Chadema kuhamasisha watu kwenda mahakamani ni kutumia watu kama ngao, wataumizwa.

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Nimewasikia viongozi wa cdm wakihamasisha wafuasi nchi nzima waende kwa wingi Kisutu kusikiliza kesi ya Lissu, lengo hasa ni nini kuita watu wengi wakusanyike kwenye eneo dogo sana la mahakama ambalo liko kwenye maeneo yenye pilikapilika nyingi za watu? Tunafahamu kuwa chadema ina wafuasi wengi nchi nzima, vipi kama wote wataitikia wito wenu wa kwenda kusikiliza kesi Kisutu? Je, Kisutu ina eneo kubwa kiasi gani kutosha wafuasi wote wa chadema kukusanyika?

Ni serikali gani duniani itaruhusu jambo kama hilo litokee? Bila shaka mnajua kuwa watu wengi wataumizwa mbele ya camera za vyombo vya habari vya ndani na nje, je, lengo ni hilo? Hamuoni kama watu wakifa na kuuawa kwenye msongamano huo mtakuwa mmehusika moja kwa moja na kadhia hiyo?

Binafsi nimeamini ule msemo wa Rais Ali Hassani Mwinyi (RIP) kuwa "kunguru hana kibyongo, ukiona kibyongo kainama anaokota kitu, muwahi mapema kunguru kabla hajaruka nacho". Ukichelewachelewa huenda akaruka na kifaranga, kijiko na hata nguo yako ya ndani.

Lengo kuu nadhani ni kuichafua nchi mbele ya camera za wafadhili, maana walijua polisi itawatawanya kwa nguvu. Tusipoziba ufa tutapata M23 Tanzania..
 
Upuuzi mtupu ulioandika hapa
 
Vyema jeshi imara la polisi Tanzania limewadhibiti na kwenda kutengeneza drama zao huko ununio na misitu ya bagamoyo...
 
Nimewasikia viongozi wa cdm wakihamasisha wafuasi nchi nzima waende kwa wingi Kisutu kusikiliza kesi ya Lissu, lengo hasa ni nini kuita watu wengi wakusanyike kwenye eneo dogo sana la mahakama ambalo liko kwenye maeneo yenye pilikapilika nyingi za watu? Tunafahamu kuwa chadema ina wafuasi wengi nchi nzima, vipi kama wote wataitikia wito wenu wa kwenda kusikiliza kesi Kisutu? Je, Kisutu ina eneo kubwa kiasi gani kutosha wafuasi wote wa chadema kukusanyika?

Ni serikali gani duniani itaruhusu jambo kama hilo litokee? Bila shaka mnajua kuwa watu wengi wataumizwa mbele ya camera za vyombo vya habari vya ndani na nje, je, lengo ni hilo? Hamuoni kama watu wakifa na kuuawa kwenye msongamano huo mtakuwa mmehusika moja kwa moja na kadhia hiyo?

Binafsi nimeamini ule msemo wa Rais Ali Hassani Mwinyi (RIP) kuwa "kunguru hana kibyongo, ukiona kibyongo kainama anaokota kitu, muwahi mapema kunguru kabla hajaruka nacho". Ukichelewachelewa huenda akaruka na kifaranga, kijiko na hata nguo yako ya ndani.

Lengo kuu nadhani ni kuichafua nchi mbele ya camera za wafadhili, maana walijua polisi itawatawanya kwa nguvu. Tusipoziba ufa tutapata M23 Tanzania..
Ukitaka kupigwa utapigwa
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Mbona mnakataa mabadiliko takataka kabisaa ccm.
KAMA mabadiliko yangekuwa ni hoja ya watanzania wenyewe hasa hata polisi/ccm wansingeweza kuyazuia kirahisi namna hii. Lakini inaonekana kuwa ni kikundi kidogo tu cha watu kinachotaka mabadiliko haya leoleo ambacho ni rahisi tu kuthibitiwa na polisi. Polisi hawana ubavu wa kuzuia nguvu ya umma, hii tunayoiona sio nguvu ya umma, ni watu tu wanaotafuna fedha za wazungu mahali.
 
Hii ndiyo faida ya nyumbu kushangilia kifo cha Magufuli
 
Upuuzi mtupu ulioandika hapa
Ni upuuzi kwakuwa ni ukweli, uliona wapi watu wakihamasishwa kwenda mahakamani kwa wingi? Watu wanafurahia umeme kufika vijijini kwao uwaambie waje Dar kuvunjwa viguu yao!!! kwa matibabu ya nani? wakifa je utawalipa wategemezi wao?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
KAMA mabadiliko yangekuwa ni hoja ya watanzania wenyewe hasa hata polisi/ccm wansingeweza kuyazuia kirahisi namna hii. Lakini inaonekana kuwa ni kikundi kidogo tu cha watu kinachotaka mabadiliko haya leoleo ambacho ni rahisi tu kuthibitiwa na polisi. Polisi hawana ubavu wa kuzuia nguvu ya umma, hii tunayoiona sio nguvu ya umma, ni watu tu wanaotafuna fedha za wazungu mahali.
Wewe acha kelele bana
Kwan hao chadema sio watanzania?

Kwamba watanzania wamekubali ushenzi wenu mnaofanya kwenye chaguzi?
 
Hii ndiyo faida ya nyumbu kushangilia kifo cha Magufuli
Kaka lazima ufanye utafiti na kutumia akili kujua kama watanzania wako tayari kwa mabadiliko na kufa kwaajili ya mabadiliko au la. Watanzania hawajafika huko bado, bado oxygen inafika kwao, hawana hali ngumu sana kiasi hicho. Muda utafiki lakini sio leo; bado majimbi na mhogo inapatikana kwao.

Wakenya wana hali mbaya sana kuliko watanzania, ni rahisi kuwakusanya na kuwaambia jambo. Hali ya Kenya huwezi kuipata Tanzania leo wala kesho. Watanzania wana ardhi tele ya kufugia nguruwe, sungura, kuku, kufyatulia matofali, kukata mkaa, kutengeneza magari (garages), kuuzia chimpumu, kujenga vijumba vyao, nk. hawana hali ngumu sana ya maisha kiasi cha kukubali kupambana na polisi wenye silaha.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Wewe acha kelele bana
Kwan hao chadema sio watanzania?

Kwamba watanzania wamekubali ushenzi wenu mnaofanya kwenye chaguzi?
Kama watanzania wangekuwa wanakerwa na chaguzi leo pangechimbika pale Kisutu, hakuna polisi inayoweza kuwazuia wananchi wake waliokerwa na jambo. Ungeona mashule, maduka, madaladala, malori, ndege, mabaa yote yangefungwa nchi nzima au Dar es Salaam katika kupinga "rais wao" Lissu kuwekwa korokoroni. Soma alama za nyakati weweee!!
 
Nimewasikia viongozi wa cdm wakihamasisha wafuasi nchi nzima waende kwa wingi Kisutu kusikiliza kesi ya Lissu, lengo hasa ni nini kuita watu wengi wakusanyike kwenye eneo dogo sana la mahakama ambalo liko kwenye maeneo yenye pilikapilika nyingi za watu? Tunafahamu kuwa chadema ina wafuasi wengi nchi nzima, vipi kama wote wataitikia wito wenu wa kwenda kusikiliza kesi Kisutu? Je, Kisutu ina eneo kubwa kiasi gani kutosha wafuasi wote wa chadema kukusanyika?

Ni serikali gani duniani itaruhusu jambo kama hilo litokee? Bila shaka mnajua kuwa watu wengi wataumizwa mbele ya camera za vyombo vya habari vya ndani na nje, je, lengo ni hilo? Hamuoni kama watu wakifa na kuuawa kwenye msongamano huo mtakuwa mmehusika moja kwa moja na kadhia hiyo?

Binafsi nimeamini ule msemo wa Rais Ali Hassani Mwinyi (RIP) kuwa "kunguru hana kibyongo, ukiona kibyongo kainama anaokota kitu, muwahi mapema kunguru kabla hajaruka nacho". Ukichelewachelewa huenda akaruka na kifaranga, kijiko na hata nguo yako ya ndani.

Lengo kuu nadhani ni kuichafua nchi mbele ya camera za wafadhili, maana walijua polisi itawatawanya kwa nguvu. Tusipoziba ufa tutapata M23 Tanzania..
Wewe siasa sio sehemu yako kaa kimya kama mimi
 
Kama watanzania wangekuwa wanakerwa na chaguzi leo pangechimbika pale Kisutu, hakuna polisi inayoweza kuwazuia wananchi wake waliokerwa na jambo. Ungeona mashule, maduka, madaladala, malori, ndege, mabaa yote yangefungwa nchi nzima au Dar es Salaam katika kuunga mkono "rais wao" Lissu kuwekwa korokoroni. Soma alama za nyakati weweee!!
We bana wew ni waoga tu keyboard worriors wengi, kukaa kimya usifikiri wananch hawaumii ipo siku si mnataka aman itoweke?

CAG, hapo mabilion yapesa yameibiwa nyinyi mpo tu mbn hamchukui hatua au mnamuoga mzee wa msoga?

Mauaji.yaliyotokea mbna police hawajaleta feedback?.
Siku yenu yaja msipokuwa watu wa haki mtalia na kusaga meno mbele ya Mungu wenu.
 
Hiyo ni miaka 50 ijayo pale ambapo wakulima na wafugaji wakapokuwa hawana tena ardhi ya kulima na kufugia, machinga watakosa pa kutandika chini bidhaa na bodada watakapokosa maegesho.
 
Wewe siasa sio sehemu yako kaa kimya kama mimi
Ukikaa kimya unakosea, siasa ni kila kitu kwa kila mtu hata wanyama na mazao makondeni na machungani. Lissu na Lema na wengine wameshahamisha familia zao hapa nchini, kisha wanaita watoto wa maskini nchi nzima waende Kisutu Mahakamani kusikiliza kesi ya Lissu. Niambie kama una akili sawasawa ni nini maana ya kuwaita wafuasi wote waende Mahakamani kwenda kusikiliza kesi? Kwanini Lissu amekataa kesi kusikilizwa kwa njia ya mtandao? Je, Kisutu kuna eneo kubwa kiasi gani kuweza kutosha wafuasi wote wa chadema kusikiliza kesi?

Yaani wewe huoni kama hapo kuna agenda inayotakiwa ifanikishwe? Kifupi viongozi wanajua na wana uhakika wa 120% kuwa kuna watu hapo watakanyagana wenyewe kwa wenyewe, watakaokamatwa na polisi, watakaoumizwa na polisi na watakaouliwa. Ina maana cdm hawajui hilo? Kwanini wanataka litokee hilo? Kwanini wasifunguliwe mashitaka mengine ya kuhamasisha watu waende sehemu finyu na hatari kwao?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
We bana wew ni waoga tu keyboard worriors wengi, kukaa kimya usifikiri wananch hawaumii ipo siku si mnataka aman itoweke?

CAG, hapo mabilion yapesa yameibiwa nyinyi mpo tu mbn hamchukui hatua au mnamuoga mzee wa msoga?

Mauaji.yaliyotokea mbna police hawajaleta feedback?.
Siku yenu yaja msipokuwa watu wa haki mtalia na kusaga meno mbele ya Mungu wenu.
Kule Marekani Leone Musk amefichua upigaji mkubwa wa fedha kwenye sekta ya hifadhi ya jamii na kwenye mashirika ya misaada kama USAID wamarekani wamefanya nini?. Hizo ni hoja nyepesi sana ambazo hata awe nani Ikulu upigaji hautakoma to 0%
 
Nimewasikia viongozi wa cdm wakihamasisha wafuasi nchi nzima waende kwa wingi Kisutu kusikiliza kesi ya Lissu, lengo hasa ni nini kuita watu wengi wakusanyike kwenye eneo dogo sana la mahakama ambalo liko kwenye maeneo yenye pilikapilika nyingi za watu? Tunafahamu kuwa chadema ina wafuasi wengi nchi nzima, vipi kama wote wataitikia wito wenu wa kwenda kusikiliza kesi Kisutu? Je, Kisutu ina eneo kubwa kiasi gani kutosha wafuasi wote wa chadema kukusanyika?

Lengo kuu nadhani ni kuichafua nchi mbele ya camera za wafadhili, maana walijua polisi itawatawanya kwa nguvu. Tusipoziba ufa tutapata M23 Tanzania..
Duh...!
P
 
Back
Top Bottom