CHADEMA kuchangisha Milioni 350 ni maigizo na fedheha

Nilijua tu? Tena niliandika Uzi kuwa hii michango ni deals ni SACCOS za wajanja!
 
Mitandao ya sim inaonyesha jumla ya fedha zilizochangwa ni tsh.497.9ml. Lakini daftari linaonyesha 312ml. Ndo zimepokelewa! Kikao cha kupitia hesabu hapo sicreef hoteli kimeisha bila suruhu ili kumpa nafasi mwkt wa chama apumzike kwa ajiri yakujiandaa kuongea na waandishi wa habari.
 
Acha kuweweseka na ndoto usiku huu, lala amka buku7 yako chakubanga hawezi kukidhulumu.
Niambie ugomvi wa myikaa na hao wawili ulisababishwa na nini! Na hii nibaada ya myiika kutamka bado kuna vichomi ndani ya chama.
 
Mbuge wa mikumi ahamia ccm
 

Attachments

  • VID-20191223-WA0000.mp4
    2.5 MB
Aisee.... haikuwa lazima, bali hiari...
1. Usisahau, shangingi mbili zinajenga madarasa na kununua madawati. Lakini kuna shule hadi leo wanasomea chini ya miti na kukaa chini
2. Usisahau shangingi mbili zinaweza kununua madawati mengi lakini wapo wanafunzi wengi tu wanakaa chini
3. Usisahau shangingi mbili zinaweza jenga zahanati, lakini kuna watu wanasafiri umbali mrefu kufuata huduma za zahanati
4. Shangingi mbili zanaweza kuchimba visima kadhaa vya maji. Lakini kuna watu wanakwenda umbsli mrefu kufuata maji...

YAPO MENGI YSHUSUYO HIZO SHANGINGI MBILI... TENA YA MAANA KULIKO HIKI ULICHOKIANDIKA HAPA
 
You may have a point.

Ile dhana ya mtu kuwajibika kwa matendo yake inakuwa haipo tena.

Sasa wale wanyonge wanazidi kunyongwa tu, hata kile kidogo wananyang'anywa.
Usisahau, viongozi wa CDM walishitakiwa na Jamhuri ya Tz, na Rais ndo kiongozi wa Jamhuri. Na Rais huyu anatoka CCM... sasa kwa namna point yako ulivyoiweka..
1. Rais aliyewashitaki, kuchangia 38M kumlipia mmoja wa wahukumiwa, unaiwekaje..? Yaani unamshitaki mtu, anahukumiwa kifungo au faini, halafu unarudi kumlipia faini ili asifungwe...!!! Unaelewa nini hapo.?? HAPO NIA HASA NI NINI? YAANI UNATENGENEZA TATIZO, HALAFU UNARUDI NA SOLUTION KWA TATIZO ULILOLITENGENEZA..!!! Hapo mchawi na mganga ni mtu mmoja
2. CCM nao kwenda kumlipia mtu, nayo unaiwekaje?

TATIZO MNAPENDA SANA KUISEMA CDM... Kwenye hili mnasahau kuwa kila mkisemacho mnaisema CDM, CCM na RAIS WETU....
 
Nyinyi kina Etwege mnawashwa nini, watu wameamua kuchanga wenyewe bila lazima, wameonyesha upendo kwa chama chao cha ukombozi!!
Kama huamini chukua data Bank na taasisi za fedha.
Tutaendea kuchanga maana viogozi na wanachama wanazidi kunyanyaswa na kuwekwa ndani bila sababu.
 
Nadhani hoja yako ni kuwa ulitaka Rais aingilie utaratibu uliotumika kushughulika na hao jamaa. Katiba hairuhusu kuingiliana kwa mihimili ya dola.
 
Mbona wamewajibika? Wamepelekwa mahakamani wameshtakiwa.. fine wamelipa.
Kama ni suala la mchango wananchi wenyewe ndio wangeamua kuchanga au lah maana mchanho haulazimishwi. Na hawakutupiwa zigo.. waliomba na watu wameitika.. kuna shida yotote hapo
Shida ni kwa wahusika kukwepa kuwajibika kwa matendo yao. Huwezi fanya jambo halafu mzigo ukawatupia wengine wahangaike nao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani hoja yako ni kuwa ulitaka Rais aingilie utaratibu uliotumika kushughulika na hao jamaa. Katiba hairuhusu kuingiliana kwa mihimili ya dola.
Hapana, hoja yangu haipo hivyo...
Hakuna anayetaka mhimili mmoja wa dola uingilie mwingine... lakini alishajisema mkuu wetu kwamba mhimili wake ndo umeenda chini zaidi.. SIJUI ULIELEWA NINI ALIPOSEMA HAYA....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…