CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao

M
Wewe kupata kura moja na kushindwa na novice kwenye siasa sio bad luck?. Kabla hujashauri mtu jiangalie wewe kwanza je unastahili kushauri mtu?. Yani wewe umeshindwa kwenye ndoa utashauri nini kwenye ndoa?.

First succeed in politics and then provide political advice to chadema, huwezi kupata kura moja kwenye kura za maoni harafu ujione wa muhimu kuliko CHADEMA.
 
 
Ndugu yangu Mayala, nimeisoma makala yako ndogo ihusuyo ushauri kwa CDM, nimeirudia mara mbili sioni ushauri hapo simply kwa sababu hujui katiba ya vyama vya siasa(especially ya CDM) na katiba ya inchi iliyopo na kwa nini ipo hivyo. Hata wabunge unaowazungumzia wakibaki bungeni CDM haitakufa kama unavyodhani. Kipindi chote cha JPM CDM walibanwa sana hata kwa njia za kuvunja katiba lakini haikufa. Nampongeza sana Rais aliepo madarakani kwani yeye amekuwa na kipaji zaidi yako ndio maana amekaa na wapinzani na kuzungumza nao sio kwamba hajui hawakutambua matokeo. Kutotambua matokeo ni dhana tu tena ya kisiasa kwa nchi zenye katiba kama yetu ambapo matokeo hayapingwi mahakamani. Kwa msingi huo kupinga ni kuonyesha disatisfaction and no further action can be taken. Rais ni rais kwa kufuata katiba hii na CDM na serikali inafahamu hili, kilichofanyika wakati wa uchaguzi kipo wazi wewe hukukiona. CDM ni chama cha siasa kupinga kwao matokeo haukifanyi chama hiki kutotambulika kisheria kama unavyodhani ndio maana Rais na serikali bado inawasiliana nao e.g. Auditing etc. Mayala unaonyesha dalili za kuwa coecive kama JPM alivyokuwa na chance ya kuukosa ushindi kwa stand hiyo ni kubwa sana.
Haya yote uyaonayo ni sarakasi za kubaki madarakani kama ilivyo desturi ya viongozi wa Africa. Marais wa Africa from day one wanapoapa huanza mikakati ya term ijayo planning zote zinaelekezwa hapo kwa kipindi chote cha miaka mitano. Umesikia kilichokubaliwa kwenye kikao cha CCM Dodoma kuhusu katiba? Hizo zote ni sarakasi za 2025. There shall be no serious constitutional amendment in this period mark my word Mayala.
 
Mayala Hana presha kabisa, anajua fika wale ni wabunge na wataendelea kuwa wabunge, na Leo wameingia bungeni na Spika Yuko kimya kabisa
Nimefuatilia Bunge live asubuhi hii, nikiamini jana ile ile kina Mdee wali re lodge upya na kuomba stay orders, huku Chadema wakitembea usiku kucha ili asubuhi nakala ya hukumu ya jana itue mezani kwa Spika, nikidhani Spika atatuambia kinachoendelea kuhusu hatima ya kila Halima Mdee baada ya hukumu ya jana.

Bunge limeendelea kama kawaida as if nothing happened!. Hivyo mpaka hapa ninapoandika, wabunge hao 19 bado ni Wabunge halali kabisa bonafide genuine, mpaka Spika atangaze vinginevyo.

Kazi iendelee...

P
 
Wacha wee.
 
Paskal tatizo humu kila mtu ni mjuaji kila mtu ni mwanasheria na kila mtu mwanaharalati hahaha
 
 
Paskal tatizo humu kila mtu ni mjuaji kila mtu ni mwanasheria na kila mtu mwanaharalati hahaha
Mimi ni mwanahabari tuu sio mwanaharakati na japo ni msomi wa sheria level ya LL.B lakini sio Mwanasheria bali ni mtetezi huru wa haki.

Kwa mtu anayeijua katiba ya Chadema, kina Mdee hawajatendewa haki, baada ya kuikosa haki yao Chadema, wamekimbilia mahakamani kutafuta haki yao, ndio kama hivyo kesi imetupwa for legal technicalities and not points of law. Sheria na haki ni vitu viwili tofauti!.

Hapa sasa ndipo mkuu mzee karma anapoingia, kiukweli kabisa karma haina mswalie Mtume!.
P
 
Mahakama ndio chombo cha kutenda haki, wewe ulisomea sheria wapi?

Tena ni maamuzi ya mahakama kuu, hivi wewe na Jaji nani anajuwa sheria?

Chuki inakutafuna.
 
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu
 
Ndugu yangu Mayala naona umepoteza direction completely. You are demanding neutrality but I do not see it in your words. Waachie wanasiasa wacheze michezo yao, you cannot make sense of their decisions. hard to defend under normal legal means. Narudia Mayala haya yote ni sarakasi za 2025 my friend.
 
hasara ya nani
 
jamaa zako COVID 19 ndo wamekwama hivyo ila wacha wamalizie makombo yao kiduchu lkn sasa lazima wachomolewe. WAMEKWAMA!!
 
Nimeifurahia hii hukumu sana sio kwa sababu Covid 19 wameshindwa no no at all, nimefurahi kwa mahakama at least for once, wamekataa kutokuchanganywa kwenye makandokando ya kisiasa na kumpelekea Spika aamue kazi kwake.
 
Paskali asante sana kwa andiko lako zuri. Kuna suala ambalo lipo wazi, na ni hili hawa " HAWAKUTEULIWA BALI WALIJITEUWA WENYEWE" sina chama wala sipigi kura lakini ule uchaguzi uliona kama ni halali? Haitawahi kutokea ujinga kama ule uliotokea mwaka 2020. Ni uonevu usio na kifani na hauelezeki, kuna mtu mwenye akili timamu anaweza akawatetea hao wabunge 19?
 
Mayala amevurugukiwa, asamehewe bure tu.
 
Mayala ungependa Cdm ilee uvunjifu wa uadilifu chamani ?!

Kitakuwa chama ambacho kila mtu anajiamulia !!. Hujihoji mahabusu alitokaJe usiku kuwahi kiapo asubuhi ?!

Unanivunja moyo
mkuu Odhiambo Pascal Mayalla akijibu hili la MAHABUSU KUCHOMOLEWA USIKU LUPANGO NA ASUBUHI ANAPISHWA!! unistue mkuu.. nipo kijiweni hapa napata Alkasuuuus
 
Kwa hiyo una uhakika wa kuendelea kupokea mshahara wako toka kwa hao covid 19, sawa huo ndiyo urefu wa kamba yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…