Chadema kuhamasisha watu kwenda mahakamani ni kutumia watu kama ngao, wataumizwa.

Inabidi waende wengi ikiwezekana nchi nzima kwa sababu wale wachache waliokwenda ambao ni viongozi wao tu wa Kanda na makao makuu .Walipoenda wao peke yao mkawapiga na wengine kuwaua na wengine mpaka sasa hawaonekani walipo.
Sasa mnataka nini kama sio kuua wengi na kuumiza wengi na kukamata wengi . Huenda umaarufu wa Polisi ili apate uteuzi ni kukamata Chandema wengi ,kuua Chandema wengi na kutesa na kujeruhi Chasema wengi na kuisababishia hasara serikali na jamii kwa kupoteza mabomu na risasi nyingi kwa manufaa ya yule MwanaCCM mmoja na familia yake kwa sababu tu katiba imempa Mamlaka ya kuua na kufanya anachotaka . Mamlaka aliyonayo anayatumia kuangamiza upinzani na wapinzani .

Sasa ili wamkamate na kuua wengi basi watakwenda wengi ili ama washinde au washindwe uhuru upatikane . Hakuna namna .
Huwezi kuwazuia viongozi wa Chadema kwenda kusikiliza Kesi ya mwenyekiti wao . Haijawahi kutokea Kokote hata kwa watu wabaya kama wakoloni labda wakoloni waarabu maana wao ndio hawana kumbukumbu popote ya waliyoyafanya mpaka wakafanikiwa kushika soko la kununua na kuuza binadamu . Yaani hatujui kabisa ilikuwaje mpaka Waafrika wakakubali kuwafanya ndugu zao kuwa bidhaa,Huku pembe za ndovu ,Madini vikibebwa na waarabu . Bila shaka walitumia rushwa kama CCM inavyofanya leo . Ardhi inauzwa ,Madini yanauzwa mpaka katikati ya hifadhi za wanyama ,umeme inanunuliwa kutoka nje wakati ndani upo , na utakosa wateja ,Bandari inauzwa na sasa Wataganyika wanauawa na kutishwa ili waifurukute huku rushwa ikitembiea kwa wataganyika ili waue na kufunga ndugu zao kama babu zao walivyofanywa na hao hao waarabu na sasa ni mjukuu wao anafanya haya ndani ya ardhi ya Tanganyika kwa Mamlaka aliyopewa na anayempinga anakula jambia la shingo .

Waafrika kama maana ya hizi dini na itikadi za kigeni ndio hizo za kuuana kwa sababu ya familia ya mtu mmoja hata kama anavuruga maendleo na ustaarabu wa taifa basi hizo dini ni ushetani mtupu na uovu usio faa popote mbingun na duniani.

Huwezi ukauwa watu wasio na hatia .
Kumwaga damu isiyo na hatia ni dhambi kubwa sana tangu mababu zetu mpaka Ukrsto japo usilam sijui kama kuua mtu asiye na hatia ni sawa au ni thawabu.

Watu hawarusha hata jiwe kwa polisi unawavunjaje miguu mpaka unaua ?
Hivi CCM imekua na watu au majini na mashetani wasioona hayo ?

Yaani kwa akili ya kawaida yule Mama polisi angepigwa jiwe na wananchi wale si angepiga bomu la nyuklia nakuua halaiki nzima kama anaua watu wasio rusha hata ngumi ?

Wakati CUF iliyokua inasadikiwa kuwa ni chama cha kiislam inapinga dhulma ni wazi kuwa Ilikua ni jino kwa jino na mapanga Shaa . Polisi kule Zanzibar walikua wanakatwa vichwa kama kuku . Wakahamia Mkuranga kwa mchengerwa wakati huo naye ni mkereketwa wa mapanga Shaa kabla ya kujitokeza kama CCM ,kule napo waliua polisi sana na wananchi wengi wa CCM na viongozi wao .

Leo Chadema inasubiri Haki na kuondoa sheria zenye kupendelea upande mmoja bila kutumia hata nyembe ,tena ,miongoni mwao kuna mpaka askofu Mwamakula bila kudhuru mmtu kwa amani kabisa kama Kristo alivyoagiza cha ajabu polisi na watawala wanaagiza wauawe tena . SASA CCM na Samia wanataka upinzani wa namna gani ? Wanataka siku CCM ikiondoka madarakani magereza yote yageuke kuwa nyumba za Makada wa CCM na wale waliosimamia ukatili wao ?

Ni wazi CCM haikubaliki kama Mwanzo . Samia hana mvuto wowote wa kisiasa hata kijamii .
Rais anafika mahali watu wanakwenda kwenye mkutano wake wa hadhara kwa rushwa !! Halafu Intelijensia yake haimwambii ukweli wala kuwaambia watu wake kuwa chama kitakufa na kuondoka na utawala wa Samia .

Chadema waende ikiwezekana wafikie hata milioni tano wajaze jiji la Dar es salaam wazunguke kila pahali sio barabara moja bali watawanyike barabara zote polisi wajikute wapo katikati mabomu wajirushie wenyewe.

Mikakati ya Chandema ndiyo ya kizembe ndio maana wanalia lia ,yaani wanawalilia wauaji . Yaani unamlilia na kudeka kwa mama wa kambo .
Samia tunamuonea Bure wallah!!! Samia kaletwa na katiba ambayo tumeiandika sisi watanganyika weeenyeweee tangu 1977. Katiba imeandikwa na Mwl Nyerere na akina Msekwa. Samia anaitumia kama ilivyotumiwa na watangulizi wake. Sasa mnajdili tulipoangua na kuacha kujadili tulipojikwaa.

Kama tuliwapigia makofi Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli walipokuwa wanaitumia katiba hii tuendelee na makofi hayo kwa Samia pia. Maana hata yeye anao uwezo wa kufungia siasa zisifanyike kma walivyofanya wegine
 
Twende mahakmni wenyewe bila kuhasishwa na upande wenye maslahi na mkusanyiko huo. Leo hii technology ya habari imeendelea sana. Hivi Iko sababu Gani watu watoke mwanza, Musoma, sumbawanga, Tanga, singida, songea kuja kisutu kusikiliza kesi. Inasaidia nini hiyo?

Hata kwenye hizo kesi za wanajeshi hakukua na watu waliokuwa wanaitisha mikutano ya hadhara kuambia watu waende kwa wingi mahakamani kusikiliza kesi ya makomandoo wahaini, kesi ilikuwa ikichapishwa kwenye magazeti na sisi tulinunua magazeti hayo . Leo hii technology Iko juu lakini lissu hataki itumike kbisaa. Ni rahisi kudhani Kuna jambo kweye jambo

Viongozi na wafuasi wa chadema wote walikuwa wanajua kuwa kiongozi wao Lissu amekamatwa na nani kwa kosa gani na kesi imekwenda mahakamani na itasikilizwa lini kwenye mahakama ipi. Je.. Heche.. Mnyika na Lema walihitaji kufanya mikutano ya hadhara ya kuhamasisha watu waende Kisutu kusikiliza kesi.. uliona wapi watu wanahutubiwa kwenda kusikilizakesi kwa wingi mahakamani? Je. Idadi kubwa ya watu mahakamani wanaosiliza kesi inasaidia nini kisheria kushinda kesi?

Je. Kwa uzoefu wa akina Heche.. Mnyika.. Lema.. Lissu.. Mbowe kwenye siasa hawakujuwa kuwa kuita watu wengi kwenda mahakamani kingesababisha watu kupigwa na kuumizwa? Kama walijua hivyo kwanini waliwaita waende Kisutu?

Kwani Wana agenda gani?
Mwizi siku zote huwa hajiamini. Rais aliyeokolewa na mwanajeshi mzalendo aliyeapa kuilinda na kuiheshimu Katiba, alipogundua njama za kutaka kumpoka urais baada ya JPM kufariki, leo ajabu kasahau mazuri ya katiba. Hivi Gen. Mabeyo atakuwa anawaza nini akiamua kufikiri kama mzalendo anapomshuhudia Rais wake aliyempigania akisigina katiba iliyompa mdaraka aliyonayo leo!! Haki ya kwenda kusikiliza kesi mahakamani ni ya kikatiba bila kujali unakwendaje mahakamani.
Samia amuogope sana Mungu aliyempa neema ya kuwa Rais. Mungu huyo huyo anaweza kumshusha chini asiamini.
Asiwaige kina Museveni na Kagame,wale nchi zao zina historia tofauti kulinganisha na Tanzania. Na wao wanajichukua ndio wakombozi.
Mtu umepewa nchi kwenye sahani, umeitwa njoo uwe Rais katiba inadai ni wewe, nchi iliyotulia, isiyozoea kuona damu ya mtu ikimwagika leo umefanya ni kitu cha kawaida kisa mlinde madaraka mliyopewa kirahisi,hata hamjiulizi huyo aliyekuwa nayo kabla yako alijua angeyaachia kirahisi vile!! Pamoja na msafara wake kusindikizwa na helikopta za kijeshi, wanajeshi waliovalia na mitutu yao ya hatari wamewaelekezea wananchi kwenye mikutano
Kuua mtu siku hizi ni kama kuua mbu!!
Samia tunamuonea Bure wallah!!! Samia kaletwa na katiba ambayo tumeiandika sisi watanganyika weeenyeweee tangu 1977. Katiba imeandikwa na Mwl Nyerere na akina Msekwa. Samia anaitumia kama ilivyotumiwa na watangulizi wake. Sasa mnajdili tulipoangua na kuacha kujadili tulipojikwaa.

Kama tuliwapigia makofi Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli walipokuwa wanaitumia katiba hii tuendelee na makofi hayo kwa Samia pia. Maana hata yeye anao uwezo wa kufungia siasa zisifanyike kma walivyofanya wegine
Kwenye kundi hilo waondoe Magufuli na Samia, hawa hawakuwahi kuiheshimu Katiba hata kidogo zaidi ya kuapishwa basi. Rais angeigeshimu hii katiba asingejisifu kuwa wapinzani kufanya siasa ni yeye ajisikie.
Pamoja na mapungufu ya Nyerere haikuwa kutokea mtu akauawa kama mzee Kibao alivyochomolewa kwenye Gari mchana na kuuawa kinyama halafu mkuu wa nchi anaishia kusema kifo ni kifo tu na mambo yakaendelea kama vile mbwa kagongwa na gari.
Wakati wa Nyerere kesi za uhaini watu waliruhusiwa kwenda mahakamani tena kesi zenyewe zikiwa na watuhumiwa ambao ni wanajeshi.
Wizi wa kura haukuwa wa wazi na makusudi kama vipindi vya hawa wawili.
 
Nimewasikia viongozi wa cdm wakihamasisha wafuasi nchi nzima waende kwa wingi Kisutu kusikiliza kesi ya Lissu, lengo hasa ni nini kuita watu wengi wakusanyike kwenye eneo dogo sana la mahakama ambalo liko kwenye maeneo yenye pilikapilika nyingi za watu? Tunafahamu kuwa chadema ina wafuasi wengi nchi nzima, vipi kama wote wataitikia wito wenu wa kwenda kusikiliza kesi Kisutu? Je, Kisutu ina eneo kubwa kiasi gani kutosha wafuasi wote wa chadema kukusanyika?

Ni serikali gani duniani itaruhusu jambo kama hilo litokee? Bila shaka mnajua kuwa watu wengi wataumizwa mbele ya camera za vyombo vya habari vya ndani na nje, je, lengo ni hilo? Hamuoni kama watu wakifa na kuuawa kwenye msongamano huo mtakuwa mmehusika moja kwa moja na kadhia hiyo?

Binafsi nimeamini ule msemo wa Rais Ali Hassani Mwinyi (RIP) kuwa "kunguru hana kibyongo, ukiona kibyongo kainama anaokota kitu, muwahi mapema kunguru kabla hajaruka nacho". Ukichelewachelewa huenda akaruka na kifaranga, kijiko na hata nguo yako ya ndani.

Lengo kuu nadhani ni kuichafua nchi mbele ya camera za wafadhili, maana walijua polisi itawatawanya kwa nguvu. Tusipoziba ufa tutapata M23 Tanzania..
Kwasababu wewe ni mjinga
 
Pelekeni hiyo kesi kwa mkapa.
 
Mwizi siku zote huwa hajiamini. Rais aliyeokolewa na mwanajeshi mzalendo aliyeapa kuilinda na kuiheshimu Katiba, alipogundua njama za kutaka kumpoka urais baada ya JPM kufariki, leo ajabu kasahau mazuri ya katiba. Hivi Gen. Mabeyo atakuwa anawaza nini akiamua kufikiri kama mzalendo anapomshuhudia Rais wake aliyempigania akisigina katiba iliyompa mdaraka aliyonayo leo!! Haki ya kwenda kusikiliza kesi mahakamani ni ya kikatiba bila kujali unakwendaje mahakamani.
Samia amuogope sana Mungu aliyempa neema ya kuwa Rais. Mungu huyo huyo anaweza kumshusha chini asiamini.
Asiwaige kina Museveni na Kagame,wale nchi zao zina historia tofauti kulinganisha na Tanzania. Na wao wanajichukua ndio wakombozi.
Mtu umepewa nchi kwenye sahani, umeitwa njoo uwe Rais katiba inadai ni wewe, nchi iliyotulia, isiyozoea kuona damu ya mtu ikimwagika leo umefanya ni kitu cha kawaida kisa mlinde madaraka mliyopewa kirahisi,hata hamjiulizi huyo aliyekuwa nayo kabla yako alijua angeyaachia kirahisi vile!! Pamoja na msafara wake kusindikizwa na helikopta za kijeshi, wanajeshi waliovalia na mitutu yao ya hatari wamewaelekezea wananchi kwenye mikutano
Kuua mtu siku hizi ni kama kuua mbu!!

Kwenye kundi hilo waondoe Magufuli na Samia, hawa hawakuwahi kuiheshimu Katiba hata kidogo zaidi ya kuapishwa basi. Rais angeigeshimu hii katiba asingejisifu kuwa wapinzani kufanya siasa ni yeye ajisikie.
Pamoja na mapungufu ya Nyerere haikuwa kutokea mtu akauawa kama mzee Kibao alivyochomolewa kwenye Gari mchana na kuuawa kinyama halafu mkuu wa nchi anaishia kusema kifo ni kifo tu na mambo yakaendelea kama vile mbwa kagongwa na gari.
Wakati wa Nyerere kesi za uhaini watu waliruhusiwa kwenda mahakamani tena kesi zenyewe zikiwa na watuhumiwa ambao ni wanajeshi.
Wizi wa kura haukuwa wa wazi na makusudi kama vipindi vya hawa wawili.
Duuuuh!! Shida iliyotokea ni chadema kutaka kutoa nyongo zao zote za kuzuiwa kisiasa na kupigwa risasi na za ukimbizi kwa Rais mwanamke ambae ndio kwanza hajui aanzie wapi kwenye jukumu lake jipya la urais.

Lengo la wengi ni kudhani Samia tena mwanamke hakustahili kuwa Rais hivyo walitaka kufanya Kila kitu aonekane hawezi kandarasi hiyo. Bahati mbaya waliokuwa wakidhani hivyo walikuwapo ndani ya CCM na nje ya CCM,; Lissu, Lema, Heche na wengine. Hii ilimlazimisha Rais Samia kuota gamba gumu harakaharka (adaptation) kupambana na hali halisi ya mazIngira
 
Nimewasikia viongozi wa cdm wakihamasisha wafuasi nchi nzima waende kwa wingi Kisutu kusikiliza kesi ya Lissu, lengo hasa ni nini kuita watu wengi wakusanyike kwenye eneo dogo sana la mahakama ambalo liko kwenye maeneo yenye pilikapilika nyingi za watu? Tunafahamu kuwa chadema ina wafuasi wengi nchi nzima, vipi kama wote wataitikia wito wenu wa kwenda kusikiliza kesi Kisutu? Je, Kisutu ina eneo kubwa kiasi gani kutosha wafuasi wote wa chadema kukusanyika?

Ni serikali gani duniani itaruhusu jambo kama hilo litokee? Bila shaka mnajua kuwa watu wengi wataumizwa mbele ya camera za vyombo vya habari vya ndani na nje, je, lengo ni hilo? Hamuoni kama watu wakifa na kuuawa kwenye msongamano huo mtakuwa mmehusika moja kwa moja na kadhia hiyo?

Binafsi nimeamini ule msemo wa Rais Ali Hassani Mwinyi (RIP) kuwa "kunguru hana kibyongo, ukiona kibyongo kainama anaokota kitu, muwahi mapema kunguru kabla hajaruka nacho". Ukichelewachelewa huenda akaruka na kifaranga, kijiko na hata nguo yako ya ndani.

Lengo kuu nadhani ni kuichafua nchi mbele ya camera za wafadhili, maana walijua polisi itawatawanya kwa nguvu. Tusipoziba ufa tutapata M23 Tanzania..
Why waumizwe?
 
Why waumizwe?
Wakome kudharau wnawake. Hata Nyerere alifanya hayohayo kwa akina Kambona, Jumbe na wakora wengine. Mwinyi alifanya hivyo pia kwa akina James Mbatia, Nyambabe na wakora wengine. Kikwete alifanya hivyo kwa akina Ulimboka na wahuni wenzake. Mkapa ndio usiseme kabisa hadi akawaita malofa, Magufuli muulizeni Lissu na Lema. Kwanini Samia iwe nongwa?
 
Viongozi na wafuasi wa chadema wote walikuwa wanajua kuwa kiongozi wao Lissu amekamatwa na nani kwa kosa gani na kesi imekwenda mahakamani na itasikilizwa lini kwenye mahakama ipi. Je.. Heche.. Mnyika na Lema walihitaji kufanya mikutano ya hadhara ya kuhamasisha watu waende Kisutu kusikiliza kesi.. uliona wapi watu wanahutubiwa kwenda kusikilizakesi kwa wingi mahakamani? Je. Idadi kubwa ya watu mahakamani wanaosiliza kesi inasaidia nini kisheria kushinda kesi?

Je. Kwa uzoefu wa akina Heche.. Mnyika.. Lema.. Lissu.. Mbowe kwenye siasa hawakujuwa kuwa kuita watu wengi kwenda mahakamani kingesababisha watu kupigwa na kuumizwa? Kama walijua hivyo kwanini waliwaita waende Kisutu?

Kwani Wana agenda gani?

Kwani chadema sio watu😂😂😂🤦🏾‍♂️ mnakuwa machawa mpaka mnafikiri Chadema ni watu wawili au watatu nyuma ya chama chao ni mamilioni ya watu
 
Ni upuuzi kwakuwa ni ukweli, uliona wapi watu wakihamasishwa kwenda mahakamani kwa wingi? Watu wanafurahia umeme kufika vijijini kwao uwaambie waje Dar kuvunjwa viguu yao!!! kwa matibabu ya nani? wakifa je utawalipa wategemezi wao?
Dar yenyewe kuna mapori kuna sehemu Hadi Leo Umeme haujafika
 
CHADEMA WOTE WENDAWAZIMU TU HAKUNA HATA MWENYE AKILI ETI WAZUIE UCHAGUZI NINIIII? WANAFIKIRIA KWAKUTUMIA MASABURI
Niwe mkweli tu, sijawahi kuona mtu anayeandika kwa herufi kubwa akawa na akili.
 
Why waumizwe?
Kwanini chadema hawaombi kesi ya Lissu isikiliziwe Mwembe Yanga ili watu wote wapate nafasi ya kusiliza, badala yake wanataka watu wao wote waende wakaminyane pale Kisutu? Wapigwe tu kwakweli!!!
 
Dar yenyewe kuna mapori kuna sehemu Hadi Leo Umeme haujafika
Hiyo ni bahati mbaya sana, labda wamejenda mabondeni, lakini umeme umefika hata kijiji cha Kamsamba hukooooo. Ukweli nchi inasogea kwa vigezo vya Afrika ya weusi. Sio kwamba marais waafrika woooote hawazipendi nchi zao na ni wezi ndio maana umaskini umetuganda. Nooooooooo!! umaskini huu ni wakutengenezwa maana hakuna mtu asiyependa kusifiwa na wananchi wake.
 
Kwasababu wewe ni mjinga
Mimi sio mjinga, lakini ni heri niwe mjinga kuliko kushuhudia mtanzania mwenzangu akipotezewa uhai wake kijinga kabisa. Kwani demokrasia ni kitu gani hadi watu wafe na kufa? Viongozi wa chadema wanawatumia watu wajinga kufanikisha mambo yao; wanafahamu kuwa viongozi wa Afrika ni madikteta wa kutupwa lakini wanawadanganya wezao kuwa risasi za adui zitageuka maji huku wakijua kuwa hata wao wakienda Ikulu hawana watakalofanya la maana.
 
Hiyo ni bahati mbaya sana, labda wamejenda mabondeni, lakini umeme umefika hata kijiji cha Kamsamba hukooooo. Ukweli nchi inasogea kwa vigezo vya Afrika ya weusi. Sio kwamba marais waafrika woooote hawazipendi nchi zao na ni wezi ndio maana umaskini umetuganda. Nooooooooo!! umaskini huu ni wakutengenezwa maana hakuna mtu asiyependa kusifiwa na wananchi wake.
Kigamboni YOTE ushazunguka kuna Umeme?
 
heche anapaswa kuitisha kikao cha kamati kuu awaambie wenye chadema yao mwelekeo wa chama na wao wamshauri nini cha kufanya, naona kama anaua chama, leo hapakuwa na mwitikio wa kwenda kisutu na hakuna mvutano kati ya wafuasi wake na jeshi, hata viongozi wenzake hawajaonekana boniyai ameonekana msibani mnyika ndo yuko kimya. Heche ameonekana akisimamishwa na trafik baada ya hapo hajulikani alielekea wapi

nimemsikia mara kwa mara akitamka kama fikra zao hazitatimizika bora chama kife, hii chadema wamejiunga wamekikuta, kuna watu wamemwaga damu kuna watu wamepoteza roho, unasemaje bora chadema ife? basi slogani yao ya no erection isipotimilika wajiuzuru kulikoni wafe na chama.

heche amekuwa akiwapiga ngumi watu wanaotofautiana nao kwenye vikao vya ndani hiyo sio haki na inaua chama kimyakimya. chadema sio tawi la LRA kuwa ukitofautiana na kiongozi unachinjwa.
 
heche anapaswa kuitisha kikao cha kamati kuu awaambie wenye chadema yao mwelekeo wa chama na wao wamshauri nini cha kufanya, naona kama anaua chama, leo hapakuwa na mwitikio wa kwenda kisutu na hakuna mvutano kati ya wafuasi wake na jeshi, hata viongozi wenzake hawajaonekana boniyai ameonekana msibani mnyika ndo yuko kimya. Heche ameonekana akisimamishwa na trafik baada ya hapo hajulikani alielekea wapi

nimemsikia mara kwa mara akitamka kama fikra zao hazitatimizika bora chama kife, hii chadema wamejiunga wamekikuta, kuna watu wamemwaga damu kuna watu wamepoteza roho, unasemaje bora chadema ife? basi slogani yao ya no erection isipotimilika wajiuzuru kulikoni wafe na chama.

heche amekuwa akiwapiga ngumi watu wanaotofautiana nao kwenye vikao vya ndani hiyo sio haki na inaua chama kimyakimya. chadema sio tawi la LRA kuwa ukitofautiana na kiongozi unachinjwa. Tz haiko nyuma sana kwa maendeleo ,
Hawa akina Heche Hawa labda uwe na govi ndio utawaelewa. Wachezaji wazuri wote Afrika wanakuja kucheza mpira tz na hawatamani kuondoka tz hata kama wakiachwa na timu zao. Wawekezaji wanakimbilia tz sote tunaona viwanda vinaongezeka idadi.

Kuna nchi kama Kenya, maawi, Zambia, DRC wapinzani wamekwenda Ikulu lakini hali yao ni afadhali ya Jana na afadhali ya sisi.

Wananchi sio wajinga kiasi hicho.
 
Back
Top Bottom