CHADEMA kuchangisha michango kununua gari jipya la Lissu ni wizi

CHADEMA kuchangisha michango kununua gari jipya la Lissu ni wizi

we huna akili mpumbavu wewe.
kumchangia lisu imekua nongwa ila michango ya kununua m vx ya serikali yenu kila siku unachangia hiyo ndo unaona akili au wehu
lin gvt imekuja kuomba hela kwa wananchi wanunue gari?
 
sipo kutetea viongozi tawala ninalo kemea hapa ni michango ambayo wanawakamua masikini kwa kipato chao kidogo iko iko bado wanakitaka lini umeona ccm inatembeza bakuri ?
kumkamua mtu ni kumlazimisha.
mtu kutoa mwenyewe anatoa ziada ambayo hana kazi nayo ni kitu gan kinakuuma.

we demu umesoma had darasa la ngapi
 
chadema hovyo sana..wao kutoa hata robo kilo kwa wahanga wa mafuriko walishindwa kazi kuanzisha michango kiholela na kuzitafuna ruzuku
vitambi vikiwaota wananzisha matembezi ya hiyari(mandamano)kuwapumbaza wafuasi wao na kuvuruga shuhuli za kiuchumi
 
haya sio mapenzi ila ni kunyonya watu

Bahati mbaya sana yeye hajaomba michango, hao wanaonyonywa ndio wametaka wenyewe kumchangia, hizi threads mfululizo hazitobadilisha kitu zaidi ya waandikaji kuumia roho zao tu, kule kushafika milioni 20 in 24hrs tu.

Yani ni hiyari tu, ccm huwa inachangisha kwa vitisho na ulazima kwa wafanyabiashara nchi nzima na bado wanaiba hazina kama EPA na pesa za IPTL, meremeta Kagoda na wengineo, na bado zingine za mtutu wa bunduki km Maduka ya fedha!

Hii inaitwa mwenye wivu ajinyonge yani! Huyu mtu hatari nyota yake yani fikiria hakufa kwa risasi 30 na kanyimwa maslahi yake yote ya kibinadamu hlf anachangiwa na watu maskini kbs bukubuku anunue bullet proof modern car! Dah kwa machozi mazito machawa na wafadhili wao wanateseka
 
gari Hain bima?

Jielimishe bima ina muda maalum wa kuifuatilia, kama hawajachunguza nani alitaka kumuua na kumnyima matibabu ndio bima itamrudishia gari? Common sense tu huna hqja ya kukariri notes za sekondari hapa
 
Muache tu kiongozi unajiabisha tu coz wiki ijayo ana gari na utapasuka roho kwa wivu! Ushauri tu chukua au acha
 
chadema hovyo sana..wao kutoa hata robo kilo kwa wahanga wa mafuriko walishindwa kazi kuanzisha michango kiholela na kuzitafuna ruzuku
vitambi vikiwaota wananzisha matembezi ya hiyari(mandamano)kuwapumbaza wafuasi wao na kuvuruga shuhuli za kiuchumi
then wanaitaka nchi waongoze
 
Kwa akili ya kawaida ili swala la kumchangia gari lissu ni wizi na ufisadi, kwa hali ya kawaida wanae mchangia ndiye anasema anataka kuondoa umasikini kwa watz ila bado anaomba msaada kwa masikini hao ambao wanamtegemea yeye kuja kuwatoa katika wimbi la umasikini hii imekaaje kaaje?

Lissu acha kuibia watz ilo lipo wazi wewe umejitosheleza kwa kila kitu bado unakuja mbele ya watu unaomba mchango upate gari jipya kweli kwa masikini hao hao ambao hawana ajira ambao bado hawajajua hatima yao ya kesho bado wanapambana kupata bei mzuri ya kuuza mazao yao mbona unakuwa na tabia za chuma ulete.

Michango ya chadema inakuwa na manufaa kwa viongozi na sio Chama kuna vitu tunatakiwa kuonyesha uzalendo lakini sio kwa kuchangia gari chadema na wanachama wake muwe mnajitathimi michango ambayo mnaieleta kwa wananchi wawa wawachangie

CHADEMA kwa hali mlio fikia hampaswi kuitwa Chama kikuu cha upinzani Tz tunaona wazi kabisa kuwa mnania ya kuwafanya masikini wazidi kuwa masikini zaid
Kama hujui mkeo Kisha mchangia MH LISSU vip hapo
 
Actually,
ni ujambazi na unyang'anyi wa kisasa, tena ni wa aibu, fedheha na dhihaka kubwa zaidi kwa Taasisi ambayo eti inategemewa siku zingine kushika na kuongoza dola 🐒

inafahamika bayana,
baadhi ya waandamizi wamesononeshwa sana na muendelezo huu wa kupitisha bakuli na kwakweli tabia hii ya ombaomba ni ya kuvunja moyo sana, kwa wanachama na wanainchi kwa ujumla 🐒
 
Back
Top Bottom