CHADEMA kuna la kujifunza hapa. Hapi anapiga kilimo cha ukweli sio kilimo cha selfie. Vijana wa CCM wapo makini, wamefundwa

CHADEMA kuna la kujifunza hapa. Hapi anapiga kilimo cha ukweli sio kilimo cha selfie. Vijana wa CCM wapo makini, wamefundwa

Mmeacha kunyang'anyana mashamba mtu akitoka madarakani? Hio itakuwa ni hatuna nzuri
 
Acha utani wako mkuu, Mimi nashinda shambani muda Mwingi, Nakukaribisha pia shambani ulime na uache kulia Lia habari za Bei ya vyakula kupanda utafikiri sisi wakulima ndio tulizaliwa kubeba matatizo yenu watu wa mjini, acha Nasi tufaidike na jasho letu, mama yetu Rais Samia ametambua machungu tunayoyapata na kuyapitia wakulima ndio maana ametutazama kwa jicho la huruma na upendo, hakika wakulima tutamlipa Rais Samia kwa kumpigia kura za Ndio kwa kishindo uchaguzi ujao na kumfanyia kampeni ya nyumba kwa nyumba

Mama ndie aliesababisha bei ya chakula na mfumuko wa bai?
 
Back
Top Bottom