo mume ki edit ili muingeze ujinga huu.
 
Uongo gani hapo?

Watanzania wamelia mno na mateso ya Farao wa Misri, mimi nikiwemo...

Mungu amesikia kilio chetu. Ameshuka mwenyewe kuja kutukomboa kupitia "Mwana Adamu - Tundu Lissu"

Kipi cha uongo hapo? Kama wewe huamini, hilo ni tatizo lako....!

Na nisimtaje Mungu kwanini wakati Yehova Mungu wa Israel ndiye baba na Mungu wangu?
Basi acha nisiseme mengi cha msingi panapo uhai naomba uje na hii post yako baada ya oktoba 28. Tafadhali usiache kuikumbushia
 
hatuwezi kumpa kura mpinzani yoyote kwa sababu bado hamjui kutengeneza ushawishi around people, na hamko serious, ingawa kuna vyama vingine vinakuja kidogo vinaeleweka mfano NCCR-MAGEUZI, atleast wanafanya siasa za kiutu uzima, haya makelele mnapiga jukwaani hayasaidii chochote, izi issues sjui alipigwa risasi hayasaidii chochote maaana mm kama mwananchi nna matatizo yangu pia ambayo ningependa yatatuliwe, sina mda wa kuanza kuskia sjui risasi ilipunyua nywele , as a human tunajua kabisa sio kitu kizuri lakini people die and i also have my own problems, sasa mkiweza kutengeneza utatuzi ambao utatupa faida kura tunawapa! ila so far kwa kweli tegemeeni miaka 100 or forever
Mkuu nakuhakikishia kuwa hata watu walioko ccm watapiga kira kwa Mh Lissu (tunza hii comment), Jiwe akipata hata 20% ya kura akatambikie.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Sikuwahi kushuhudia jitu bwege kama hili.Huna vigezo huna lolote kisa Tundu Lissu tu basi.We are in a country of wrong people.Huyo mungu unayemsifia ni mungu wa uongo.Mungu wa ukweli hakubali ujinga ,matusi na maneno machafu na kejeli.Labda kama hivi karibuni CHADEMA mumeshushiwa kitabu kipya au labda kama kilichopo mume ki edit ili muingeze ujinga huu.

Call me all bad names you have in your store of ignorance....

The God we are talking about here is JEHOVAH, The God of Abraham, Issack and Israel....

We are not talking about CCM and Magufuli's god of Gamboshi...

What I know is that, The Almighty God's BOLD WARNING WRITINGS on the wall to end this devilish regime under CCM and Magufuli can clearly be read by every person...

Nothing, absolutely nothing will turn it positive once more. This is the end of you satanic children....!!
 
Confused born CHADEMA again .I wish you were a true born again. Where are you going to hide your face after election results to realize that the winner is whom you call a devil and your Angel is overwhelmingly defeated ,which is undoubtedly the case.
 
Mpango mzima uko kwenye vituo vya kupigia kura. Angazieni uko. Mikakati na nguvu zote zielekezwe huko. Ishu haiko kwenye kampeni na nyomi.
Kama hawa wapizani, CHADEMA na ACT watapuuza hili hakuna sababu tena ya kuhangaika nao kwa lolote, CHA TUBAKI UTUMWANI.

Lakini haitaishia hapo, nitakuwa mmoja wa watu wa kuwaombea kila aina ya manyanyaso yawapate, na hatimae wapotelee mbali kwa kuwapotezea waTanzania matamanio yao ya ukombozi.
Tazameni, wao wana fedha nyingi kuliko maelezo. Lakini mbona haziwapatii upendo na kila kitu wanachokihitaji? Fedha kwao imeleta uhasama na mgawanyiko kuliko kufikia lengo lao.

Wekezeni kwenye kile watu wanachohitaji. Watu wako tayari kwenda kwenye vituo kuwa mawakala wenu hata bila malipo ili mradi waufikie ukombozi w
Kuna watu wana njaa sana, na hawa ndio CCM inawasubiria kwa hamu sana wateuliwe kuwa mawakala.
Kazi muhimu ni kwa hivi vyama kuwatambua na kuwateua wasiouza utu wao na taifa lao.
 
Laiti ungeomba CHADEMA ikiingia madarakani ishughilikie mageuzi ya kiuchumi ili kutokomeza maadui watatu (umaskini, maradhi na ujinga) maombi yako yangesikilizwa.

Kwakuwa hamjui hao ndio maadui wakubwa wa Watanzania, usingeomba uhuru wakati ni uhuru na haki waliyo nayo wataenda kupiga kura. Uhuru na haki waliyo nayo wagombea ndio wanatumia kufanya kampeni. Uhuru na haki uliyo nayo ndio umetumia kuleta bandiko hilo.

Unajitambua kweli kushabikia CHADEMA chenye viongozi wenye kila sifa ya uovu, ili wakabidhiwe nchi?
How short sighted ! Very sad in did🚮🚮🚮🚮
 
Mungu wa Israeli amesikia kilio cha Watanzania cha miaka mingi.

Mungu wa Israel ameona mateso ya watu wake na sasa ameshuka mwenyewe kuja kutukomboa.

Mungu kampiga upofu wa fikra na ufahamu adui. Nguvu na manlaka yao siyo kitu tena. Havina msaada kwao. Haviwezi kuwaokoa na anguko kuu la kushindwa.

CHADEMA na Tundu Lissu ni zana tu za ukombozi wa nchi hii anazotumia Mungu. Lakini ukweli ni kuwa yeye mwenyewe Kristo simba wa Yuda yuko kazini anaokoa!

Adui ameshaona na amenusa kushindwa kwake. Yuko so desparate.

CCM na Magufuli ni kama simba aungurumae kumtafuta yeyote aliyekaa kihasara na mwenye hofu ili amle.

Lakini kiukweli ni kuwa, CCM na Magufuli wala siyo simba bali wanaigiza usimba.

Kama hujagundua kuwa unachosikia sio sauti ya simba, bali ni ya kumuigiza simba, basi unaweza kuanza kutimua mbio kumkimbia simba - mbuzi.

Sisi tuko serikalini. Ni wazalendo katika kambi ya adui. Tunawahakikishia kuwa adui kwa ndani ameshakwisha habari yake. Mnavyomwona kwa nje ni fabrication tu, MSIOGOPE. Songeni mbele!

Mungu yuko pamoja nanyi. Sisi huku tunawapa habari zote kwa kadiri tunavyozipata na zilivyo. Tu wadogo sana, lakini tunajua kila kitu.

Mna siku zisizozidi 23 kuanzia leo ku - revisit mikakati yenu ya ushindi. Nawahakikishia tena robo tatu (3/4) ya machinery za kidola zinawaunga mkono tukiwemo 99% ya watumishi wa umma.

Tuko upande wenu. Nasi tunahitaji kuwa huru. Tuko tayari kusaidia kumwangusha Farao wa Misri iwe kwa kutaka ama bila kutàka.

Mpango mzima uko kwenye vituo vya kupigia kura. Angazieni uko. Mikakati na nguvu zote zielekezwe huko. Ishu haiko kwenye kampeni na nyomi.

Tundu Lissu hata asipofanya kampeni, anashinda unless mshindwe kuweka mikakati thabiti kwenye vituo vya kupigia kura.

Njooni na mkakati wa kudhibiti kura za kila kituo cha kupigia kura ili kuhakikisha kuwa kura zinakuwa halisi zilezile zilizopigwa.

Hakikisheni mnaweka mawakala kila kituo, wanaapishwa kwa wakati, wanaingia vituoni na wanapata nakala ya matokeo kwa kila kituo cha kupigia kura.

Msifikiri sana kuhusu fedha kwa sababu fedha haiwezi na haijawahi kufanya kila kitu kwa mwanadamu.

Tazameni, wao wana fedha nyingi kuliko maelezo. Lakini mbona haziwapatii upendo na kila kitu wanachokihitaji? Fedha kwao imeleta uhasama na mgawanyiko kuliko kufikia lengo lao.

Wekezeni kwenye kile watu wanachohitaji. Watu wako tayari kwenda kwenye vituo kuwa mawakala wenu hata bila malipo ili mradi waufikie ukombozi wao.

Watu wamechoka. Watu hawako huru. Watu wamefungwa na wako gerezani. Watu wanahitaji kufunguliwa.

Mungu mwenyewe yuko kazini kujibu kilio cha watu.

Pokeeni heshima hii ya pekee aliyowapa Mungu kupitia mja wake Tundu Lissu ili kuwatoa watu wake kwenye utumwa wa Misri wa zaidi ya miaka 57.

Hili ndilo jukumu alilopewa Tundu Lissu.
The best thread yet..
Molembe
Tundu Lissu
Salary Slip
na wengineo mliopo jikoni njooni huku mpate haya madini mfanyie kazi. Wakati wa ukombozi ni huu
 
Hivi kummpa mtu sifa yake ya kuwa ni mwizi mporaji, mnyanganyi, muuwaji na muonevu ni tusi?, Hizo zote ni sifa zake Magufuli na hilo halipingiki kwa yeyote mwenye akili timamu na uelewa na mwenye mlengo wa kati wa kisiasa.
 
Back
Top Bottom