Kabendera hakuomba msaada na pia Kabendera sidhani kama ni mwanachama wa chama cha siasa.CHADEMA leo imeweza kuchanga zaidi ya milioni 300 lakini ilishindwa kumchangia Kabendera millioni 100. Pia, CHADEMA hao hao wakashindwa kumchangia mama mzazi wa Kabendera hata hela za matibabu na kumuacha mama akitaman mwanae atoke jela ili aje amhudumie ilihali kuna watu walikua wanamtumia katika mambo ya siasa kwa kumfanya kama mtu aliyedhulumiwa haki yake, pia kutembea na picha yake.
Cha ajabu zaidi ni pale mama alipotutoka, kuna watu walienda msibani wakiwa wamebeba picha ya Kabendera kisha kutoa hotuba ya kinafki na kusema Kabendera yuko ndani anasubiriwa kumzika mama yake kwa sababu yao.
Mama yake amekufa kwa kukosa kuangaliwa, yaani point hapo ilikuwa matibabu. Okay, let's say hivi: Kabendera angekua muhimu kwao wasinge muhangaikia leo kama wanavyo jiangaikia wenyewe?
This is shame
Sent using Jamii Forums mobile app
Nia yako ya kuichafua Chadema haikufanikiwaCHADEMA leo imeweza kuchanga zaidi ya milioni 300 lakini ilishindwa kumchangia Kabendera millioni 100. Pia, CHADEMA hao hao wakashindwa kumchangia mama mzazi wa Kabendera hata hela za matibabu na kumuacha mama akitaman mwanae atoke jela ili aje amhudumie ilihali kuna watu walikua wanamtumia katika mambo ya siasa kwa kumfanya kama mtu aliyedhulumiwa haki yake, pia kutembea na picha yake.
Cha ajabu zaidi ni pale mama alipotutoka, kuna watu walienda msibani wakiwa wamebeba picha ya Kabendera kisha kutoa hotuba ya kinafki na kusema Kabendera yuko ndani anasubiriwa kumzika mama yake kwa sababu yao.
Mama yake amekufa kwa kukosa kuangaliwa, yaani point hapo ilikuwa matibabu. Okay, let's say hivi: Kabendera angekua muhimu kwao wasinge muhangaikia leo kama wanavyo jiangaikia wenyewe?
This is shame
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mkuu na wewe ni great thinker? Naona hata haukai ukafikiria na kuwaza unachotaka kuandika? Sasa Kabendera na Chadema wap na wap?,Yeye mwandishi wa habari na mahakama ikaamua kumuadhibu kutokana kazi yake anayoifanya.Jamani mm ningeomba kama mtu hauna cha kuandika si unakaa kimya?CHADEMA leo imeweza kuchanga zaidi ya milioni 300 lakini ilishindwa kumchangia Kabendera millioni 100. Pia, CHADEMA hao hao wakashindwa kumchangia mama mzazi wa Kabendera hata hela za matibabu na kumuacha mama akitaman mwanae atoke jela ili aje amhudumie ilihali kuna watu walikua wanamtumia katika mambo ya siasa kwa kumfanya kama mtu aliyedhulumiwa haki yake, pia kutembea na picha yake.
Cha ajabu zaidi ni pale mama alipotutoka, kuna watu walienda msibani wakiwa wamebeba picha ya Kabendera kisha kutoa hotuba ya kinafki na kusema Kabendera yuko ndani anasubiriwa kumzika mama yake kwa sababu yao.
Mama yake amekufa kwa kukosa kuangaliwa, yaani point hapo ilikuwa matibabu. Okay, let's say hivi: Kabendera angekua muhimu kwao wasinge muhangaikia leo kama wanavyo jiangaikia wenyewe?
This is shame
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mnachanganyikiwa mpaka mnashindwa kutofautisha mambo na kukosa tafakuri?CHADEMA leo imeweza kuchanga zaidi ya milioni 300 lakini ilishindwa kumchangia Kabendera millioni 100. Pia, CHADEMA hao hao wakashindwa kumchangia mama mzazi wa Kabendera hata hela za matibabu na kumuacha mama akitaman mwanae atoke jela ili aje amhudumie ilihali kuna watu walikua wanamtumia katika mambo ya siasa kwa kumfanya kama mtu aliyedhulumiwa haki yake, pia kutembea na picha yake.
Cha ajabu zaidi ni pale mama alipotutoka, kuna watu walienda msibani wakiwa wamebeba picha ya Kabendera kisha kutoa hotuba ya kinafki na kusema Kabendera yuko ndani anasubiriwa kumzika mama yake kwa sababu yao.
Mama yake amekufa kwa kukosa kuangaliwa, yaani point hapo ilikuwa matibabu. Okay, let's say hivi: Kabendera angekua muhimu kwao wasinge muhangaikia leo kama wanavyo jiangaikia wenyewe?
This is shame
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama uamini endelea kutokuamini sisi tumeisha changa CCM oyeeeSiamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu.
Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma.
Shangingi mbili zinatosha kutoa hiyo pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango kuongopea watu nyie ni maskini.
Mimi sio na sitaki kumsemea hakimu ila ninachojaribu kusema wabunge zaidi ya 8 (wanaopokea 7M per month) kutoka chama kinachopokea ruzuku na misaada ya nje kuchangisha M350 ili kuwin the public ni fedheha kubwa.
Hio nguvu ya kuchangisha tunaomba waianze kwenye shughuli za maendeleo kwenye majimbo yao yaliyotelekezwa.
Usijibu kwa hisia nchi yetu sote,pande zote zinaweza kukosea.
Ahsante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu ni kwamba account zao zilifungwa ili wakae jela pia huwezi toa pesa ukiwa jela.Nguvu ya umma imewaaibisha hadi kuleta ya undugu kujuanaWananchi wamechanga kufikisha ujumbe kuwa wamechoka siasa za kinafiki, siasa za uonevu, siasa za kizindaki, siasa za uongo, siasa za kitoto, siasa za kijinga kabisa, siasa za...
Wananchi wanajua sana kuwa Chadema inapata ruzuku kubwa baada ya ccm, lakini wameamua kuchanga. Na wapo wanachama wengi tu wa ccm na wa kawaida kabisa na wengine "wazito/vigogo" wamechangia pia.
Hii ni zaidi ya maandamano, ni zaidi ya mikutano ya hadhara, ni zaidi ya hadi mikutano ya ndani ambayo siku hizi nayo inapigwa marufuku kila kukicha na ni zaidi ya kulazimisha matokeo kama yale ya uchaguzi wa serikali za mitaa.
Mwenye macho haambiwa tazama!
Jiwe alitoa kiasi gani kama kweli ni mwenye huruma kama alivyojifanya kwa Msigwa? Acha upimbi!CHADEMA leo imeweza kuchanga zaidi ya milioni 300 lakini ilishindwa kumchangia Kabendera millioni 100. Pia, CHADEMA hao hao wakashindwa kumchangia mama mzazi wa Kabendera hata hela za matibabu na kumuacha mama akitaman mwanae atoke jela ili aje amhudumie ilihali kuna watu walikua wanamtumia katika mambo ya siasa kwa kumfanya kama mtu aliyedhulumiwa haki yake, pia kutembea na picha yake.
Cha ajabu zaidi ni pale mama alipotutoka, kuna watu walienda msibani wakiwa wamebeba picha ya Kabendera kisha kutoa hotuba ya kinafki na kusema Kabendera yuko ndani anasubiriwa kumzika mama yake kwa sababu yao.
Mama yake amekufa kwa kukosa kuangaliwa, yaani point hapo ilikuwa matibabu. Okay, let's say hivi: Kabendera angekua muhimu kwao wasinge muhangaikia leo kama wanavyo jiangaikia wenyewe?
This is shame
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nasikitika kusema wewe ni mpumbavu kama wanaccm wengi walivyo.yaani ukamatwe ukiwa unafanya kazi ya chama au ya mwajiri wako then tutumie pesa yako ya mfukoni kulipa faini au kuweka wakili? Ndo maana kule SA mnapigwa sana maana hamjitambui na akili hamnaSiamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu.
Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma.
Shangingi mbili zinatosha kutoa hiyo pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango kuongopea watu nyie ni maskini.
Mimi sio na sitaki kumsemea hakimu ila ninachojaribu kusema wabunge zaidi ya 8 (wanaopokea 7M per month) kutoka chama kinachopokea ruzuku na misaada ya nje kuchangisha M350 ili kuwin the public ni fedheha kubwa.
Hio nguvu ya kuchangisha tunaomba waianze kwenye shughuli za maendeleo kwenye majimbo yao yaliyotelekezwa.
Usijibu kwa hisia nchi yetu sote,pande zote zinaweza kukosea.
Ahsante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais Magufuli amlipia Peter Msigwa Tsh. Milioni 38 ili atoke gerezani, CHADEMA wadai wameshamlipia Mil 40Siamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu.