CHADEMA kuchangisha michango kununua gari jipya la Lissu ni wizi

Uzuri michango ni hiari, pia haimaanishi Lisu hawezi nunua, ni sehemu ya walioguswa. Si kila anaechangiwa hajiwezi.
Mwenye kujiweza hachangiwi.Ukiona unachangiwa basi wewe ni tapeli mbinafsi au hujiwezi.
 
Wizi uko wapi hapo?

Ile report ya CAG yenyewe utaiitaje?

Wachange wasichange utapungikiwa nini?

Kama we hupendezwi na hilo jambo ni wewe sio wote na naamini huwezi wapangia watu jambo wakiamua!

Kama huna hoja ni bora unyamaze sio kosa we kuwa kimya!
 
Attachments

  • IMG_4024.jpeg
    IMG_4024.jpeg
    56.1 KB · Views: 2
Mkuu

swala la mchango sio lazimani hiari ya mtu anaye wiwa Kwa namna Moja ama ingine.

Msamaha siku zote ni mzuri sana lkn Kuna mabo mengine siyo ya kusamehe. Na mengine kawaida kusamehe. (Ni wimbo wa jeshi ukiwa na maana Pana sana )
ila ni aibu kila siku Chama kinaomba omba mbona vyama vingine havipo hivyo hawa ni mafisadi wabaya sana na sio wazalendo wa nchi
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Usiwe mjinga,Lissu kuchangiwa ni suala la solidarity,siyo suala la kuvuna kwa Marikina wala matajiri,ukiona maskini wamemchangia Lissu ujue wewe na chama chako mpo hatarini.
Huwezi kuelewa umejaa UCCM (ujinga) kichwani.
kijana jitambue unaona ni sawa mmeshawai kupata mchanganuo wa fedha mlizochanga ata siku moja?
 
Kwa akili ya kawaida ili swala la kumchangia gari lissu ni wizi na ufisadi, kwa hali ya kawaida wanae mchangia ndiye anasema anataka kuondoa umasikini kwa watz ila bado anaomba msaada kwa masikini hao ambao wanamtegemea yeye kuja kuwatoa katika wimbi la umasikini hii imekaaje kaaje?

Lissu acha kuibia watz ilo lipo wazi wewe umejitosheleza kwa kila kitu bado unakuja mbele ya watu unaomba mchango upate gari jipya kweli kwa masikini hao hao ambao hawana ajira ambao bado hawajajua hatima yao ya kesho bado wanapambana kupata bei mzuri ya kuuza mazao yao mbona unakuwa na tabia za chuma ulete.

Michango ya chadema inakuwa na manufaa kwa viongozi na sio Chama kuna vitu tunatakiwa kuonyesha uzalendo lakini sio kwa kuchangia gari chadema na wanachama wake muwe mnajitathimi michango ambayo mnaieleta kwa wananchi wawa wawachangie

CHADEMA kwa hali mlio fikia hampaswi kuitwa Chama kikuu cha upinzani Tz tunaona wazi kabisa kuwa mnania ya kuwafanya masikini wazidi kuwa masikini zaid
Mkuu, kelele za Nini? It's simple! Acha kuchanga, okoa fedha Yako. Acha wanaoona umihimu wa kufanya hivyo wachange.
 
Wizi uko wapi hapo?

Ile report ya CAG yenyewe utaiitaje?

Wachange wasichange utapungikiwa nini?

Kama we hupendezwi na hilo jambo ni wewe sio wote na naamini huwezi wapangia watu jambo wakiamua!

Kama huna hoja ni bora unyamaze sio kosa we kuwa kimya!
mnawaibia wananchi kwa kutimiza matakwa yenu
 
Mtazamo wako upo sawa. Lkn kwangu Mimi Sioni kama ni ufisadi CAG Kila mara anasema mabilioni yameibwa ni Vyema Na Haki ukaanza na hayo yanayo tajwa na CAG.
ila ni aibu kila siku Chama kinaomba omba mbona vyama vingine havipo hivyo hawa ni mafisadi wabaya sana na sio wazalendo wa nch
 
Kwa akili ya kawaida ili swala la kumchangia gari lissu ni wizi na ufisadi, kwa hali ya kawaida wanae mchangia ndiye anasema anataka kuondoa umasikini kwa watz ila bado anaomba msaada kwa masikini hao ambao wanamtegemea yeye kuja kuwatoa katika wimbi la umasikini hii imekaaje kaaje?

Lissu acha kuibia watz ilo lipo wazi wewe umejitosheleza kwa kila kitu bado unakuja mbele ya watu unaomba mchango upate gari jipya kweli kwa masikini hao hao ambao hawana ajira ambao bado hawajajua hatima yao ya kesho bado wanapambana kupata bei mzuri ya kuuza mazao yao mbona unakuwa na tabia za chuma ulete.

Michango ya chadema inakuwa na manufaa kwa viongozi na sio Chama kuna vitu tunatakiwa kuonyesha uzalendo lakini sio kwa kuchangia gari chadema na wanachama wake muwe mnajitathimi michango ambayo mnaieleta kwa wananchi wawa wawachangie

CHADEMA kwa hali mlio fikia hampaswi kuitwa Chama kikuu cha upinzani Tz tunaona wazi kabisa kuwa mnania ya kuwafanya masikini wazidi kuwa masikini zaid
Watu wamehoji pia kuhusu walimu na jamii zingine kuchanga fomu za Urais, ni wizi wa CCM au ni mapenzi kwa mama....tuongee ukweli.
 
Kama hawakuibii wewe mkuu achana nao tu hayakuhusu vinginevyo utaonekana mchawi tu na mwenye wivu! Wizi ni jadi yetu ungeanza na waliotajwa na CAG miaka na miaka na washafikia kuweka cha juu karibu trilioni nzima kama kwnye ndege ya ATC ya mizigo. Muache tu rizki yake hiyo bana anafanya kazi kubwa na kwa shida kama watu wameamua kumtunuku shukrani zao achana nao tu maisha yaendelee. Chukulia tu km wanaomchangia Mwamposa, kakobe, mwijaku, nk life is so easy km hucomplicate mwenyewe, take it easy bro
 
Kwa akili ya kawaida ili swala la kumchangia gari lissu ni wizi na ufisadi, kwa hali ya kawaida wanae mchangia ndiye anasema anataka kuondoa umasikini kwa watz ila bado anaomba msaada kwa masikini hao ambao wanamtegemea yeye kuja kuwatoa katika wimbi la umasikini hii imekaaje kaaje?

Lissu acha kuibia watz ilo lipo wazi wewe umejitosheleza kwa kila kitu bado unakuja mbele ya watu unaomba mchango upate gari jipya kweli kwa masikini hao hao ambao hawana ajira ambao bado hawajajua hatima yao ya kesho bado wanapambana kupata bei mzuri ya kuuza mazao yao mbona unakuwa na tabia za chuma ulete.

Michango ya chadema inakuwa na manufaa kwa viongozi na sio Chama kuna vitu tunatakiwa kuonyesha uzalendo lakini sio kwa kuchangia gari chadema na wanachama wake muwe mnajitathimi michango ambayo mnaieleta kwa wananchi wawa wawachangie

CHADEMA kwa hali mlio fikia hampaswi kuitwa Chama kikuu cha upinzani Tz tunaona wazi kabisa kuwa mnania ya kuwafanya masikini wazidi kuwa masikini zaid
Watanzania ni waelewa na wanatoa kwa moyo kwa kipenzi chao kwanza wanahasira jinsi magu alivyotumia polisi kutimua wananchi waliokuwa tayari kumwombea alipopigwa risasi,wacha watu wachange kwa hiari yao we bahili tulia
 
Back
Top Bottom