Luqman mohamedy
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 899
- 1,239
- Thread starter
-
- #181
Nimesikia Mashinji amechangiwa na Wanachama wa CCM milioni 30 hii imekaaje ??@luqman mohamedy
Lazima uwe na kipaumbele katika maisha.unapoichangia Chadema na kuikomboa utawakomboa mpaka familia ya mawazo,akwilina, na wanaopata tabu wote nchi hii chini ya utawala wa kimabavu wa CCM.Tuwachangie na familia ya Mawazo waungwana maisha yao yawe na ahueni Kidogo tutapata dhawabu kwa Mungu.
Au hili haliwezi kutupaisha kisiasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo katiba ya nchi imevunjwa au?Hii ni mbinu ya mafisadi tu, kesho membe atatoa fedha yote kwa kushirikiana na nyalandu pamoja na mfanyabiashara mmoja maarufu.
Lengo hapa ni kuuhadaa umma kwamba chadema inapendwa lakini uhalisia ni kwamba hela ipo na imetoka kwa mfanyabiashara ambaye muda ukiwadia tutamtaja rasmi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu kuna wanaccm wengi wapo jera kwa kukosa kulipa faini ya laki moja ...Ila eti huyu muhamiaji ajamaliza ata mwaka leo CCM tumetoa milioni 30...hii ni fedheha na matusi. Inaonyesha kua CCM tuna matabakaYou may have a point.
Ile dhana ya mtu kuwajibika kwa matendo yake inakuwa haipo tena.
Sasa wale wanyonge wanazidi kunyongwa tu, hata kile kidogo wananyang'anywa.
BoraSina muda wa kuchangia wahuni ,matapeli ,wezi na wauaji wakubwa wa Akwilina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina muda wa kuchangia wahuni ,matapeli ,wezi na wauaji wakubwa wa Akwilina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabendera aliyemchoma....ni Mayalla mwanaccm mwenzake....na yeye kabendera since 2015 alikuwa upande wa Jiwe kwny kampeni....sasa huliona WAP chadema wakamchangia puppet.
CHADEMA leo imeweza kuchanga zaidi ya milioni 300 lakini ilishindwa kumchangia Kabendera millioni 100. Pia, CHADEMA hao hao wakashindwa kumchangia mama mzazi wa Kabendera hata hela za matibabu na kumuacha mama akitaman mwanae atoke jela ili aje amhudumie ilihali kuna watu walikua wanamtumia katika mambo ya siasa kwa kumfanya kama mtu aliyedhulumiwa haki yake, pia kutembea na picha yake.
Cha ajabu zaidi ni pale mama alipotutoka, kuna watu walienda msibani wakiwa wamebeba picha ya Kabendera kisha kutoa hotuba ya kinafki na kusema Kabendera yuko ndani anasubiriwa kumzika mama yake kwa sababu yao.
Mama yake amekufa kwa kukosa kuangaliwa, yaani point hapo ilikuwa matibabu. Okay, let's say hivi: Kabendera angekua muhimu kwao wasinge muhangaikia leo kama wanavyo jiangaikia wenyewe?
This is shame
Sent using Jamii Forums mobile app