CHADEMA kuchangisha michango kununua gari jipya la Lissu ni wizi

inamaana Chama kinakosa bajet hakipati ruzuku haikupaswa Chama kurudi mbele za wananchi kuomba michango tena Bali ilipaswa Chama kijiendeshe chenyewe kufumbua project za Chama ambapo zingesaidia kutimiza mahitaji yao kama hayo ambayo wao.wanayaona ni muhimu
Hiyo ruzuku iliandikwa kwamba ni lazima inunue gari la Lissu?Kwani katiba yao umeisoma kuhusu vyanzo vyao vya mapato na matumizi yake?Usijichanganye.Utajionesha una wivu,chuki,hasira na kutokujielewa tu.
 
Mimi nimengia fedha zangu kwa Lissu wala sijaibiwa tena nina furaha sana sana wala sijalazimishwa.

Nimetoa Feza kwa furaha mara mbili tu maishi mwangu mara ya kwanza ni posa ya shemeji yenu na hii ya Gari la Lissu.
 
Nilichogundua ni kwamba CCM na watesi wa Lissu kinachowatesa ni mapenzi ya Wananchi kwa Lissu, wala sio Jambo lingine, Jamaa wanatamani Mh.Lissu angekufa kabisa, bahati mbaya katangulia IBILISI aliyepanga haya yote.
 
Nchi hii Kuna mwingine anachangiwa gari mwingine anachangiwa fomu ya urais na wamesema itatoka moja.
 
kijana jitambue unaona ni sawa mmeshawai kupata mchanganuo wa fedha mlizochanga ata siku moja?
Chama gani kimewahi toa mchanganuo wa michango au ruzuku? Taja kimoja tu nikuoneshe mwanaCCM mwenye akili.
Mimi sitaki mchanganuo nataka kuona kazi ikifanyika,na naiona inafanyika pale CHADEMA
 
Michango ni hiari siyo lazima na wala siyo Chadema wote watamchangia,lakini hata nje ya Chadema wanaweza kumchangia!
Watu wanamchangia kwa sababu ya kumpa pole baada ya kufanyiwa dhuluma ya maisha yake na wale waliomrudishia gari yake iliyo haribiwa kwa risasi.
 
ilo gari halikuwa na bima?

acheni kuwa wapumbavu na mmesoma mlipelekwa shule kuondoa ujinga na kuongeza uwezo wa kufikiri wewe unapanga foleni kwenye mwendo kasi af leo unamchangia mtu pesa ili asinyeshewe na mvua izo ni akili kwli
Kuna bima kwenye terrorism? Wewe umesoma shule ya wapi? Bima gani baada ya miaka 8?

Pesa zake za haki tu hajalipwa.
 
Kwa akili ya kawaida ili swala la kumchangia gari lissu ni wizi na ufisadi, kwa hali ya kawaida wanae mchangia ndiye anasema anataka kuondoa umasikini kwa watz ila bado anaomba msaada kwa masikini hao ambao wanamtegemea yeye kuja kuwatoa katika wimbi la umasikini hii imekaaje kaaje?

Lissu acha kuibia watz ilo lipo wazi wewe umejitosheleza kwa kila kitu bado unakuja mbele ya watu unaomba mchango upate gari jipya kweli kwa masikini hao hao ambao hawana ajira ambao bado hawajajua hatima yao ya kesho bado wanapambana kupata bei mzuri ya kuuza mazao yao mbona unakuwa na tabia za chuma ulete.

Michango ya chadema inakuwa na manufaa kwa viongozi na sio Chama kuna vitu tunatakiwa kuonyesha uzalendo lakini sio kwa kuchangia gari chadema na wanachama wake muwe mnajitathimi michango ambayo mnaieleta kwa wananchi wawa wawachangie

CHADEMA kwa hali mlio fikia hampaswi kuitwa Chama kikuu cha upinzani Tz tunaona wazi kabisa kuwa mnania ya kuwafanya masikini wazidi kuwa masikini zaid

..Ccm inapokea bilioni 3 kila mwezi kama ruzuku toka serikalini.
 
Nilichogundua ni kwamba CCM na watesi wa Lissu kinachowatesa ni mapenzi ya Wananchi kwa Lissu, wala sio Jambo lingine, Jamaa wanatamani Mh.Lissu angekufa kabisa, bahati mbaya katangulia IBILISI aliyepanga haya yote.
haya sio mapenzi ila ni kunyonya watu
 
Michango ni hiari siyo lazima na wala siyo Chadema wote watamchangia,lakini hata nje ya Chadema wanaweza kumchangia!
Watu wanamchangia kwa sababu ya kumpa pole baada ya kufanyiwa dhuluma ya maisha yake na wale waliomrudishia gari yake iliyo haribiwa kwa risasi.
gari Hain bima?
 
Kwa akili ya kawaida ili swala la kumchangia gari lissu ni wizi na ufisadi, kwa hali ya kawaida wanae mchangia ndiye anasema anataka kuondoa umasikini kwa watz ila bado anaomba msaada kwa masikini hao ambao wanamtegemea yeye kuja kuwatoa katika wimbi la umasikini hii imekaaje kaaje?

Lissu acha kuibia watz ilo lipo wazi wewe umejitosheleza kwa kila kitu bado unakuja mbele ya watu unaomba mchango upate gari jipya kweli kwa masikini hao hao ambao hawana ajira ambao bado hawajajua hatima yao ya kesho bado wanapambana kupata bei mzuri ya kuuza mazao yao mbona unakuwa na tabia za chuma ulete.

Michango ya chadema inakuwa na manufaa kwa viongozi na sio Chama kuna vitu tunatakiwa kuonyesha uzalendo lakini sio kwa kuchangia gari chadema na wanachama wake muwe mnajitathimi michango ambayo mnaieleta kwa wananchi wawa wawachangie

CHADEMA kwa hali mlio fikia hampaswi kuitwa Chama kikuu cha upinzani Tz tunaona wazi kabisa kuwa mnania ya kuwafanya masikini wazidi kuwa masikini zaid

ufisadi maanake ndo nini.
watanzania wanamchangia mhanga wa mashetani walotaka kumuua halafu unaleta uhayawani hapa.
tumia akili (kama unayo) kuliko kutumia masaburi yako kutoa mada za kijinga humu
 
punguani wewe.

pumzika kijana inamaana Chama kinashindwa kumnunulia mpaka kije mbele za wtz kuomba mchango?
 
we unaona sii sawa.
kwa sababu zipi.
ninyi wanawake wa tandale wivu wenu wa kipuuz sana
dah lissu sio masikini kusema kwamba anashindwa nunua gari hivi ni sawa kabisa kuja kuwanyonya wananch
 
Kwa akili ya kawaida ili swala la kumchangia gari lissu ni wizi na ufisadi, kwa hali ya kawaida wanae mchangia ndiye anasema anataka kuondoa umasikini kwa watz ila bado anaomba msaada kwa masikini hao ambao wanamtegemea yeye kuja kuwatoa katika wimbi la umasikini hii imekaaje kaaje?

Lissu acha kuibia watz ilo lipo wazi wewe umejitosheleza kwa kila kitu bado unakuja mbele ya watu unaomba mchango upate gari jipya kweli kwa masikini hao hao ambao hawana ajira ambao bado hawajajua hatima yao ya kesho bado wanapambana kupata bei mzuri ya kuuza mazao yao mbona unakuwa na tabia za chuma ulete.

Michango ya chadema inakuwa na manufaa kwa viongozi na sio Chama kuna vitu tunatakiwa kuonyesha uzalendo lakini sio kwa kuchangia gari chadema na wanachama wake muwe mnajitathimi michango ambayo mnaieleta kwa wananchi wawa wawachangie

CHADEMA kwa hali mlio fikia hampaswi kuitwa Chama kikuu cha upinzani Tz tunaona wazi kabisa kuwa mnania ya kuwafanya masikini wazidi kuwa masikini zaid
Limekuchoma wapi nyuma ama vipi, bora kuchangisha kuliko kuibia Wananchi.
 
ilo gari halikuwa na bima?

acheni kuwa wapumbavu na mmesoma mlipelekwa shule kuondoa ujinga na kuongeza uwezo wa kufikiri wewe unapanga foleni kwenye mwendo kasi af leo unamchangia mtu pesa ili asinyeshewe na mvua izo ni akili kwli
we huna akili mpumbavu wewe.
kumchangia lisu imekua nongwa ila michango ya kununua m vx ya serikali yenu kila siku unachangia hiyo ndo unaona akili au wehu
 
Back
Top Bottom