CHADEMA kubalini matokeo na m-survive, or shupazeni shingo. You go to hell 6ft under Hao Makamanda 19 ni mashujaa, kuendelea Ubunge wao

Nyie CCM Mwamba kawafukuza Chadema sio Ubunge mbona mmechanganyikiwa hivi..$900m sio?
Hapo hujui ulisemalo! No uanachama kwa njia halali NO ubunge! rejea sakata la Mh Sophia Simba, kuwafukuza vinginevyo ni usanii wa kiwango cha CDM
 
Hapo hujui ulisemalo! No uanachama kwa njia halali NO ubunge! rejea sakata la Mh Sophia Simba, kuwafukuza vinginevyo ni usanii wa kiwango cha CDM
Sisi kama chama tumewafukuza /kuwavua Uchadema, mambo ya Ubunge itategemea Magufuli anacho muelekeza DHAIFU Ndugai nini aseme na nini afanye. Sie hayatuhusu huko.
 
Uliwahi kuona TBC1 au Tanzanite kwenye press ya Mbowe? Lakini kwenye Press ya akina dada leo walikuwepo leo!
 
Hi wewe Kada wa ccm Pascal nikuulize suali moja, ukiniona mimi nakuibia kuku wako na kumchinja mbele yako na kupika ubwabwa mzuri, utasahau yote yaliopita ikiwa tu nitakukaribisha ubwabwa na kukuahidi upande mmoja wa paja la kuku?
 
My friend the true meaning of Political Electoral Exercise - is the exercise in which a society select a group of people who shall weild power to control ,manage and distribute resources and status.
 

Tukiwa JKT kuna siku tulifanikiwa kukwapua mayai trei 10 tukiwa mtu tano halafu tukajongo na kwenda yapikana kula huko polini jioni tukarudi na muda wa kulala ulipofika tukaingia kwenye hema letu lakini sitosahau usiku ule kwani ndani ya hema kulikuwa kama kumepigwa bomu yaani hali ilikuwa kama hoja za huyu bwana njaa
 
Tupo tayari chama kife lakini hatutakubali kutumika kama muhuri wa kuhalalisha mateso kwa Watanzania. DEMOKRASIA NI MUHIMU KULIKO UHAI WA CHADEMA, TANZANIA NA WATANZANIA NI MUHIMU KULIKO UHAI WA CHADEMA. Kikubwa zaidi hatusikilizi ushauri wa WANAFKI.
Nyie lazima mnalipwa ku spin huu uwongo na kutumia mindset mliyonayo kupindisha mambo.
nyie mnahangaika na chadema Kwa nini? Iacheni ife Si ndiyo nia ya mwenyekiti wenu?

nani kakwambia sheria na katiba ni complicated? Au Kwa mawazo ya hao watawala wenu? huo ni uongo wa kuhalalisha. Wewe unatumiwa at your age as retiree this is your chance to get promoted, ongeza nguvu
 
Tuibadili Tume yetu ya Uchaguzi iwe Tume huru zaidi na shirikishi, tujenge uwanja sawa wa ushindani wa haki kwa vyama vyote, uchaguzi uendeshwe kwa transparency ya hali ya juu kwa kuruhusu mawakala hadi kwenye tallying, na vyama au taasisi zozote ziwe free kuwa na tallying centers zake, kitu ambacho hakitaruhusiwa na talling centers hizo ni kutangaza matokeo, kama matokeo yote ya uchaguzi hadi wa rais yanahesabiwa kituoni na kubandikwa ukutani, kama hakuna jambo lolote la kificho, yaani nothing to hide, kwanini uzuie independent tallying?!. Uchaguzi wa 2025, kila mwenye uwezo wa kufanya tallying aruhusiwe afanye ila zisitangaze matokeo, hii itazuia bao la mkono!

MKUU PASKALI;

Katika yote uliyoandika katika bandiko lako, hiyo nukuu hapo juu ndio kitu cha msingi kabisa na cha maana ambacho kitakata mzizi wote wa fitna na kuirudisha nchi yetu kwenye amani, haki, upendo, na furaha ya kweli. HONGERA SANA KWA KULIONI HILI.
Kama kweli hii inatoka moyoni mwako, basi naanza kupata mawazo tofauti kuhusu utashi wako kuwa sio mwanasiasa maslahi bali ni mtu mpenda haki na utengamano wa watanzania.
Hongera sana na natamati uendelee kupigia kelele tume huru na uchaguzi huru hadi CCM na watawala waelewe. Haya ndio mapambano yenyewe.
 
PASKALI kuna hoja ambayo ni nzuri unataka kuiwakilisha lakini mahali na muda sio sahihi kabisa.

Unachotaka kuzungumza it has been overtaken by events. Lakini itakapo fika muda sahihi wakuzungumzia Constitution change, kila mmoja hapa atakuelewa kirahisi kwa unacho taka kuzungumzia leo.
 
Its too long.


Let them Go
 
Kisheria hakuna "ubunge wa Spika, Ubunge wa Taifa" huu ni uvunjaji wa sheria hasa pale wanaposema katibu mwenyewe ameapa hajaandika barua kwa NEC. Tatizo hapa ni hii aibu kwa serikali maana nia kubwa ilikuwa kuonyesha kwa jumuia ya kimataifa kwamba Tanzania ina wapinzani bungeni lakini kilichotokea maamuzi ya jumuia ya kimataifa iko palepale na hii inaweza hata kuharibu zaidi maana inaonekana serikali imekuwa ni ya kugushi kila kitu. Lakini vilevile wananchi wameona wazi na kuona hizi njama waziwazi. Kwenye swala hili Mbowe na uongozi wa Chadema umefanya vizuri maana huwezi kuruhusu mambo yaliyotokea yaendelee kwasababu tu ya pesa. Tujue kwamba pesa sio ya CCM ni ya Serikali.

Kama Serikali haitaki demokrasia iache kucheza na kuwafanya Watanzania kama watoto ni bora watangaze hakuna vyama tuendeleee badala ya kufanya vitendo vibaya hivi kwa watu ikiwa ni pamoja na kutumia pesa nyinmgi kuandaa chaguzi feki. Watanzania huwezi kuwadanganya kwa demokrasia feki
 
Mtoa thread wewe ni mmoja kati ya wana jf walionivutia kuanza kuipenda jf kwa hoja zako nzuri ulizokuwa ukizitoa. Lakini ghafla hata mimi wa standard vii failure naona nshakuzidi uelewa. Nini tatizo kaka? Au tatizo ni hilo jina lako? Njoo tulime strawberry kaka zinalipa kweli.
 
Its too long.


Let them Go
Mkuu mzee74 , kama hii ni story ya para 20 tuu unaiita it's too long?!, wewe una uwezo wa kusoma kitabu chochote?, can you be able to read any book?.

Watanzania ni wavivu sana kusoma vitabu, namna pekee ya kuongeza maarifa ni kwa kusoma, kusikiliza na kutazama!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…