CHADEMA kukataa mualiko wa NEC wakati wanasubiri mualiko wa Rais Samia ni kichekesho

Tatizo sio rais bali tatizo ni NEC.

Mtoto ni halali aliyepatikana katika njia haramu hivyo wa kulaumiwa sio mtoto bali ni wazazi waliofanya yao.
Mzazi Baba yake si ni CCM na Mlezi wake si Rais aliye wateua au hujui.

NEC na CCM ni kama YAI NA KUKU MZEE.

MSITUZUGE CDM
 
GEUZA HIVI:-

NEC NI EFFECT NA CAUSE YAKE NI RAIS.

UJINGA WA CHADEMA UKO HAPA KWENYE KUJITETEA.
SAMIA NA NEC NI KAMA KUKU NA YAI, KAMA MNASUSA SUSENI ACHENI KUJIPENDEKEZA..

MTU UNAMWITA ADUI HALAFU UNAJIKOMBAKOMBA. NDO YALEYALE YA SLAA , LIPUMBA NA UJIO WA LOWASSA, WALIWAAMBIA UKWELI MKAANZA KUJILAMBALAMBA KUWA WASALITI KUMBE NI NDUMILAKUWILI NINYI
 
machafuko si mnayaombea kila siku? Mbowe yuko ndani nani anaandamana kumtoa?

usiwasemehe watanzania, wako tofauti mno na a akili yako..

machafuko??? my foot
Machafuko kwa lipi?...
ha ha haha. Majamaa ni majinga sana aisee

kila kukicha yanaunga mkono juhudi. Yaani ni vigeugeu sana
 
kwanza wanaohubiri machafuko kila siku ni hawahawa CHADEMA.
Wamebanwa kila kona now wanakimbilia kuanzisha taharuki na machafuko, ila wameshindwa kila kona!! Wakulaumiwa kuhusu CDM ni JK, aliwadekeza sana ile miaka yake 10, na sababu kubwa alikuwa anawatumia sana kufanikisha mikakati yake ya kisiasa, hasahasa kumchafua Lowassa!! Legacy pekee ya mwendazake naikumbuka ni kuwasambaratisha hawa wahuni, aliwakalia kooni haswaa, nadhani alishawajua kuwa ni wachumia tumbo na hawana nia njema na nchi hii zaidi ya kushibisha matumbo yao
 
Ni kwa mwenye ufinyu wa akili tu ndiyo anaweza kuandika hivi. Mpaka hapo nchi itakapoingia kwenye machafuko ya kutisha kwa UCHAFUZI wa uchaguzi ndiyo mtatia akili kichwani.
Mpaka unakufa hutakuja ona machafuko unayoombea. Nyerere aliinyosha nchi kwa rula.
 

Hivi NEC wanaendaje? Tuache tu siasa, hata mwanaume ukidharauliwa sana kuna wakati unaweka msimamo wa kiume
 
Unategemea wahudhurie bila Mwenyekiti kuwepo! Kuiua Kenya hakutaifanya Tanzania istawi, vivyo hivyo kuiua Chadema hakutaifanya CCM istawi. CCM ya sasa haina wanasiasa kabisa inaishi kwa kutegemea polisi.
 
Dogo sasa mnalialia kwenda Ikulu kufanyaje?acheni utoto
UPUUZI MTUPU!!! unakutana na NEC wakitangaza uhuni wao waliofanya 2020 ili iweje!? Ukasikilize wakizungumza kuhusu wizi wao kwamba uchaguzi ulikuwa huru na wa haki wakati ukweli tunaujua?
 
Wewe huna lolote,acha kutishia watu
Ni kwa mwenye ufinyu wa akili tu ndiyo anaweza kuandika hivi. Mpaka hapo nchi itakapoingia kwenye machafuko ya kutisha kwa UCHAFUZI wa uchaguzi ndiyo mtatia akili kichwani.
 



Lazima kuna kimoja kilianza kati ya kuku na yai , kati ya mtoto na mzazi nani alianza ??---in this case Rais Samia ni mtoto na mzazi ni NEC.

Na yeye ndiye Rais mwenye mamlaka so far , itakuwa ni ujuha kukataa hilo.
 
Rubbish! Ndiyo maana JF inapoteza mvuto as time goes on. Kuna rotten mind zimejaa humu
 
Stupid, vyama ambavyo wanachama wake hawazidi 100 nchi nzima au kabisa havina wanachama, wewe ni takataka wa kufikiri
 
Amekalia kiti baada ya Mchakato wa NEC kwenye uchaguzi mkuu.

au unajitoa ufahamu mkuu?.. Kama uchaguzi ni batili , mnamtambuaje SAMIA KAMA RAIS?

CHADEMA NI COMEDY SANA


Yeye ni Rais aliyepatikana katika njia haramu,--- yeye ndiye raisi.

Wewe kwanini huelewi??--- hivi mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa (njia ya haramu) anakuwa sio mtoto?? au ni mbuzi??!!, yeye atabaki kuwa mtoto na watakaolaumiwa ni wazazi wake kwa kumzaa huyo mtoto nje ya taratibu hivyo RAIS Samia yeye atabaki kuwa Rais ila NEC itabaki kubeba lawama za kuhujumu uchaguzi uliomfanya (Magu) na hatimaye Samia awe Rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…