CHADEMA kuchangisha michango kununua gari jipya la Lissu ni wizi

ilo gari halikuwa na bima?

acheni kuwa wapumbavu na mmesoma mlipelekwa shule kuondoa ujinga na kuongeza uwezo wa kufikiri wewe unapanga foleni kwenye mwendo kasi af leo unamchangia mtu pesa ili asinyeshewe na mvua izo ni akili kwli
Tunachanga awe nayo hata matatu pamoja na Hilo la bima pesa zetu msitupangie masikini nyie
 
mwenetu mwachiluwi umerudi?🤣🤣🤣🤣 national anthem anasemaje huko mkuu.

intelligent business man anasemaje mkuu?

karibusana jamvini kwamara nyingine
khaa wako poa sana
 
PESA ni yangu unanipangia matumizi??


Samahani ww ni jinsia gani? Kwanza



Kazi ni kipimo cha utu
 
Unakosea sana michango haijaombwa na chadema km chama bali na mtu binafsi ambaye ni mhanga mr Lissu,acha upotoshaji wa maksudi
 
Ni sahihi kabisa maana ni mchango wa hiari
 
sipo kutetea viongozi tawala ninalo kemea hapa ni michango ambayo wanawakamua masikini kwa kipato chao kidogo iko iko bado wanakitaka lini umeona ccm inatembeza bakuri ?
Maccm hawatembezi bakuli sababu wameshikilia hazina ya taifa hili kama fizi aliyeokota mzoga. Wanafakamia tu na kuliacha taifa ktk hali ya umaskini. Sasa hawa masikini walioguswa wanamchangia Lissu, achana nao. Natumaini wewe ni mmoja wa wale wanaotamani Lissu angekufa au hata afe sasa.
 
Kwani umelazimishwa?
 
Hivi hujapata habari kwamba watumishi wamemchangia mama fomu kwaajili ya uchaguzi wa mwakani. Tena fomu ya milioni moja lakini eti watumishi kibao wamemchangia. Je nisawa mama kuchangiwa na mwalimu?
Kama vipi hata hizo zilizozidi kwenye fomu mama ampe Tundu
 
Mleta mada una wivu wa kike!!
 
Kuchangisha ujenzi ofisi za CCM?
 
sipo kutetea viongozi tawala ninalo kemea hapa ni michango ambayo wanawakamua masikini kwa kipato chao kidogo iko iko bado wanakitaka lini umeona ccm inatembeza bakuri ?
Mbona hata serikali tunaichangia kupitia Tozo
 
Umaskini umeletwa na ccm ,uyu lissu iwe mvua au jua gari lazima changiwe na lazima linunuliwe na kama ni mafuta tunaweza mchangia ya miaka mitano yani ,ccm mnateseka badala ya kujenga chama chenu ambacho kinakufa kwa speed ya supersonic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…