Uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho na kipimo cha ubwege mbumbumbu ufala ujuha hapa jf huwa ni kuisengenya ID ya JF ambayo haitokani na ubatizo msikitini wala kanisani, wewe Mbona ID yako ni ya kishamba sana lakini watu hawahangaiki nayo wapo busy na mada, acha kuvuta Bangi kuja kusumbua watu mitandaoni kama huna hoja kojoa ulale gheto uendelee kuvuta BangiAkili zako zimejaa minyoo. Yaani bil 12 zitumike kwa matibabu?
Sema Chadema ndiyo inakufa!! Vitatokea vyama vingine kuchukua nafasi hata Chadema ilichukua nafasi ya CUF sasa na Chadema imefika muda wake wa kufa kifo cha mende.Inajulikana lengo kuu la kuuwa upinzani ili Kodi zetu ziliwe bila kelele so chochote cha shetani akiwezifaulu
Waliitwa kupewa maagizo ya kusimamia utendaji kazi wa Ccm. Ili ilani ya Ccm itekelezwe vizuri.Kwani ukusikia waliitwa kupewa maagizo
Kuna taarifa zinasambaa kwenye magroup ya whatApp ya kuwepo mkakati wa kuifuta chadema kabla ya uchaguzi mkuu mwaka huu. je hizi taarifa ni kweli? Kama ni kweli nini malengo ya watu waliopanga ili jambo? hawaoni wanaiweka amani yetu mashakani?
Chadema ilishajifuta tayari kwani hata huoni mwelekeo wa chama chenyewe?
Upinzani unaanzia moyoni na sio Kwenye chama hata kama watafanikiwa wakaifuta haitasadia kituuu...
Imani yetu inatuambia kuwa kuishabikia CCM ni haramu
Tatizo lenu watetezi wa CCM mitandaoni hamna kumbukumbu mmesahau kuwa watanzania wanajua jinsi CCM ilivyoifirisi TanzaniaKwa hiyo unadhani wananchi wanapenda Chadema ilipe madeni hewa kwa mmiliki wa Chadema?Ambae alikikooesha chama bil 2
Kama unadhani anachosema ni uongo ifuteni basi ili muamini kwamba chadema ni watu ni miyoyo ni dhamira ni itikadi.ifuteni hata leo muone.Kawadanganye wanachadema wenzako wasiojitambua
Ungekuwa na akili ungeandika uongo kama huo? Bil 12 zitumike matibabu yapi? Spika alifafanua ukweli juu ya hili suala lakini unalazimisha uongo. Spika alitibiwa 2015-2016. Nyie Chadema mkaleta kashfa za uongo 2017-2018.Uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho na kipimo cha ubwege mbumbumbu ufala ujuha hapa jf huwa ni kuisengenya ID ya JF ambayo haitokani na ubatizo msikitini wala kanisani, wewe Mbona ID yako ni ya kishamba sana lakini watu hawahangaiki nayo wapo busy na mada, acha kuvuta Bangi kuja kusumbua watu mitandaoni kama huna hoja kojoa ulale gheto uendelee kuvuta Bangi
Kuna mwana Ccm mzalendo aliefurahia wizi kama wa Escrow? Suala la msingi leta mada yenye ukweli.Tatizo lenu watetezi wa CCM mitandaoni hamna kumbukumbu mmesahau kuwa watanzania wanajua jinsi CCM ilivyoifirisi Tanzania
Miaka 50 Nchi haina maendeleo wakati ina rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani kama siyo CCM leo Tanzania ingekuwa ni Nchi tajiri kuliko South Africa na hata OmanMambo ya siasa [emoji1908][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089] kimia kimia.
Apa kila mtu atatetea penye maslahi kwake, ata kama ndo mm, iwe CDM, CCM,
Mbona kimeshafutika mkuu angalia hapa chini.Kama unadhani anachosema ni uongo ifuteni basi ili muamini kwamba chadema ni watu ni miyoyo ni dhamira ni itikadi.ifuteni hata leo muone.
Bunge la Tanzania kwa sasa linaendeshwa kwa mujibu wa Sheria binafsi za Ndungai siyo kwa mujibu wa Sheria za jamhuri ya muungano wa TanzaniaActually mfumo wa vyama vingi Africa upo kwa nguvu ya wahisani/mabeberu tu.
Hata mchakato halali ukifuatwa wa kufuta upinzani kwa maana ya bill bungeni hamuwezi hata kuzuia chochote.
Kumbe unatambua kuna wana Chadema kama walivyo wana Ccm? Kwa hiyo vyama vyote vipo na havitakufa kama ilivyo Simba na Yanga. Uzushi wa kufuta Chadema ni propoganda za upande wa pili.Kawadanganye wanachadema wenzako wasiojitambua
Kuna taarifa zinasambaa kwenye magroup ya whatApp ya kuwepo mkakati wa kuifuta chadema kabla ya uchaguzi mkuu mwaka huu. je hizi taarifa ni kweli? Kama ni kweli nini malengo ya watu waliopanga ili jambo? hawaoni wanaiweka amani yetu mashakani?