CHADEMA kuchangisha Milioni 350 ni maigizo na fedheha

Mimi nimechangia binafsi, vp una jingine labda nikusaidie??
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli Umefikiria na wewe.Tamu zaidi unaamini Umetoa madini,Wakati vijana wa Mjini wanasema "Kungwi katoa Boko"
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli mtupu! Hawa wako kwenye siasa za kibiashara. Ndo maana ruzuku haijawahi fanya lolote la kuonekana. Vyama hivi vya upinzani ni shimo la pesa miaka yote na siku chama kinakufa kama ilivyo TLP, UDP, nk hakuna faida inayoooneoana.

masikitiko ni kila janga ndani ya chama linageuzwa kuwa biashara. Lissu aligeuzwa kuwa mtaji, tukaambiwa kila siku anahitaji milioni 10. Upuuzi!
 
dhamira huwa inaongoza watu wenye busara, ikishupaza shingo inakuacha unawaza upumbuvu, binafsi ni CCM but I'm against any irrational judgement.


Sent using Jamii Forums mobile app
Don’t worry, don’t panic! Hapa tunajibizana na CHADEMA. Ukisema ukweli ni kama unawazibia. Wengine wako kwenye mkumbo tu! Wanakumbwa na kuaminishwa eti wako kwenye ukombozi. Ushenzi tu wakati wenzao wako kibiashara na wao ni wateja wao.
 
Lol man you sound sad. Lakin hata hivyo wether walikuwa na uwezo huo or not it is too late , watu wameshachanga. Wahusika wametoka
And no body knows coz hata ww mwenyewe ume judge tu bila evidence.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawajalazimishwa wala kushurutishwa kuchanga. Ilikuwa ni ombi.. na wametoa wenyewe kwa moyo mweupe.. shida iko wapi?
You may have a point.

Ile dhana ya mtu kuwajibika kwa matendo yake inakuwa haipo tena.

Sasa wale wanyonge wanazidi kunyongwa tu, hata kile kidogo wananyang'anywa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sometimes ufikirie kabla ya kuandika. Kabendera alishtakiwa kwa makosa yake mwenyewe kama mwandishi. Na pia kabendera si mwanachama wa chadema.. means chadema hawako responsible na shida zake. Unless labda angeomba msaada yeye kama yeye maybe watu wangejitolea.
Kajipange upya bro... si kila mpinzan wa serikal ni chadema au anahusika na chadema
Sent using Jamii Forums mobile app
 
inasadikiwa ndg nyaraandu na wenje wametofautiana na katibu mkuu wa chama baada ya hesabu za michango kutofautiana zile za kwenye mitandao ya simu na zilizoorozeshwa kwa kiasi kikubwa.
inasadikiwa zilizochangwa ni nyingi lakini zilizorekodiwa kwenye daftari la michango ni chache.
very soon mtasikia watu wanaachia madaraka km juhudi za mkt wa chama atashindwa kusuruhisha.
 
Acha kuweweseka na ndoto usiku huu, lala amka buku7 yako chakubanga hawezi kukidhulumu.
 
Wewe ndiye msemaji wa chama? Source ya habari yako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…