Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Huku sasa kwa wanaCHADEMA ni kupaniki na hii ni baada ya Caution statement za mmoja wa watuhumiwa wenzake na Mbowe kupokelewa kama ushahidi mahakamani.
Kwa nini Mnyika J, anasahau na kutoa kauli za ajabu ambazo hazina mashiko? Kesi ipo mahakamani na rais hana mamlaka ya kuingilia muhimili wa mahakama. Lakini Mnyika anaomba rais atoe neno ili kesi ifutwe. Hii ni sawa?
Kama chama makini nilitegemea kipambane Mahakamani ili kuwashinda Jamhuri, lakini sio kuomba msaada kwenye tuta wakati wanajua mhimili wa mahakama upo huru. Hii inaanza kutia shaka huenda watuhumiwa wanakosa.
My take: Mambo ya Mahakama tuwaachie mahakama.
sasa ndo mumpigie magoti kumuomba afute kesi?Mwenyekiti wenu si alitamka kwamba Kesi ya Mbowe acheni iendelee kwani wenzake WAMESHAFUNGWA tayari. kamuulize vizuri kina nani hao washafungwa ? na kesi ilisikilizwa lini na katika Mahakama gani
Hii ni kesi ya kisiasa.Hawa ndugu zetu CHADEMA ni watu wasioeleweka. Wana tabia ya kwenda mahakamani wakiwa na majibu yao mfukoni, wao hujitia ujuzi wa sheria kuliko mtu yeyote yule.
Kwenye shauri la Mbowe, Jaji Siyani katoa hukumu kwa kesi ndogo katika ya Mbowe, wao wanadai hawajaridhika na tayari wameanza kuitishia Mahakama (rejea kauli za Mnyika leo)
Jaji Kiongozi kaanza na guu la kushoto kwa kutoa asante ya cheo kipya.Niliwaambia shangilieni ya sabaya na yenu yanakuja
Mahakama iko huru na Imeamua. Tutulie kama tunanyolewaHawa ndugu zetu CHADEMA ni watu wasioeleweka. Wana tabia ya kwenda mahakamani wakiwa na majibu yao mfukoni, wao hujitia ujuzi wa sheria kuliko mtu yeyote yule.
Kwenye shauri la Mbowe, Jaji Siyani katoa hukumu kwa kesi ndogo katika ya Mbowe, wao wanadai hawajaridhika na tayari wameanza kuitishia Mahakama (rejea kauli za Mnyika leo)
Kama haitoshi wanapiga kelele wakijaribu kumshinikiza Rais Samia eti aingilie kati kesi hiyo...JAMANI. Watu wale wale wanaotaka Mahakama iwe huru ndio wanataka Rais aingilie kati?
Kama ujumbe huu utafika kwa Rais Samia, tunamuomba aendelee kutowajibu chochote watu hawa. Atulie hivyo hivyo na kuacha Mahakama ifanye kazi yake. Kama Mbowe ana hatia ataenda zaidi ya miaka 15 jela, kama hana hatia atarudi mtaani ila sio kwa amri ya Samia.
Bi Samia Rais wetu, wewe chapa kazi, hili la kina Mbowe waala lisicheze mishipa yako.
Aibu kubwaHuku sasa kwa wanaCHADEMA ni kupaniki na hii ni baada ya Caution statement za mmoja wa watuhumiwa wenzake na Mbowe kupokelewa kama ushahidi mahakamani.
Kwa nini Mnyika J, anasahau na kutoa kauli za ajabu ambazo hazina mashiko? Kesi ipo mahakamani na rais hana mamlaka ya kuingilia muhimili wa mahakama. Lakini Mnyika anaomba rais atoe neno ili kesi ifutwe. Hii ni sawa?
Kama chama makini nilitegemea kipambane Mahakamani ili kuwashinda Jamhuri, lakini sio kuomba msaada kwenye tuta wakati wanajua mhimili wa mahakama upo huru. Hii inaanza kutia shaka huenda watuhumiwa wanakosa.
My take: Mambo ya Mahakama tuwaachie mahakama.
Labda mahakama ya bibi yako ndio ipo huru!!Huku sasa kwa wanaCHADEMA ni kupaniki na hii ni baada ya Caution statement za mmoja wa watuhumiwa wenzake na Mbowe kupokelewa kama ushahidi mahakamani.
Kwa nini Mnyika J, anasahau na kutoa kauli za ajabu ambazo hazina mashiko? Kesi ipo mahakamani na rais hana mamlaka ya kuingilia muhimili wa mahakama. Lakini Mnyika anaomba rais atoe neno ili kesi ifutwe. Hii ni sawa?
Kama chama makini nilitegemea kipambane Mahakamani ili kuwashinda Jamhuri, lakini sio kuomba msaada kwenye tuta wakati wanajua mhimili wa mahakama upo huru. Hii inaanza kutia shaka huenda watuhumiwa wanakosa.
My take: Mambo ya Mahakama tuwaachie mahakama.
Lack of wisdomKwasababu umetumia ID mpya na ile ya zamani umeiacha ngoja tukutwange maneno
"Samia hataki wewe uwe mke mwenzake chunga sana kujipendekeza"