Nenda kata ya kisarawe II, nenda mtaa/kijiji cha madege, toka hapo nenda mbele kata ya kimbiji mtaa WA kijaka Umeme upo kasehem kadogo Sana, toka hapo shika njia kama unaenda Tundwi songani hapo katikati Umeme hakuna, sehm NI nyingi San Wilaya ya kigambon Umeme hakuna, na maendeleo hakuna kabisa Bora mikoani, barabara ndio Mbovu kuwahi kutokeaKijiji gani? Kuna umeme vijinini na umeme mijini. Mijini ni uzembe wa wenye nyumba tu kufanya wiring na kulipia nguzo
Basi huo ni umeme wa vijinini (REA), umeme huo umesambazwa hadi ngazi ya makao makuj ya vijiji tu, bado kwenye vitongojiNenda kata ya kisarawe II, nenda mtaa/kijiji cha madege, toka hapo nenda mbele kata ya kimbiji mtaa WA kijaka Umeme upo kasehem kadogo Sana, toka hapo shika njia kama unaenda Tundwi songani hapo katikati Umeme hakuna, sehm NI nyingi San Wilaya ya kigambon Umeme hakuna, na maendeleo hakuna kabisa Bora mikoani, barabara ndio Mbovu kuwahi kutokea
Rais Samia hayupo pale kwa hisani ya mtu bali Katiba ya Jamhuri ambayo imeandikwa na watanganyika weeenyeweee!!!! Angalieni tulipojikwaa!!! Huyu mama amechapa mzigo kushinda watanganyika wenzetu; ana hofu ya mungu. Kama Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli hawakuona umuhimu wa kuandika katiba mpya Samia atakuwa na kiherehere Gani cha kuandika katiba mpya? Mbona no reforms no election haikuwepo wakati wa Nyerere Mwinyi Mkapa Kikwete na Magufuli?Mwizi siku zote huwa hajiamini. Rais aliyeokolewa na mwanajeshi mzalendo aliyeapa kuilinda na kuiheshimu Katiba, alipogundua njama za kutaka kumpoka urais baada ya JPM kufariki, leo ajabu kasahau mazuri ya katiba. Hivi Gen. Mabeyo atakuwa anawaza nini akiamua kufikiri kama mzalendo anapomshuhudia Rais wake aliyempigania akisigina katiba iliyompa mdaraka aliyonayo leo!! Haki ya kwenda kusikiliza kesi mahakamani ni ya kikatiba bila kujali unakwendaje mahakamani.
Samia amuogope sana Mungu aliyempa neema ya kuwa Rais. Mungu huyo huyo anaweza kumshusha chini asiamini.
Asiwaige kina Museveni na Kagame,wale nchi zao zina historia tofauti kulinganisha na Tanzania. Na wao wanajichukua ndio wakombozi.
Mtu umepewa nchi kwenye sahani, umeitwa njoo uwe Rais katiba inadai ni wewe, nchi iliyotulia, isiyozoea kuona damu ya mtu ikimwagika leo umefanya ni kitu cha kawaida kisa mlinde madaraka mliyopewa kirahisi,hata hamjiulizi huyo aliyekuwa nayo kabla yako alijua angeyaachia kirahisi vile!! Pamoja na msafara wake kusindikizwa na helikopta za kijeshi, wanajeshi waliovalia na mitutu yao ya hatari wamewaelekezea wananchi kwenye mikutano
Kuua mtu siku hizi ni kama kuua mbu!!
Kwenye kundi hilo waondoe Magufuli na Samia, hawa hawakuwahi kuiheshimu Katiba hata kidogo zaidi ya kuapishwa basi. Rais angeigeshimu hii katiba asingejisifu kuwa wapinzani kufanya siasa ni yeye ajisikie.
Pamoja na mapungufu ya Nyerere haikuwa kutokea mtu akauawa kama mzee Kibao alivyochomolewa kwenye Gari mchana na kuuawa kinyama halafu mkuu wa nchi anaishia kusema kifo ni kifo tu na mambo yakaendelea kama vile mbwa kagongwa na gari.
Wakati wa Nyerere kesi za uhaini watu waliruhusiwa kwenda mahakamani tena kesi zenyewe zikiwa na watuhumiwa ambao ni wanajeshi.
Wizi wa kura haukuwa wa wazi na makusudi kama vipindi vya hawa wawili.
hizo ni industrial pack na zina wenyewe na wenyeji washalipwa wanamalizia makazi yao wahame, unampaje umeme mtu ana wikimbili ahamie kwake na hapo anapavunja, kuna eneo la lake cement, na watu washalipwaNenda kata ya kisarawe II, nenda mtaa/kijiji cha madege, toka hapo nenda mbele kata ya kimbiji mtaa WA kijaka Umeme upo kasehem kadogo Sana, toka hapo shika njia kama unaenda Tundwi songani hapo katikati Umeme hakuna, sehm NI nyingi San Wilaya ya kigambon Umeme hakuna, na maendeleo hakuna kabisa Bora mikoani, barabara ndio Mbovu kuwahi kutokea
ndugu yangu, katiba mpya ipo wao ndo wakawa wa kwanza kuipinga hata kabla ya kutumika, posho za bunge la katiba walikula wakasepa, lissu alikuwa mwenyekiti wa kamati ya kanuni akaweka kanuni za kipuuziRais Samia hayupo pale kwa hisani ya mtu bali Katiba ya Jamhuri ambayo imeandikwa na watanganyika weeenyeweee!!!! Angalieni tulipojikwaa!!! Huyu mama amechapa mzigo kushinda watanganyika wenzetu; ana hofu ya mungu. Kama Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli hawakuona umuhimu wa kuandika katiba mpya Samia atakuwa na kiherehere Gani cha kuandika katiba mpya? Mbona no reforms no election haikuwepo wakati wa Nyerere Mwinyi Mkapa Kikwete na Magufuli?
Tuimarishe vyama vyetu vikomae
we acha tu, kule majita wategaji wa dagaa hawatumii tena karabai wanatumia taa za sola walizogawiwa na muhongo, watoto wa sikuhizi koroboi hawazijui, nenda nchi jirani umeme ni anasa, ukiona nyumba haina umeme ujue ina mgogoro wakiwanja inasubiri kuvunjwa.Kijiji gani? Kuna umeme vijinini na umeme mijini. Mijini ni uzembe wa wenye nyumba tu kufanya wiring na kulipia nguzo
Haya ndiyo majibu mujaarabu ya kitaalam. Ahsantehizo ni industrial pack na zina wenyewe na wenyeji washalipwa wanamalizia makazi yao wahame, unampaje umeme mtu ana wikimbili ahamie kwake na hapo anapavunja, kuna eneo la lake cement, na watu washalipwa
kule kimbiji kuna viwanja vya wasanii walipewa na makonda wakachongewa na barabara naona uchumi wao hauko vizuri kama tunavyodhani lishaanza kuwa pori
Na mm nawaambia, kitakachowachelewesha wapinzani kwenda Ikulu ni muungano. Muungano utachelewesha hata uandishi wa katiba. Mpya.ndugu yangu, katiba mpya ipo wao ndo wakawa wa kwanza kuipinga hata kabla ya kutumika, posho za bunge la katiba walikula wakasepa, lissu alikuwa mwenyekiti wa kamati ya kanuni akaweka kanuni za kipuuzi
Akili za kuambiwa changanya na zako. Watz wanachanganya na zao. Watanzania wana raha sana kuliko Lissu anavyotaka wawe ili waasi. Watz hawa walishapitia shida nyingi lakini hawakuiasi serikali yao. Mfano, katika kile kipindi cha miezi 18 ya shida baada ya vita vya Uganda wapo watu walivaa magunia kwa kukosa ngua, walipanda usafiri wa chaimaharage, walifulia mapapai mabichi kwa kukosa sabuni, hali ilikuwa ngumu sana lakini hakukua na uasi, na kama ulikuwepo basi ulishindwa kurufukuta sembuse sasa ambapo kila kitu cha ulaya kinapatikana Tz ikiwemo shisha?we acha tu, kule majita wategaji wa dagaa hawatumii tena karabai wanatumia taa za sola walizogawiwa na muhongo, watoto wa sikuhizi koroboi hawazijui, nenda nchi jirani umeme ni anasa, ukiona nyumba haina umeme ujue ina mgogoro wakiwanja inasubiri kuvunjwa.
Kila mwenye maoni tofauti na yenu ni mjinga. Mimi sidhani kama kuna mtz anataka kuchagua viongozi wezi, wabadhilifu wa mali zetu, hivyo nitaunga mkono akitokea mtu atakaesema tuandike Katiba mpya ambayo inatoa adhabu kali kwa kila mtu anaekwiba mali ya umma bila kujali cheo wala nini yake, katiba itakayo chunguza kwa makini akili, afya na tabia za wagombea kabla ya kupitishwa. Huu ni muda wa kuwa katiba za aina hiyo kwa afrika badala ya kuumizana kudai demokrasia pana kama ya ulaya na marekani. Watu wajinga na maskini huwezi kuwapatia demokrasia pana sana. Ni sawa na mtoto wako umpe demokrasia ya kuamua aende shule au asiende, ameze dawa au la, alale nyumbani au alale popote atakapopenda yeye, achague chakula anachotaka kula.Kwasababu wewe ni mjinga