Kuhusu hoja ya kufutwa ubunge. nani ataitaarifu ofisi ya spika kuhusu kuvuliwa uanachama wa wabunge hao 19?Ikumbukwe Chadema haikuwahi kuwasilisha majina NEC. Hivyo Chadema kuitaarifu ofisi ya Spika kuhusu maamuzi ya Chama ni kuhalalisha barau iliyowatambua kuteuliwa. Kesi hii imeangukia kwenye kesi za kupinga matokeo ya uchaguzi na inatakiwa kuamuliwa mahakamani.
Mambo yote ya uchaguzi na ubunge yanaratibiwa na NEC, NEC ndiyo inapeleka majina Bungeni. Hivyo Chadema wanapaswa kuiandikia NEC, kuwa imewavua uanachama hao wasaliti 19, na imeupokea uteuzi viti maalum na kupeleka list rasmi ya wabunge wao 19.
Barua ya Chadema kwa NEC, Spika anakuwa cc. only.
P
I have never seen you physically ,paschal! However, by the virtue of understanding, there is no doubt that,you are Quite understanding and bright.
Where are you being quagmired paschal, just to not understand a very simple thing like this?
Halima and her colleagues definitely have had gone astray to norms, regulations , and also their party constitution and laws of the country as well.
And if you really know how to read between the lines, you could have seen how repentant and apologetic Halima was when briefing the press.
You couldn't have seen her propagating for the validity of their parliamentary seats. You know why? She is diplomatically regretting, since she has had discerned the mistakes they did.
I support your brilliance and intellectual capacity. Don't let yourself down Paschal.
Come back to your senses and become realistic again as you used to be.
Bless you.
He is deef and blinded,under the so called uteuzi.not only him they are many who have tried to undermine CDM for the sake of uteuzi.and by doing so they think CDM will perish NEVER.the like are kafulila,mwampamba,katambi,silinde,lijuakali,shonza etc etc.after all when wemasepetu was member of CDM Makonda said he is selling ngada.after turning back,he was declared clean.cheap politics like those belongs to fools,and won't make the country prosper further
Mambo yote ya uchaguzi na ubunge yanaratibiwa na NEC, NEC ndiyo inapeleka majina Bungeni. Hivyo Chadema wanapaswa kuiandikia NEC, kuwa imewavua uanachama hao wasaliti 19, na imeupokea uteuzi viti maalum na kupeleka list rasmi ya wabunge wao 19.
Barua ya Chadema kwa NEC, Spika anakuwa cc. only.
P
Hapo kuna complex gn,juzi uliandika kwamba wabunge 19 wamefutwa uanachama bila kigezo,Leo wao wameshindwa kujibu,Leo umekuja na ngonjera za shits.Njaa mbaya kweli
Kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, japo mimi ni kada wa chama cha siasa na sio CHADEMA, ukada wangu, haunizuii kutoa ushauri kwa Chama chochote kukisaidia. Upendo wa kweli ni pale unapoona jirani yako kipofu, haoni mbele, anatembea na mkongojo, unamuona kabisa anahatari ya kuangamia, kwa kuelekea kwenye shimo, unajitolea kumnusuru kwanza kwa kumpigia kelele asimame, mbele kuna hatari, kisha una stretch a helping hand kumshika mkono kumsaidia. CHADEMA kwa sasa, baada ya kipigo kitakatifu kwenye uchaguzi Mkuu uliopita ambao licha ya dosari ndogo ndogo ni ni huru na wa haki, ambapo upinzani umekataliwa na wananchi. Sasa kina hitaji kusaidiwa, kushikwa mkono kuonyeshwa the right way to go!.
Hivyo huu ni ushauri wangu kwa Chadema, Its do or die! Chadema is left with two options only kuchagua kufa, au kuendelea kuishi.
Ili CHADEMA kiendelee kuishi ni lazima kikubalini matokeo ya uchaguzi, kiandike barua NEC ya kuwavua uanachama hao wasaliti 19, kipeleke majina mapya 19, kiendelee kuvuta ruzuku and survives, or kiendelee kushupaza shingo, kuwa hakiyatambui matokeo ya uchaguzi, hakimtambui rais wa Jamhuri ya Muungano wa hakilitambui Bunge la Jamhuri ya Muungano wa CHADEMA will go straight to hell by being buried 6ft Under.
Mbele ya macho ya jamii, hao ambao kwao ni wasaliti, kwa wengine hao ni makamanda mashujaa wapambanaji ambao ni wa kiwango cha makomandoo, licha ya kufutwa uanachama wa CHADEMA, wataendelea kuwa wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Ubunge wao sasa utakuwa ni ubunge wa Spika, Ubunge wa Taifa.
Angalizo la Uelewa:
Naomba kutoa angalizo dogo kuhusu uwezo wa uelewa wa Watanzania wengi kwenye complex issues ni mdogo, hivyo hili sakata la wabunge 19 wa Viti maalum CHADEMA, ni complex issue, kueleweka, inakubidi uwe na kichwa chenye uwezo wa uelewa wa kiwango hicho, hivyo wale wa uwezo wa uelewa wa wenzangu na mimi, mkiishia tuu kusoma heading na ku comment, nitawalewa sio kosa lenu, poleni. Ushauri wangu, ishieni hapa, huko mbele ndio mtapotea kabisa.
Wale wenzangu na mimi wa kuzama deep, twendeni mdogo mdogo, na ili uweze kuilewa vizuri mada hii iliyopo mezani, anzia hapa
Wanabodi, Shurti la Mgombea Uongozi wa Umma, Kudhaminiwa na Chama cha Siasa ni Sheria Mbovu, ni... Kinyume cha Katiba, Kinyume cha Universal Declaration of Human Rights Kinyume cha The United Nations Human Rights Committee, Kinyume cha African Chatter of People and Political Rights Inaminya...
www.jamiiforums.com
Haki ya Kila Mtanzania Kushiriki Siasa
A Way Forward Kwa Chadema
Kama ni kweli Chadema haiyatambui matokeo ya uchaguzi, maana yake, hawamtambui Rais wa JMT, kwa mfumo wetu, rais wa JMT ni executive president, ni rais mtendaji, kila kinachofanywa mamlaka zote za umma, kinafanywa kwa niaba ya rais wa JMT, ukiisha kuwa humtambui rais, hiyo maana yake pia hulitambui Bunge, kwasababu limetokana na uchaguzi batili, hivyo sasa hao wabunge makamanda 19 wa Chadema ambao kwa Chadema ni wasaliti, lakini kwa wengine ni mashujaa wa haki za wanawake, baada ya kufutwa uanachama wa Chadema, wanapaswa kupoteza ubunge wao, ili wafutwe ubunge huo, ni lazima Chadema, kwanza kikubali matokeo!, kiyatambue!, kiiandikie Tume ya Uchaguzi NEC, kuwa kimekubali matokeo na kimekubali kupokea nafasi zake 19 za viti maalum. Barua hiyo iwakane, hao wabunge 19 waliojipeleka. NEC kwanza itajiridhisha kwamba ni kweli kulifanyika forgery ya hayo majina 19 wa mwanzo, kisha ni NEC ndio itamundikia Spika wa Bunge barua kutangaza nafasi hizo 19 za viti maalum Chadema ziko wazi, na kumpatia majina 19 mapya na halali ya viti maalum wa Chadema, hivyo Chadema wakiandika tuu barua, itakuwa ni wameutambua uchaguzi na wamekubali matokeo, Chadema will survive.
Kwa vile wabunge hao wameisha apishwa ni wabunge halali wa Bunge la JMT, hata kama Chadema imewafuta uanachama, tena hawahitaji kukata rufaa popote, wala kwenda mahakamani kupinga chochote, kwasababu Chadema haiwezi kufanya chochote. Sasa wataendelea na ubunge wao kama wabunge wa Taifa wa Chadema.
Wanachopaswa kufanya ni kutafuta eneo la ofisi hapo Dodoma, wafungue bank account, ruzuku yote ya Chadema, watakabidhiwa wao, na kulisongesha hadi 2025!. Uamuzi huu wa kulisongesha una changamoto moja, baadhi ya hao 19, ni wake wa ndoa wa wana CC wa Chadema, baadhi ni wenzi wanaoishi nao kinyumba kama mke na mume,na baadhi ni 'vidumu' vya viongozi wa Chadema, kuishi nyumba moja, kulala chumba kimoja, kitanda kimoja kati ya kiongozi halali wa Chadema na muasi, ni changamoto!, tena kuna wengine wameisha anza kujenga familia, familia zisiparanganyiwishwe na siasa za kujinga jinga kama hizi!.
Chadema wakiamua kuacha ujinga wa kujifanya hawayatambui matokeo, wakiyatambua, wataandika barua kwa NEC, copy kwa Spika kuwa wamewavua uanachama hao wasaliti 19, na badala yake, KM atangaze list ya wabunge wanawake wengine 19 wapya, ipeleke NEC, NEC wampe Spika, Spika awatangaze kuwatengua ubunge hao wabunge 19 wasaliti wafutwe ubunge na wabunge wapya wa Chadema waapishwe.
Zeozi hili lina changamoto 2 tuu, Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai, 2- Wameisha kopeshwa mkopo wa magari unaolipwa ndani ya miaka 5!.
Nini Kifanyike, A Way Forward Kitaifa
Kama nilivyowahi kushauri humu, ukosoaji wenye kujenga, huandamana na ushauri wa nini kifanyike kurekebisha kasoro hizi ili kuundoa ujinga huu unaoendelea nchini kwenye siasa zetu, haiwezekani kiongozi achaguliwe na umma wa Watanzania, halafu chama chake kwa sababu za kijinga jinga tuu, kimvue uanachama, ili Tanzania tupate maendeleo ya kweli ya kisiasa, ni lazima tubadilike, sheria za kijinga jinga zenye masharti ya kijinga jinga lazima tuzibadilishe.
Tubadili sheria yetu ya uchaguzi, kile kipengele cha kudhaminiwa na chama kiishie kwenye uteuzi tuu, kiongozi akiishachaguliwa, anakuwa kiongozi wa watu, anaweza kuhama chama bila kupoteza uongozi wake kama ilivyo nchini Kenya na nchi nyingine zenye kuheshimu demokrasia ya kweli na sio hii demokrasia fake ya vyama!.
Tubadili Katiba yetu na sheria yetu ya uchaguzi, kwa kuondoa kipengele cha kudhaminiwa na vyama ili kila Mtanzania mwenye sifa za kugombea uongozi wa nafasi yoyote, aruhusiwe, ila kwenye urais, tuweke vigezo vya ziada, ili asijetokea tajiri mmoja mwenye ukwasi wa kuwanunua watanzania wote, tukajikuta tuna rais wa kununuliwa. Ila kwenye ubunge, udiwani na serikali za mtaa, kila mtu awe free kugombea, hivyo tuwe na wagombea huru, na wagombea binafsi.
Tuibadili Tume yetu ya Uchaguzi iwe Tume huru zaidi na shirikishi, tujenge uwanja sawa wa ushindani wa haki kwa vyama vyote, uchaguzi uendeshwe kwa transparency ya hali ya juu kwa kuruhusu mawakala hadi kwenye tallying, na vyama au taasisi zozote ziwe free kuwa na tallying centers zake, kitu ambacho hakitaruhusiwa na talling centers hizo ni kutangaza matokeo, kama matokeo yote ya uchaguzi hadi wa rais yanahesabiwa kituoni na kubandikwa ukutani, kama hakuna jambo lolote la kificho, yaani nothing to hide, kwanini uzuie independent tallying?!. Uchaguzi wa 2025, kila mwenye uwezo wa kufanya tallying aruhusiwe afanye ila zisitangaze matokeo, hii itazuia bao la mkono!
Hitimisho
Ili Taifa letu lipate maendeleo ya kweli, ni lazima sisi Watanzania tukubali kuwa wakweli toka ndani ya nafsi zetu, kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa na kufanya siasa za ukweli, naamini kabisa rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli, anaweza kuleta maendeleo ya kweli ya taifa letu la Tanzania kwa kuleta maendeleo ya kiuchumi na wakati huo huo akiiacha demokrasia ikishamiri.
Nawatakia Jumanne Njema.
Paskali
Update ya Mchango Very Objective
Mkuu Drifter, kwanza asante kwa mchango wako, very objective, kiukweli tangu nimepandisha uzi huu, wewe ndio mtu wa kwanza kunielewa, kwasababu, kiukweli kabisa, hii jf ya sasa, tuna watu wachache sana, wenye kuweza kusoma bandiko na kisha kujiuliza what is the motive behind.
Chama cha Mapinduzi ni chama cha ukweli na haki, kiliasisiwa na Mwalimu Nyerere, mpenda haki na mtenda haki. Baada ya Mwalimu, CCM ilipitia mageuzi na kuishiwa kuhodhiwa na wenye fedha, hivyo kuzalisha kada kubwa ya makada wa CCM ambao ni makada maslahi, na kwenye uchaguzi, wanakuwa wako tayari kutumia mbinu zozote kushinda uchaguzi. JPM alipoingia, amekuja kuibadili CCM kuirudisha ile CCM ya Nyerere. Sasa ndani ya makada wa CCM, kuna makada wa aina mbili, kuna "CCM Die Hard", hawa ndio wanaotaka kuhakikisha CCM inaupondaponda upinzani na kushinda kwa asilimia 99.9% kwa kutumia mbinu zozote.
Tupo sisi makada "Modern CCM" ambao kutokana na good track ya kazi nzuri ya JPM, CCM innashinda kwa mshindi mzuri safi na clear victory, kushinda kwa haki bila kufanya figisu figisu zozote.
Kwa vile Bunge letu ni Bunge la vyama vingi, mimi naamini kuna baadhi ya wana CCM very genuine, hakupenda kuona baadhi ya wapinzani wakishindwa akiwemo mtu kama Zitto!. Lakini kutokana na wapinzani kukataliwa na wananchi, ili Bunge lichangamke, zile kamati 2 za oversight committee, PAC na LAAC, lazima ziongozwe na wabunge wa upinzania ambao ni vichwa vya ukweli, kwenye hao wabunge wote sijaona watu wa kalibre hiyo ndio maana kila siku, tunamuomba Mwenyekiti wetu, JPM, katika zile nafasi zake 10, awateua wapinzani 4, Zitto, JJ Mnyika, Mbatia na kale kabinti Queen Sendiga.
Ili CCM itawale vizuri inahitaji Upinzani makini, ndio maana kila uchao, naibalasa Chadema humu na ACT Zanzibar, waache ujinga wa kususa. Ili kusasa kwa akili ni kususa kama kwa kususa huko utaachieve something, lakini kususa tuu for the sake of kususa, huku you won't achieve anything huu ni ujinga!.
Hahaha Pascal Chadema ni chama kinachojitegemea ki maamuzi hawategemei ushauri wa ccm kutoa maamuzi.
Wameshatoa maamuzi hakuna kurudi nyuma.
Nyie ccm mnamatatizo sana, hamuongelei mzizi wa tatizo mnaongelea ubunge wa covid-19.
Tatizo sio Chadema kuwafukuza covid-19 uanachama, tatizo ni CCM KUVURUGA UCHAGUZI MKUU WA October 28, 2020.
Chadema haipingi covid-19 wasiwe wabunge inakataa kukubali matokeo ya uchaguzi mkuu uliopita.
Nasema na kurudia Chadema imeshafanya maamuzi hizi ni kelele tu hamna hoja.
Ongeleeni uchaguzi mkuu ambao ndio mzizi wa tatizo sio kuongelea Chadema na covid-19.

Hapa tu pamenitosha kuona uwezo wako mdogo wa akili, kumbe upo kwa ajili ya kusaidia tu pale unapoona mtu anataka kuanguka? how about the rest? Vipi kama kapitia njia sahihi?Upo tayari kupongeza? kama sivyo basi wewe ni hewa
Hivi swali lako la usiginaji katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unaofanywa na awamu ya Tano lilikufa "natural death" tangu tulipoambiwa maana ya jina lako kuwa ni "njaa"? Kazi ya Chadema ilikuwa ni moja tu katika context ya "ubunge wa viti maalum wa akina Halima", kuwafutia uanachama kulingana na makosa waliyoyafanya dhidi ya chama, basi! Unataka waandike barua ya nini tena kwa spika Mr. "njaa"? Acha propaganda za chekechea mzee!
Mkuu Mayalla aka Njaa, kwani hujachoka tu kuandika!? Ulazima wa wao ccm kulazimisha hayo majina unatoka wapi!? Wanataka nini hasa!? Au ushindi walioupata haujawatosha!?
Hakuna kitu hatari kama kukosa akili wakati unazeeka na watu wanategemea unavyozeeka ndiyo hekima na busara vinachukua nafasi yake lakini mwenzetu ndiyo anazidi kuwa mjinga haswa.
Kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, japo mimi ni kada wa chama cha siasa na sio CHADEMA, ukada wangu, haunizuii kutoa ushauri kwa Chama chochote kukisaidia. Upendo wa kweli ni pale unapoona jirani yako kipofu, haoni mbele, anatembea na mkongojo, unamuona kabisa anahatari ya kuangamia, kwa kuelekea kwenye shimo, unajitolea kumnusuru kwanza kwa kumpigia kelele asimame, mbele kuna hatari, kisha una stretch a helping hand kumshika mkono kumsaidia. CHADEMA kwa sasa, baada ya kipigo kitakatifu kwenye uchaguzi Mkuu uliopita ambao licha ya dosari ndogo ndogo ni ni huru na wa haki, ambapo upinzani umekataliwa na wananchi. Sasa kina hitaji kusaidiwa, kushikwa mkono kuonyeshwa the right way to go!.
Hivyo huu ni ushauri wangu kwa Chadema, Its do or die! Chadema is left with two options only kuchagua kufa, au kuendelea kuishi.
Ili CHADEMA kiendelee kuishi ni lazima kikubalini matokeo ya uchaguzi, kiandike barua NEC ya kuwavua uanachama hao wasaliti 19, kipeleke majina mapya 19, kiendelee kuvuta ruzuku and survives, or kiendelee kushupaza shingo, kuwa hakiyatambui matokeo ya uchaguzi, hakimtambui rais wa Jamhuri ya Muungano wa hakilitambui Bunge la Jamhuri ya Muungano wa CHADEMA will go straight to hell by being buried 6ft Under.
Mbele ya macho ya jamii, hao ambao kwao ni wasaliti, kwa wengine hao ni makamanda mashujaa wapambanaji ambao ni wa kiwango cha makomandoo, licha ya kufutwa uanachama wa CHADEMA, wataendelea kuwa wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Ubunge wao sasa utakuwa ni ubunge wa Spika, Ubunge wa Taifa.
Angalizo la Uelewa:
Naomba kutoa angalizo dogo kuhusu uwezo wa uelewa wa Watanzania wengi kwenye complex issues ni mdogo, hivyo hili sakata la wabunge 19 wa Viti maalum CHADEMA, ni complex issue, kueleweka, inakubidi uwe na kichwa chenye uwezo wa uelewa wa kiwango hicho, hivyo wale wa uwezo wa uelewa wa wenzangu na mimi, mkiishia tuu kusoma heading na ku comment, nitawalewa sio kosa lenu, poleni. Ushauri wangu, ishieni hapa, huko mbele ndio mtapotea kabisa.
Wale wenzangu na mimi wa kuzama deep, twendeni mdogo mdogo, na ili uweze kuilewa vizuri mada hii iliyopo mezani, anzia hapa
Wanabodi, Shurti la Mgombea Uongozi wa Umma, Kudhaminiwa na Chama cha Siasa ni Sheria Mbovu, ni... Kinyume cha Katiba, Kinyume cha Universal Declaration of Human Rights Kinyume cha The United Nations Human Rights Committee, Kinyume cha African Chatter of People and Political Rights Inaminya...
www.jamiiforums.com
Haki ya Kila Mtanzania Kushiriki Siasa
A Way Forward Kwa Chadema
Kama ni kweli Chadema haiyatambui matokeo ya uchaguzi, maana yake, hawamtambui Rais wa JMT, kwa mfumo wetu, rais wa JMT ni executive president, ni rais mtendaji, kila kinachofanywa mamlaka zote za umma, kinafanywa kwa niaba ya rais wa JMT, ukiisha kuwa humtambui rais, hiyo maana yake pia hulitambui Bunge, kwasababu limetokana na uchaguzi batili, hivyo sasa hao wabunge makamanda 19 wa Chadema ambao kwa Chadema ni wasaliti, lakini kwa wengine ni mashujaa wa haki za wanawake, baada ya kufutwa uanachama wa Chadema, wanapaswa kupoteza ubunge wao, ili wafutwe ubunge huo, ni lazima Chadema, kwanza kikubali matokeo!, kiyatambue!, kiiandikie Tume ya Uchaguzi NEC, kuwa kimekubali matokeo na kimekubali kupokea nafasi zake 19 za viti maalum. Barua hiyo iwakane, hao wabunge 19 waliojipeleka. NEC kwanza itajiridhisha kwamba ni kweli kulifanyika forgery ya hayo majina 19 wa mwanzo, kisha ni NEC ndio itamundikia Spika wa Bunge barua kutangaza nafasi hizo 19 za viti maalum Chadema ziko wazi, na kumpatia majina 19 mapya na halali ya viti maalum wa Chadema, hivyo Chadema wakiandika tuu barua, itakuwa ni wameutambua uchaguzi na wamekubali matokeo, Chadema will survive.
Kwa vile wabunge hao wameisha apishwa ni wabunge halali wa Bunge la JMT, hata kama Chadema imewafuta uanachama, tena hawahitaji kukata rufaa popote, wala kwenda mahakamani kupinga chochote, kwasababu Chadema haiwezi kufanya chochote. Sasa wataendelea na ubunge wao kama wabunge wa Taifa wa Chadema.
Wanachopaswa kufanya ni kutafuta eneo la ofisi hapo Dodoma, wafungue bank account, ruzuku yote ya Chadema, watakabidhiwa wao, na kulisongesha hadi 2025!. Uamuzi huu wa kulisongesha una changamoto moja, baadhi ya hao 19, ni wake wa ndoa wa wana CC wa Chadema, baadhi ni wenzi wanaoishi nao kinyumba kama mke na mume,na baadhi ni 'vidumu' vya viongozi wa Chadema, kuishi nyumba moja, kulala chumba kimoja, kitanda kimoja kati ya kiongozi halali wa Chadema na muasi, ni changamoto!, tena kuna wengine wameisha anza kujenga familia, familia zisiparanganyiwishwe na siasa za kujinga jinga kama hizi!.
Chadema wakiamua kuacha ujinga wa kujifanya hawayatambui matokeo, wakiyatambua, wataandika barua kwa NEC, copy kwa Spika kuwa wamewavua uanachama hao wasaliti 19, na badala yake, KM atangaze list ya wabunge wanawake wengine 19 wapya, ipeleke NEC, NEC wampe Spika, Spika awatangaze kuwatengua ubunge hao wabunge 19 wasaliti wafutwe ubunge na wabunge wapya wa Chadema waapishwe.
Zeozi hili lina changamoto 2 tuu, Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai, 2- Wameisha kopeshwa mkopo wa magari unaolipwa ndani ya miaka 5!.
Nini Kifanyike, A Way Forward Kitaifa
Kama nilivyowahi kushauri humu, ukosoaji wenye kujenga, huandamana na ushauri wa nini kifanyike kurekebisha kasoro hizi ili kuundoa ujinga huu unaoendelea nchini kwenye siasa zetu, haiwezekani kiongozi achaguliwe na umma wa Watanzania, halafu chama chake kwa sababu za kijinga jinga tuu, kimvue uanachama, ili Tanzania tupate maendeleo ya kweli ya kisiasa, ni lazima tubadilike, sheria za kijinga jinga zenye masharti ya kijinga jinga lazima tuzibadilishe.
Tubadili sheria yetu ya uchaguzi, kile kipengele cha kudhaminiwa na chama kiishie kwenye uteuzi tuu, kiongozi akiishachaguliwa, anakuwa kiongozi wa watu, anaweza kuhama chama bila kupoteza uongozi wake kama ilivyo nchini Kenya na nchi nyingine zenye kuheshimu demokrasia ya kweli na sio hii demokrasia fake ya vyama!.
Tubadili Katiba yetu na sheria yetu ya uchaguzi, kwa kuondoa kipengele cha kudhaminiwa na vyama ili kila Mtanzania mwenye sifa za kugombea uongozi wa nafasi yoyote, aruhusiwe, ila kwenye urais, tuweke vigezo vya ziada, ili asijetokea tajiri mmoja mwenye ukwasi wa kuwanunua watanzania wote, tukajikuta tuna rais wa kununuliwa. Ila kwenye ubunge, udiwani na serikali za mtaa, kila mtu awe free kugombea, hivyo tuwe na wagombea huru, na wagombea binafsi.
Tuibadili Tume yetu ya Uchaguzi iwe Tume huru zaidi na shirikishi, tujenge uwanja sawa wa ushindani wa haki kwa vyama vyote, uchaguzi uendeshwe kwa transparency ya hali ya juu kwa kuruhusu mawakala hadi kwenye tallying, na vyama au taasisi zozote ziwe free kuwa na tallying centers zake, kitu ambacho hakitaruhusiwa na talling centers hizo ni kutangaza matokeo, kama matokeo yote ya uchaguzi hadi wa rais yanahesabiwa kituoni na kubandikwa ukutani, kama hakuna jambo lolote la kificho, yaani nothing to hide, kwanini uzuie independent tallying?!. Uchaguzi wa 2025, kila mwenye uwezo wa kufanya tallying aruhusiwe afanye ila zisitangaze matokeo, hii itazuia bao la mkono!
Hitimisho
Ili Taifa letu lipate maendeleo ya kweli, ni lazima sisi Watanzania tukubali kuwa wakweli toka ndani ya nafsi zetu, kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa na kufanya siasa za ukweli, naamini kabisa rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli, anaweza kuleta maendeleo ya kweli ya taifa letu la Tanzania kwa kuleta maendeleo ya kiuchumi na wakati huo huo akiiacha demokrasia ikishamiri.
Nawatakia Jumanne Njema.
Paskali
Update ya Mchango Very Objective
Mkuu Drifter, kwanza asante kwa mchango wako, very objective, kiukweli tangu nimepandisha uzi huu, wewe ndio mtu wa kwanza kunielewa, kwasababu, kiukweli kabisa, hii jf ya sasa, tuna watu wachache sana, wenye kuweza kusoma bandiko na kisha kujiuliza what is the motive behind.
Chama cha Mapinduzi ni chama cha ukweli na haki, kiliasisiwa na Mwalimu Nyerere, mpenda haki na mtenda haki. Baada ya Mwalimu, CCM ilipitia mageuzi na kuishiwa kuhodhiwa na wenye fedha, hivyo kuzalisha kada kubwa ya makada wa CCM ambao ni makada maslahi, na kwenye uchaguzi, wanakuwa wako tayari kutumia mbinu zozote kushinda uchaguzi. JPM alipoingia, amekuja kuibadili CCM kuirudisha ile CCM ya Nyerere. Sasa ndani ya makada wa CCM, kuna makada wa aina mbili, kuna "CCM Die Hard", hawa ndio wanaotaka kuhakikisha CCM inaupondaponda upinzani na kushinda kwa asilimia 99.9% kwa kutumia mbinu zozote.
Tupo sisi makada "Modern CCM" ambao kutokana na good track ya kazi nzuri ya JPM, CCM innashinda kwa mshindi mzuri safi na clear victory, kushinda kwa haki bila kufanya figisu figisu zozote.
Kwa vile Bunge letu ni Bunge la vyama vingi, mimi naamini kuna baadhi ya wana CCM very genuine, hakupenda kuona baadhi ya wapinzani wakishindwa akiwemo mtu kama Zitto!. Lakini kutokana na wapinzani kukataliwa na wananchi, ili Bunge lichangamke, zile kamati 2 za oversight committee, PAC na LAAC, lazima ziongozwe na wabunge wa upinzania ambao ni vichwa vya ukweli, kwenye hao wabunge wote sijaona watu wa kalibre hiyo ndio maana kila siku, tunamuomba Mwenyekiti wetu, JPM, katika zile nafasi zake 10, awateua wapinzani 4, Zitto, JJ Mnyika, Mbatia na kale kabinti Queen Sendiga.
Ili CCM itawale vizuri inahitaji Upinzani makini, ndio maana kila uchao, naibalasa Chadema humu na ACT Zanzibar, waache ujinga wa kususa. Ili kusasa kwa akili ni kususa kama kwa kususa huko utaachieve something, lakini kususa tuu for the sake of kususa, huku you won't achieve anything huu ni ujinga!.
Chadema ikifa ndiyo furaha ya CCM,why worry?
Binafsi sipo tayari kubadili mamlaka kuu ya nchi kirahisi tu na sikutegemea kama TL angeweza kumshinda JPM lakini kinachokera ni haya marosoroso kibao katika awamu hii.
Paskali Mayala haya yaliyotokea hayajawahi kutokea na tumerudi nyuma.
CCM imeshinda na itaendelea kushinda lakini kama yalivyo maji upinzani/maoni tofauti huwezi kuyazuia na hili limeonekana wazi (miaka mitano ya CCM kufanya siasa peke yake tulitegemea Chadema mikutano yao ikose watu.Waanchi kuwachangia wafungwa wa Chadema millioni nayo ni ishara tosha).Kuliko CCM kuzuia kwa nguvu zote ni vizuri ikavilea hivi vyama ili hata siku wakitolewa madarakani angalau wawe na nafuu ya maisha.
Nilitegemea baada ya kushinda diplomacy ingetumika kuwavuta wapinzani na kulegeza baadhi ya mambo lakini tunachoshuhudia ni vijembe na vitisho.Hu
Mambo yote ya uchaguzi na ubunge yanaratibiwa na NEC, NEC ndiyo inapeleka majina Bungeni. Hivyo Chadema wanapaswa kuiandikia NEC, kuwa imewavua uanachama hao wasaliti 19, na imeupokea uteuzi viti maalum na kupeleka list rasmi ya wabunge wao 19.
Barua ya Chadema kwa NEC, Spika anakuwa cc. only.
P
Hahaha sasa kama Chadema hawajawahi kupeleka jina lolote NEC, wao NEC walipata wapi majina hayo kuyapeleka kwa spika?!
Walijua ni batili ndio maana mwanasheria mkuu wa serikali alisema wabunge 19 ni halali na wasibugudhiwe na Chadema, alijua wamefanya ubatili, na spika akatokea TBC na kusema atawalinda wabunge 19 wa viti maalum kwa nguvu zote.
Matamshi ya AG na Spika tayari yalitosha kukuonyesheni nyie kwamba hili limetengenezwa kuhalalisha haram, yaani uchaguzi wa October 28, 2020.
Mnazunguka na maandishi marefu na mengi lakini mnaukimbia ukweli kwamba tatizo ni ccm waliohalibu uchaguzi mkuu na kupelekea Chadema kukataa matokeo na uhalali wake.
Badala yake ccm mmegeuka kuwa washauri wa chadema wakubali uovu au la....!
Nafahamu kuwa “wengi wetu tupo vizuri kwenye kugawa kile ambacho hatuna yaani ushauri mzuri”(Napoleon Hill).
Hata hivyo niwie radhi nami nikushauri kidogo.
Punguza intellectual arrogance bro. Nyuzi zako nyingi hasa za siasa za vyama zinarindima na hiyo kitu kiasi cha kumpiku the late BWM(R I P).
On a hindsight, hii inaweza kuwa imekupotezea na itaendelea kukupotezea fursa nyingi achilia mbali kuwafanya watu waku ‘ antagonize’ na kuku ‘snub’ kila inapotokea nafasi ya kufanya hivyo.
Na hali hii mkuu ni kwa pande zote mbili: wale ambao unajinasibisha kuwaunga mkono na hawa wengine ambao unapingana nao.
Wote hawakukubali!
Otherwise sitasema zaidi juu ya uzi wako ambao naona uko driven zaidi na hio hali niliyoitaja kuliko nia ya kweli ya kuwasaidia wapinzani wako wa siasa au kulinufaisha taifa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.