CHADEMA kuchangisha Milioni 350 ni maigizo na fedheha

Wananchi wamechanga kufikisha ujumbe kuwa wamechoka siasa za kinafiki, siasa za uonevu, siasa za kizindaki, siasa za uongo, siasa za kitoto, siasa za kijinga kabisa, siasa za...

Wananchi wanajua sana kuwa Chadema inapata ruzuku kubwa baada ya ccm, lakini wameamua kuchanga. Na wapo wanachama wengi tu wa ccm na wa kawaida kabisa na wengine "wazito/vigogo" wamechangia pia.

Hii ni zaidi ya maandamano, ni zaidi ya mikutano ya hadhara, ni zaidi ya hadi mikutano ya ndani ambayo siku hizi nayo inapigwa marufuku kila kukicha na ni zaidi ya kulazimisha matokeo kama yale ya uchaguzi wa serikali za mitaa.

Mwenye macho haambiwa tazama!
 
Sijawahi kuona kiongozi wa hovyo kama huyu

Yaani mi ningepewa ile wizara pamoja na udogo wangu huu ningefanya mambo makubwa thousand times zaidi ya huyu limbukeni

Hovyo kabisa

20200313_010752.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHADEMA leo imeweza kuchanga zaidi ya milioni 300 lakini ilishindwa kumchangia Kabendera millioni 100. Pia, CHADEMA hao hao wakashindwa kumchangia mama mzazi wa Kabendera hata hela za matibabu na kumuacha mama akitaman mwanae atoke jela ili aje amhudumie ilihali kuna watu walikua wanamtumia katika mambo ya siasa kwa kumfanya kama mtu aliyedhulumiwa haki yake, pia kutembea na picha yake.

Cha ajabu zaidi ni pale mama alipotutoka, kuna watu walienda msibani wakiwa wamebeba picha ya Kabendera kisha kutoa hotuba ya kinafki na kusema Kabendera yuko ndani anasubiriwa kumzika mama yake kwa sababu yao.

Mama yake amekufa kwa kukosa kuangaliwa, yaani point hapo ilikuwa matibabu. Okay, let's say hivi: Kabendera angekua muhimu kwao wasinge muhangaikia leo kama wanavyo jiangaikia wenyewe?

This is shame

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabendera hakuomba msaada na pia Kabendera sidhani kama ni mwanachama wa chama cha siasa.

Yule ni mwandishi wa habari na kazi yake hiyo ndiyo iliyomkosasanisha na Jiwe.

Lakini pia Kabendera mwenyewe alikiri kosa, HAKUHUKUMIWA !!
 
CHADEMA leo imeweza kuchanga zaidi ya milioni 300 lakini ilishindwa kumchangia Kabendera millioni 100. Pia, CHADEMA hao hao wakashindwa kumchangia mama mzazi wa Kabendera hata hela za matibabu na kumuacha mama akitaman mwanae atoke jela ili aje amhudumie ilihali kuna watu walikua wanamtumia katika mambo ya siasa kwa kumfanya kama mtu aliyedhulumiwa haki yake, pia kutembea na picha yake.

Cha ajabu zaidi ni pale mama alipotutoka, kuna watu walienda msibani wakiwa wamebeba picha ya Kabendera kisha kutoa hotuba ya kinafki na kusema Kabendera yuko ndani anasubiriwa kumzika mama yake kwa sababu yao.

Mama yake amekufa kwa kukosa kuangaliwa, yaani point hapo ilikuwa matibabu. Okay, let's say hivi: Kabendera angekua muhimu kwao wasinge muhangaikia leo kama wanavyo jiangaikia wenyewe?

This is shame

Sent using Jamii Forums mobile app
Nia yako ya kuichafua Chadema haikufanikiwa
 
Hivi mkuu na wewe ni great thinker? Naona hata haukai ukafikiria na kuwaza unachotaka kuandika? Sasa Kabendera na Chadema wap na wap?,Yeye mwandishi wa habari na mahakama ikaamua kumuadhibu kutokana kazi yake anayoifanya.Jamani mm ningeomba kama mtu hauna cha kuandika si unakaa kimya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHADEMA leo imeweza kuchanga zaidi ya milioni 300 lakini ilishindwa kumchangia Kabendera millioni 100. Pia, CHADEMA hao hao wakashindwa kumchangia mama mzazi wa Kabendera hata hela za matibabu na kumuacha mama akitaman mwanae atoke jela ili aje amhudumie ilihali kuna watu walikua wanamtumia katika mambo ya siasa kwa kumfanya kama mtu aliyedhulumiwa haki yake, pia kutembea na picha yake.

Cha ajabu zaidi ni pale mama alipotutoka, kuna watu walienda msibani wakiwa wamebeba picha ya Kabendera kisha kutoa hotuba ya kinafki na kusema Kabendera yuko ndani anasubiriwa kumzika mama yake kwa sababu yao.

Mama yake amekufa kwa kukosa kuangaliwa, yaani point hapo ilikuwa matibabu. Okay, let's say hivi: Kabendera angekua muhimu kwao wasinge muhangaikia leo kama wanavyo jiangaikia wenyewe?

This is shame

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mnachanganyikiwa mpaka mnashindwa kutofautisha mambo na kukosa tafakuri?

Jr[emoji769]
 
Siamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu.

Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma.

Shangingi mbili zinatosha kutoa hiyo pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango kuongopea watu nyie ni maskini.

Mimi sio na sitaki kumsemea hakimu ila ninachojaribu kusema wabunge zaidi ya 8 (wanaopokea 7M per month) kutoka chama kinachopokea ruzuku na misaada ya nje kuchangisha M350 ili kuwin the public ni fedheha kubwa.

Hio nguvu ya kuchangisha tunaomba waianze kwenye shughuli za maendeleo kwenye majimbo yao yaliyotelekezwa.

Usijibu kwa hisia nchi yetu sote,pande zote zinaweza kukosea.

Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama uamini endelea kutokuamini sisi tumeisha changa CCM oyeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wananchi wamechanga kufikisha ujumbe kuwa wamechoka siasa za kinafiki, siasa za uonevu, siasa za kizindaki, siasa za uongo, siasa za kitoto, siasa za kijinga kabisa, siasa za...

Wananchi wanajua sana kuwa Chadema inapata ruzuku kubwa baada ya ccm, lakini wameamua kuchanga. Na wapo wanachama wengi tu wa ccm na wa kawaida kabisa na wengine "wazito/vigogo" wamechangia pia.

Hii ni zaidi ya maandamano, ni zaidi ya mikutano ya hadhara, ni zaidi ya hadi mikutano ya ndani ambayo siku hizi nayo inapigwa marufuku kila kukicha na ni zaidi ya kulazimisha matokeo kama yale ya uchaguzi wa serikali za mitaa.

Mwenye macho haambiwa tazama!
Jibu ni kwamba account zao zilifungwa ili wakae jela pia huwezi toa pesa ukiwa jela.Nguvu ya umma imewaaibisha hadi kuleta ya undugu kujuana
 
Muhimu cdm waanzishe bank zao mtaji wanao wanachama ndio wateja pia hii itaepusha kadhia kama hizi maana yule mpenda ligi kaaibika sana atowaacha Hivi Hivi ni lzm awatafutie angle nyingine
 
J
CHADEMA leo imeweza kuchanga zaidi ya milioni 300 lakini ilishindwa kumchangia Kabendera millioni 100. Pia, CHADEMA hao hao wakashindwa kumchangia mama mzazi wa Kabendera hata hela za matibabu na kumuacha mama akitaman mwanae atoke jela ili aje amhudumie ilihali kuna watu walikua wanamtumia katika mambo ya siasa kwa kumfanya kama mtu aliyedhulumiwa haki yake, pia kutembea na picha yake.

Cha ajabu zaidi ni pale mama alipotutoka, kuna watu walienda msibani wakiwa wamebeba picha ya Kabendera kisha kutoa hotuba ya kinafki na kusema Kabendera yuko ndani anasubiriwa kumzika mama yake kwa sababu yao.

Mama yake amekufa kwa kukosa kuangaliwa, yaani point hapo ilikuwa matibabu. Okay, let's say hivi: Kabendera angekua muhimu kwao wasinge muhangaikia leo kama wanavyo jiangaikia wenyewe?

This is shame

Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe alitoa kiasi gani kama kweli ni mwenye huruma kama alivyojifanya kwa Msigwa? Acha upimbi!
UNAPOMNYOOSHEA MWINGINE KIDOLE ELEWA VIDOLE VINNE VYAELEKEA KWAKO NA USIANZISHE VITA VYA MAWE KAMA UNAISHI NYUMBA YA VIOO.
 
Siamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu.

Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma.

Shangingi mbili zinatosha kutoa hiyo pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango kuongopea watu nyie ni maskini.

Mimi sio na sitaki kumsemea hakimu ila ninachojaribu kusema wabunge zaidi ya 8 (wanaopokea 7M per month) kutoka chama kinachopokea ruzuku na misaada ya nje kuchangisha M350 ili kuwin the public ni fedheha kubwa.

Hio nguvu ya kuchangisha tunaomba waianze kwenye shughuli za maendeleo kwenye majimbo yao yaliyotelekezwa.

Usijibu kwa hisia nchi yetu sote,pande zote zinaweza kukosea.

Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nasikitika kusema wewe ni mpumbavu kama wanaccm wengi walivyo.yaani ukamatwe ukiwa unafanya kazi ya chama au ya mwajiri wako then tutumie pesa yako ya mfukoni kulipa faini au kuweka wakili? Ndo maana kule SA mnapigwa sana maana hamjitambui na akili hamna
 
Siamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu.

Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma.

Shangingi mbili zinatosha kutoa hiyo pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango kuongopea watu nyie ni maskini.

Mimi sio na sitaki kumsemea hakimu ila ninachojaribu kusema wabunge zaidi ya 8 (wanaopokea 7M per month) kutoka chama kinachopokea ruzuku na misaada ya nje kuchangisha M350 ili kuwin the public ni fedheha kubwa.

Hio nguvu ya kuchangisha tunaomba waianze kwenye shughuli za maendeleo kwenye majimbo yao yaliyotelekezwa.

Usijibu kwa hisia nchi yetu sote,pande zote zinaweza kukosea.

Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
Rais Magufuli amlipia Peter Msigwa Tsh. Milioni 38 ili atoke gerezani, CHADEMA wadai wameshamlipia Mil 40
Na hiki alichofanya huyu ni nini
 
Back
Top Bottom