CHADEMA kuna la kujifunza hapa. Hapi anapiga kilimo cha ukweli sio kilimo cha selfie. Vijana wa CCM wapo makini, wamefundwa

CHADEMA kuna la kujifunza hapa. Hapi anapiga kilimo cha ukweli sio kilimo cha selfie. Vijana wa CCM wapo makini, wamefundwa

Maana wanatambua kuwa uogozi ni dhamana na hiyo dhamana ikiondoka basi unatakiwa uwe makini

Hiki sio kilimo cha selfieView attachment 2415484
Jenerali Sabaya kabaki kichwa tu *****,Jela hakuna Bata,Ujanja na Ubabe wote kwishney[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20221113-163932.jpg
 
CDM wajifunze nini kwenye hilo au hizo mbwembwe za selfie ndio za kujifunza? Wahuni wa Magufuli si walivunja green house za Mbowe wakati Ali Hapi akiwa kwenye ofisi ya umma akitetemekea cheo?

Huyo msaka sifa mmpe muda wa miaka mitatu akiwa anapambana na changamoto za kilimo. Akifanikiwa kuwepo kwenye kilimo baada ya hela za wizi kukuta ndio uje na picha zake.
Wewe kamanda tindo bila nyanya za Iringa hapo Dar hauna maisha.

Shamba la mbowe lilikuwa ndani ya mita 60 kinyume na sheria ya mazingira. Ulitaka liachwe?
 
Alikuwa Masalia Ya Mzilankende Akawa Anajibu Kama Hakuna Kesho, Cheo Hakipo
 
Ulimaliza la saba?
muda unaopoteza kuandika USHUZI JF ni vema ungeutumia kwenda Karanga Jela pale kumpelekea Jenerali Sabaya walau Nyembe za kunyolea vuzi na sabuni,ni vitu adimu sana mle ndani,kaisha kimebaki kichwa tu mamamae,hakika What Goes Around Comes Around
Screenshot_20221113-163932.jpg
 
Wewe kamanda tindo bila nyanya za Iringa hapo Dar hauna maisha.

Shamba la mbowe lilikuwa ndani ya mita 60 kinyume na sheria ya mazingira. Ulitaka liachwe?

Kwa taarifa yako ukiacha greenhouse ya Mbowe, ziko nyingine kibao ziko umbali huohuo na hazijafanywa chochote. Zile zilikuwa Siasa chafu za dhalimu.

Kama ningekuwa nangoja nyanya za Ali Hapi, hadi leo ningekuwa sijawahi kula nyanya.
 
Atamkumbuka magufuli mpaka siku yake ya kuondoka hapa duniani. Jeuri yote kwisha. Aliwajaza sana upepo hawa vijana.

Wapi Paul Makonda aka Daudi Albert Bashite! Wapi General Lengai Ole Sabaya!!
Hilo ndio mnaloweza, "time and tide wait for no man"
 
Tatizo la hii nchi mifumo ukibadilika tuu unamsikia analipa kama fisi wa wachawi akifa mchawi.


Hawa majina Yao yanawaokoa ..lengai angekuwa haja majina angekuwa busy na Mbowe sasa hivi
 
Back
Top Bottom