Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kuna uhusiano gani kati ya hicho anachokifanya hapo huyo Ali Hapi na Chadema?Hii ni mada husika?
Chadema hawajui kuwa uongozi ni dhamana.Kwani kuna uhusiano gani kati ya hicho anachokifanya hapo huyo Ali Hapi na Chadema?
Vipi na hao Chadema wangewarusha kuhusu miradi ya makamanda wao akina Sugu, Mbowe, na wengineo wengi! Kwa uelewa wako ungeona kuna mantiki?
Sasa si uwataje mkurugenzi! Mmojawapo ni huyu hapa Lucas mwashambwa! Kutwa ni kusifia tu! Tena siku hizi anaweka mpaka na namba yeke ya simu, ili akumbukwe!Safi sana.pesa ya heshima na isiyo na dhambi hupatikana shambani.Siyo wale wa kujipendekeza kwa rais ili wateuliwa waanze kuiba pesa za umma
Hakunaga kilimo Cha maonesho ,huyo Yuko desperate ndio maana anafanya maigizo.Maana wanatambua kuwa uogozi ni dhamana na hiyo dhamana ikiondoka basi unatakiwa uwe makini
Hiki sio kilimo cha selfieView attachment 2415484
hilo shamba angelima Pambalu ungesikia amelima kwenye vyanzo vya majiMaana wanatambua kuwa uogozi ni dhamana na hiyo dhamana ikiondoka basi unatakiwa uwe makini
Hiki sio kilimo cha selfieView attachment 2415484
Acha utani wako mkuu, Mimi nashinda shambani muda Mwingi, Nakukaribisha pia shambani ulime na uache kulia Lia habari za Bei ya vyakula kupanda utafikiri sisi wakulima ndio tulizaliwa kubeba matatizo yenu watu wa mjini, acha Nasi tufaidike na jasho letu, mama yetu Rais Samia ametambua machungu tunayoyapata na kuyapitia wakulima ndio maana ametutazama kwa jicho la huruma na upendo, hakika wakulima tutamlipa Rais Samia kwa kumpigia kura za Ndio kwa kishindo uchaguzi ujao na kumfanyia kampeni ya nyumba kwa nyumbaSasa si uwataje mkurugenzi! Mmojawapo ni huyu hapa Lucas mwashambwa! Kutwa ni kusifia tu! Tena siku hizi anaweka mpaka na namba yeke ya simu, ili akumbukwe!
Ukienda nyumbani kwao Mbozi Mbeya, kila siku anashinda ofisi za ccm! Huji kumuona ameenda shamba! Yaani shamba lake ni ofisi za chama.
Pitia sheria ya mazingira inasemqje.hilo shamba angelima Pambalu ungesikia amelima kwenye vyanzo vya maji
View attachment 2415514
Haya ni maandalizi ya Maonyesho ya nanenaneMaana wanatambua kuwa uogozi ni dhamana na hiyo dhamana ikiondoka basi unatakiwa uwe makini
Hiki sio kilimo cha selfieView attachment 2415484
Good messageAcha utani wako mkuu, Mimi nashinda shambani muda Mwingi, Nakukaribisha pia shambani ulime na uache kulia Lia habari za Bei ya vyakula kupanda utafikiri sisi wakulima ndio tulizaliwa kubeba matatizo yenu watu wa mjini, acha Nasi tufaidike na jasho letu, mama yetu Rais Samia ametambua machungu tunayoyapata na kuyapitia wakulima ndio maana ametutazama kwa jicho la huruma na upendo, hakika wakulima tutamlipa Rais Samia kwa kumpigia kura za Ndio kwa kishindo uchaguzi ujao na kumfanyia kampeni ya nyumba kwa nyumba
sasa CHADEMA wanahusikaje na kilimo cha Ally Hapi??na vipi Jenerali Sabaya anaendeleaje pale Jela Karanga??umeshawahi kwenda kumtembelea??Maana wanatambua kuwa uogozi ni dhamana na hiyo dhamana ikiondoka basi unatakiwa uwe makini
Hiki sio kilimo cha selfieView attachment 2415484
Sasa hivi ni saa 10:30, Jenerali Sabaya ameshapigiwa filimbi ya kuingia selo kulala,habari ndio hiyo,uliandika JF na kuandika kumuombea Sabaya huruma kwa Mama mpaka umejichokea maskini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]bado napigwa pipe tu Jela Karanga pale mamamamamamaeNonsensical post
Mkuu hata kama ni maigizo lakini si kuna bidhaa hapo itaingia sokoni na kuifaidisha jamii?Hakunaga kilimo Cha maonesho ,huyo Yuko desperate ndio maana anafanya maigizo.
Huu ni upuuzi. Jadili mada husikaSasa hivi ni saa 10:30, Jenerali Sabaya ameshapigiwa filimbi ya kuingia selo kulala,habari ndio hiyo,uliandika JF na kuandika kumuombea Sabaya huruma kwa Mama mpaka umejichokea maskini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]bado napigwa pipe tu Jela Karanga pale mamamamamamae
Jenerali Sabaya anagongwa pipe sasa hivi Marinda yote chapachapa mamamamae,kaishi mpaka nyweleHuu ni upuuzi. Jadili mada husika
Hii ni mada husika?